Nape: Kingunge afanye anachotaka

Nape: Kingunge afanye anachotaka

Kweli chadema chama cha matukio.mnashabikia kingunge na Lowassa badala ya kupanga safu za ukawa?
 
Unajionyesha jinsi husipo kuwa na nidhamu na heshima kwa chama chako na wakuu wako,wewe unaonyesha dharau kwa kingunge wakati hata Mwenyekiti wako wa chama anamuogopa?sasa tulia uone jinsi chama chenu kinavyosambaratika na kufutika ndani ya siasa za Tanzania.

Ukweli utakuweka huru, kwenye ukweli weka ukweli. 'Ukweli ni kitu gani' kama ungekuwa sio kipofu ungekubali uone lakini kwa kuwa ni kipofu evil remain.
 
Ukweli utakuweka huru, kwenye ukweli weka ukweli. 'Ukweli ni kitu gani' kama ungekuwa sio kipofu ungekubali uone lakini kwa kuwa ni kipofu evil remain.

Mkuu wewe endelea kukibomoa chama chako cha mafisi
 
Nape na wewe una adabu,kwani mtu akitoa mawazi ambayo ni tofauti na mtazamo wenu ndio umjibu namnahiyo.AAcha na yeye atumie demokrasia yake kama mtanzania.Si msapoti Lowasa but naye anaweza kutoa mtazqmo wake

Kuna watu wana mitazamo ya ajabu sana.. Mtu akitoa mtazao tofauti na yeye utasikia..
1. Katumwa
2. Anatumika vibaya
3. Anatetea maslahi binafsi
4. Mchumia tumbo na bla bla kinaooooo
 
Kweli chadema chama cha matukio.mnashabikia kingunge na Lowassa badala ya kupanga safu za ukawa?

Mkuu pole sana,wewe jiandae kwa maumivu maana baada ya october itabidi ubadili ID
 
CCm bwana!! waogope sana, hasa vijana kama Nape na Makondakta sijui makali.o gani sijui.......kujipendekeza hatari sana. Kigunge na Lowassa leo wanatukanwa, Mzee Warioba nae alitukanwa.....Sijui hii ji CCM ya wapi haina adabu hii......sijui ikalambe ndimu na magadi hii??!!

Hawa wamesha laaniwa,tusubiri kuwaona wakiokota makopo mitaani,makondakta tayari keshaanza kuonja joto ya jiwe pale ubungo bus terminal alivyo tandikwa na kwenda kubusu viatu vya kamanda wambura
 
Magamba na mawakala wao mwaka huu watakonda sana

2015 ni mwisho wa Magamba CCM..tunawapuputa wote wanakimbilie kwa kubwa la magamba chadema-Mbowe

Btw...mmesahau jezi zenu huku
 

Attachments

  • 1437119704871.jpg
    1437119704871.jpg
    30.9 KB · Views: 628
Wataparauna mpaka kuchinjana kabisa mwaka huu Nape hana adabu kabisa
#VOTE FOR UKAWA
 
Jamani naona suala la kula hela za lowassa NI gumu labda uwe na roho ngumu kama ya Nchimbi lkn ukiwa soft kama Kingunge zinaweza kukusumbua sana ,ebu ona zinavyowasumbua baadhi yao hata wale wanafunzi wa vyuo,mm nilipopata hii nafasi nilikataa kuchukua hizi hela ndo maana niko free hadi sasa
 
alitaka kusema yy ni maarufu dar kwa nymbo zake za mduara ila sio maarufu
 
2015 ni mwisho wa Magamba CCM..tunawapuputa wote wanakimbilie kwa kubwa la magamba chadema-Mbowe

Btw...mmesahau jezi zenu huku

Zihifadhi utakuwa unafutia machozi baada ya kuvurumishwa toka magogoni
 
kinguke kachemka njaa zitamuuwa mwaka huu sijui kapagawa kwa kitu gani kweli njaa mbaya sana pole mzee kingunge.
 
Katika hali ya kuonyesha mpasuko ni dhahiri ndani ya CCM, jana Nape amefunguka kuhusu msimamo na kauli za Kingunge na kumwambia afanye anachotaka kufanya.

Inahitaji akili kutumia akili kujibu kwa akili na bila ya akili huwezi kupata akili ya kujibu kwa akili. Nape ameonyesha kuwa zake hazina akili ya kujibu hoja za mzee Kingunge na amebaki kuonyesha hisia tu kuwa mzee Kingunge aliyemfunza siasa mtu ambaye Nape anamuita 'baba', mzee Mnauye (kama kweli ni baba yake), anataka kufanya jambo.

Hizi ni akili za kitoto zinazoizamisha CCM kila siku. Acha tuangalie game litaishia vipi, nimefurahi huyu mpuuzi kuingilia mzozo huu ingawa huwa 'anazimwaga' kirahisi zana.

 
Back
Top Bottom