Nape: Kingunge afanye anachotaka

Nape: Kingunge afanye anachotaka

Laana ya kumchamfua na kumzalilisha warioba inamrudia sasa. Pole babu kingunge
 
Kigunge si mstaarabu kabisa,umri wake ni tofauti na anayofanya,hana busara. Nakumbuka alivyowashambulia maaskofu wa TEC 2010 kutokana na waraka wa wanataaluma wa Katoliki kuelekea uchaguzi mkuu 2010. Yamemkuta mwaka huu.Apotee zake huyu mzee.
 
Back
Top Bottom