Rais Magufuli uko naive sana kufanya kazi na akina Kinana na Nape

Maneno Meier

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,469
1,697
Rais Magufuli nasikitika kukuambia kuwa uwezo wako wa kuwaelewa watanzania wabaya ni mdogo sana. Mtu mwenye uwezo mkubwa wa kuwaelewa watu wabaya na hasa watanzania walio iangamiza nchi hii usinge mng'ang'ania mtu kama Kinana kuendelea kuwa katibu mkuu wa chama chako cha CCM na kumpa Mbunge Nape Mnauye uwaziri na kumwacha Mbunge kama Hussein Bashe.

Wewe mwenyewe kila wakati unapendelea kusema kuwa "msema ukweli ni mpenzi wa Mungu", lakini sina uhakika kama kweli unauamini msemo wako huo, maana wasema kweli kama Mbunge Hussein Bashe huwapendi na wala hutaki kuwasikia, wakati wao hawana kingine katika fikra zao zaidi ya kutoa mawazo ambayo wanaona nankuamini kuwa yatasaidia nchi kwenda mbele.

Walakaa huu wa Mzee Kinana na Mzee Makamba unakusuta sasa! Unakuonyesha ukweli wa mambo upo wapi na nani wabaya wako na wapinga maendeleo yetu. Watu ambao usoni kwako wewe una waona wa maana, kwenye kichongo chako ndiyo hao hao wasio kutakia mema.

Kwa taarifa yako tu kulingana na feeling zangu Nape Mnauye alitegemea kuwa waziri mkuu au waziri wa Resources ambazo zina nguvu au uzito mkubwa kama wizara ya fedha na mipango.
Sielewi kwa nini watu kama hao bado unawafuga kwenye chama chako. Ni nani wao hasa? Miungu wako hao?

Kama walikufanyia fadhila ya kukusaidia wewe kufanya kampeni ya kushinda uchaguzi, nina uhakika walifanya hivyo kwa ajili ya maslahi yao binafsi na sio kwa maslahi ya watanzania na nchi yetu kwa ujumla.

Kwenye hii clip yako ulipo tembelea printing house ya gazeti la chama chako Uhuru na wakati unawahoji wale wafanyakazi au kutaka wao waseme ukweli, ukiuangalia uso wa Katibu mkuu mstaafu Kinana unaona dhahiri jinsi gani alivyo kuwa na wasiwasi. Uso wake ulibadilika ghafla na kupatwa na uoga ili usije uka mwuumbua.

Sitapenda amini kama wewe hukujua nani aliye husikia na hila hizo za kulihujumu hilo gazeti. Ulijua fika lakini ulikuwa so naive, ukitegemea kuwa hao watu walio tenda hayo maovu, ukiwasamehe makosa yao waliyo yafanya wakati wakiwa madarakani basi watakupenda na kushirikiana na wewe katika malengo yako ya kujenga nchi.

Askofu Ngwajima alisha wahi kukusihi kuwa uwatimue viongozi wote wa zamani wa CCM na uanze upya na wana CCM wazalendo. Hayo makada hayana feeling kuwa mambo waliyo yatenda wakiwa madarakani hayakuwa sahihi. Wanaamini kuwa wao ndiyo wenye nchi na wana mamlaka ya kufanya chochote wanacho kitaka. Ndiyo wao walio teuliwa na Mungu kuwa rasilimali zote za Tanzania ni zao. Ni watu wabaya sana. Wana mawazo ya kinyama.

Umewasikia mwenyewe kwenye hiyo Audio conversations zao kati ya Katibu mkuu mstaafu Kinana na Mbunge Nape na Mbuge Nape tena na Ngeleja. Hiyo inaonyesha dhahiri kuwa wao ndiyo wana right ya kuingoza nchi na sio wewe ambaye wamekuita 'mshamba na mjinga usio jua historia ya ulimwengu ". Yaani mkamba kama Nape anathubutu kukuambia wewe "jamaa mshamba sana". Nape ni nani kwanza? Anafikiri kuwa yeye ni mtu bora sana kuliko watanzania wote? Huyu jamaa ni falah sana!

Unajua Rais Magufuli katika hii nchi nimegundua kitu kimoja, kuwa watoto wa baadhi ya viongozi walio pita kama akina Ridhiwani Kikwete, Maria Sarungi, Fatma Karume, huyo mkamba wako Nape, Generali na wengineo hawaamini kama wao hawana power tena kama enzi zile za wazazi wao. Nafikri wazazi wao wali waaminisha kuwa wao ndiyo wenye nchi na was watawaachia watoto wao madaraka hayo.Kwa kifupi, wamepatwa na bumbu wazi kuona kuwa wewe hii nchi umeirudisha kwa watanzania tena.

Kwa uchungu na hasira zao ndiyo hizo zinazo wafanya kutenda matendo ya hovyo kama ya kukutukana wewe, kama Ridhiwani Kikwete anavyo fanya mitandaoni, kukukejeli na kukudharau wewe kama Nape Mnauye anavyofanya na kukupinga wewe na kutumia nguvu kubwa ya kuzuia jitihada zako za kuwaletea maendeleo watanzania na hasa watanzania wanyonge kama matendo ya Maria Sarungi, Fatma Karume na Generali Ulimwengu.

Hawa watu waogope sana Rais Magufuli na usipende kuwa chekea chekea. Usitumie fadhila na wadhifa wa wazee wao kuwaona kama wao ni marafiki na wapendwa wako, sio kweli, hao ni chui kwenye ngozi ya kondoo. Hawakusaidii kitu chochote bali ni kukupotezea mda na kukuchelewesha katika harakati za kutekeleza malengo yako ya kuwaletea watanzania maendeleo na maisha bora tu.

Rais Magufuli watu kama akina Nape, Kinana, Membe, Ngeleja na wengineo ambao wako CCM na ambao kazi yao ni kutia vurugu na kuto onyesha ushirikiano katika sera zenu za chama chako, unawafuga wa nini? Kuwa mkali na wafukuzilie mbali. Wana nini wao? Na wamefanya nini kwa watanzania? They have done nothing! Absolutelly nothing kwa watanzania.

Mijitu kama Nape na tumbo lake kubwa na Membe kazi yao ni porojo tu na kejeli. Vitendo vyao vya kukusaliti wewe vinasikitisha sana na kuonekana kama wijitu isiyo kuwa na faida yeyote ile katika nchi yetu.

Nakuomba kabla ya kuwateua viongozi wako kama wakurugenzi na kadhalika wafanyie Assesment ya kutosha na ikibi wahusishe wananchi tutakusaidia. Kabla huja wateua wapost kwenye mitandao na waache wananchi wakupe mawazo yao juu ya watu hao. Nafikiri hii utanisaidia Sana, badala ya kukakaa ofisini peke yako na kuwa asasse. Kwa kufanya hivyo usishangae unawapata wako na ambao hawajui kitu na baadae kuwatambua.
 
Enzi za Kikwete CCM ilikuwa na makundi mengi sana, na yalisababisha siasa za CCM ziwe za rushwa na za makundi sana. Alipokuja Magufuli makundi hayo yakafa. Sasa kuelekea uchaguzi wa 2020, watu waliokuwa wanaongoza makundi ndani ya CCM hiyo ya Kikwete wanaaza kujenga makundi tena upya. Mojawapo ya failure kubwa sana kisiasa ndani ya CCM wakati wa Kikwete ni kuwepo makundi hayo. Muasisi wa kwanza wa makundi alikuwa Kikwete mwenyewe mwaka 2003 dhidi ya SAS, na ndiyo maana rushwa ikawa kubwa sana ndani ya CCM miaka hiyo na akawa hawezi kuikemea. Katika hatua yake ya kwanza ya kupigana na makundi hayo alikuja na dhana ya "Kujivua Gamba" na Nape akawa mpiga debe sana wa kuwasakama wale waliokuwa kwenye kundi la Lowasa, hali iliyosababisha Rostam ajitoe kwenye hizo "siasa za maji taka."

Audio niliyosikia jana inaonyesha kuwa ujenzi wa makundi unaaza tena sasa, na unaongozwa na wale waliokosa ulaji kutoka kwa Magufuli. Si ajabu kuona kuwa serikali ya Magufuli ina watu wengi wapya, na waliobakishwa ni wale ambao hawakuwa ndani ya makundi hayo ya CCM enzi hizo isipokuwa labda Makamba.
 
Umeongea point sana mleta Uzi, wanaopinga wakapimwe mkojo. Kuna watu ni mbwa mwitu lakini wamevaa ngozi za kondoo, ndo type za kinana, makamba, nape, ngeleja, etc. Natamani Magu awafurahishe kwa kuwapa show kidogo.
 
Rais Magufuli nasikitika kukuambia kuwa uwezo wako wa kuwaelewa watanzania wabaya ni mdogo sana. Mtu mwenye uwezo mkubwa wa kuwaelewa watu wabaya na hasa watanzania walio iangamiza nchi hii usinge mng'ang'ania mtu kama Kinana kuendelea kuwa katibu mkuu wa chama chako cha CCM na kumpa Mbunge Nape Mnauye uwaziri na kumwacha Mbunge kama Hussein Bashe.

Wewe mwenyewe kila wakati unapendelea kusema kuwa "msema ukweli ni mpenzi wa Mungu", lakini sina uhakika kama kweli unauamini msemo wako huo, maana wasema kweli kama Mbunge Hussein Bashe huwapendi na wala hutaki kuwasikia, wakati wao hawana kingine katika fikra zao zaidi ya kutoa mawazo ambayo wanaona nankuamini kuwa yatasaidia nchi kwenda mbele.

Walakaa huu wa Mzee Kinana na Mzee Makamba unakusuta sasa! Unakuonyesha ukweli wa mambo upo wapi na nani wabaya wako na wapinga maendeleo yetu. Watu ambao usoni kwako wewe una waona wa maana, kwenye kichongo chako ndiyo hao hao wasio kutakia mema.

Kwa taarifa yako tu kulingana na feeling zangu Nape Mnauye alitegemea kuwa waziri mkuu au waziri wa Resources ambazo zina nguvu au uzito mkubwa kama wizara ya fedha na mipango.
Sielewi kwa nini watu kama hao bado unawafuga kwenye chama chako. Ni nani wao hasa? Miungu wako hao?

Kama walikufanyia fadhila ya kukusaidia wewe kufanya kampeni ya kushinda uchaguzi, nina uhakika walifanya hivyo kwa ajili ya maslahi yao binafsi na sio kwa maslahi ya watanzania na nchi yetu kwa ujumla.

Kwenye hii clip yako ulipo tembelea printing house ya gazeti la chama chako Uhuru na wakati unawahoji wale wafanyakazi au kutaka wao waseme ukweli, ukiuangalia uso wa Katibu mkuu mstaafu Kinana unaona dhahiri jinsi gani alivyo kuwa na wasiwasi. Uso wake ulibadilika ghafla na kupatwa na uoga ili usije uka mwuumbua.

Sitapenda amini kama wewe hukujua nani aliye husikia na hila hizo za kulihujumu hilo gazeti. Ulijua fika lakini ulikuwa so naive, ukitegemea kuwa hao watu walio tenda hayo maovu, ukiwasamehe makosa yao waliyo yafanya wakati wakiwa madarakani basi watakupenda na kushirikiana na wewe katika malengo yako ya kujenga nchi.

Askofu Ngwajima alisha wahi kukusihi kuwa uwatimue viongozi wote wa zamani wa CCM na uanze upya na wana CCM wazalendo. Hayo makada hayana feeling kuwa mambo waliyo yatenda wakiwa madarakani hayakuwa sahihi. Wanaamini kuwa wao ndiyo wenye nchi na wana mamlaka ya kufanya chochote wanacho kitaka. Ndiyo wao walio teuliwa na Mungu kuwa rasilimali zote za Tanzania ni zao. Ni watu wabaya sana. Wana mawazo ya kinyama.

Umewasikia mwenyewe kwenye hiyo Audio conversations zao kati ya Katibu mkuu mstaafu Kinana na Mbunge Nape na Mbuge Nape tena na Ngeleja. Hiyo inaonyesha dhahiri kuwa wao ndiyo wana right ya kuingoza nchi na sio wewe ambaye wamekuita 'mshamba na mjinga usio jua historia ya ulimwengu ". Yaani mkamba kama Nape anathubutu kukuambia wewe "jamaa mshamba sana". Nape ni nani kwanza? Anafikiri kuwa yeye ni mtu bora sana kuliko watanzania wote? Huyu jamaa ni falah sana!

Unajua Rais Magufuli katika hii nchi nimegundua kitu kimoja, kuwa watoto wa baadhi ya viongozi walio pita kama akina Ridhiwani Kikwete, Maria Sarungi, Fatma Karume, huyo mkamba wako Nape, Generali na wengineo hawaamini kama wao hawana power tena kama enzi zile za wazazi wao. Nafikri wazazi wao wali waaminisha kuwa wao ndiyo wenye nchi na was watawaachia watoto wao madaraka hayo.Kwa kifupi, wamepatwa na bumbu wazi kuona kuwa wewe hii nchi umeirudisha kwa watanzania tena.

Kwa uchungu na hasira zao ndiyo hizo zinazo wafanya kutenda matendo ya hovyo kama ya kukutukana wewe, kama Ridhiwani Kikwete anavyo fanya mitandaoni, kukukejeli na kukudharau wewe kama Nape Mnauye anavyofanya na kukupinga wewe na kutumia nguvu kubwa ya kuzuia jitihada zako za kuwaletea maendeleo watanzania na hasa watanzania wanyonge kama matendo ya Maria Sarungi, Fatma Karume na Generali Ulimwengu.

Hawa watu waogope sana Rais Magufuli na usipende kuwa chekea chekea. Usitumie fadhila na wadhifa wa wazee wao kuwaona kama wao ni marafiki na wapendwa wako, sio kweli, hao ni chui kwenye ngozi ya kondoo. Hawakusaidii kitu chochote bali ni kukupotezea mda na kukuchelewesha katika harakati za kutekeleza malengo yako ya kuwaletea watanzania maendeleo na maisha bora tu.

Rais Magufuli watu kama akina Nape, Kinana, Membe, Ngeleja na wengineo ambao wako CCM na ambao kazi yao ni kutia vurugu na kuto onyesha ushirikiano katika sera zenu za chama chako, unawafuga wa nini? Kuwa mkali na wafukuzilie mbali. Wana nini wao? Na wamefanya nini kwa watanzania? They have done nothing! Absolutelly nothing kwa watanzania.

Mijitu kama Nape na tumbo lake kubwa na Membe kazi yao ni porojo tu na kejeli. Vitendo vyao vya kukusaliti wewe vinasikitisha sana na kuonekana kama wijitu isiyo kuwa na faida yeyote ile katika nchi yetu.

Nakuomba kabla ya kuwateua viongozi wako kama wakurugenzi na kadhalika wafanyie Assesment ya kutosha na ikibi wahusishe wananchi tutakusaidia. Kabla huja wateua wapost kwenye mitandao na waache wananchi wakupe mawazo yao juu ya watu hao. Nafikiri hii utanisaidia Sana, badala ya kukakaa ofisini peke yako na kuwa asasse. Kwa kufanya hivyo usishangae unawapata wako na ambao hawajui kitu na baadae kuwatambua.

Eti chama “”chako” cha CCM!

Jiwe anamiliki chama?

Kama sio Bashe umendika huu uzi kujipigia promo then its Bashite or some other stupid nigga!
 
Nape mburura tu, anatafuta cheo kwa hali na mali, anajuwa hatapata, anatumia mchezo mchafu sasa..Mze Kinana toka mwanzo alikuwa hampendi JPM, yajulikana, siyo siri, ni sababu za kifisadi za Mzee Kinana, ila CCM ipo imara, itasonga mbele tu..hawa wote na wenzao watawekwa kando,,ni wapiga ramli chonganishi tu..
 
Kuna wapumbavu wa kutupa Mkuu, na hawa ni tatizo kubwa sana nchini kwani hawajui haki zao kama raia na kila ovu la huyo nduli wao watalishangilia tu hata kama halina maslahi yoyote kwao.

Back
Top Bottom