Katika hali ya kuonyesha mpasuko ni dhahiri ndani ya CCM, jana Nape amefunguka kuhusu msimamo na kauli za Kingunge na kumwambia afanye anachotaka kufanya.
Huyu Kijana naona mwisho wake ni Oct.2015
Nionavyo ubabe huu lazima CCM watavuna walichopanda na wanacho kipalilia. katika hali isiyo ya kawaida katibu mkuu mstaafu Mzee Makamba kaibuka na kumzodoa Kingunge kwamba anatetea maslahi yàke.
Acha mpambano uendelee.
Makamba bila haya aibu! Hajui mwanaye naye alikuwa sehemu ya wagombea-kwa hiyo yeye hakuwa na Masilahi binafsi?
Jeuri ya CCM ni uwapo wa vijana na watu wazima wa aina hii alafu watu oyeeeeeeeeeeeeee ! Maisha Bora kwa kila mtanzania.
Hili la viuno haikutosha likaja ;