The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,218
- 17,369
Nape kakata mpaka jina la Mwandosya? Huyu kijana hatariii sana
Aliyekata majina yuko anakula bata majuu..... si mlisikia kuwa kwenye kikao cha CC alitoa karatasi mfuko wa nyuma badala ya kutumia minutes za kamati ya maadili!! With CCM, kanda za kaskazini na Nyanda za juu wasahau kuliongoza hili Taifa. Nafikiri CCM wana siri ambayo hawataki kutueleza Watanzania.