Nape: Kingunge afanye anachotaka

Nape: Kingunge afanye anachotaka

Matatizo ya wana-ccm yatatuliwe na wana-ccm wenyewe. Alichofanya Kingunge ni u-toto, kijifanya haelewi taratibu cha chama ambapo kwa miaka yake yote katika chama aliishi hivyo. Alichofanya ni kupeleka malalamiko kwa wana-ukawa na wengine ambao hawatamsaidia kwa lolote. Hongera sana nape, jibu lako ni sahihi, afanye atakacho. Yeye si hatima ya ccm. Najua wana-ukawa wa kingunge mtazodoa na hili.
 
kama bavicha yupo kijana mwenye uwezo wakusimama na kubishana na mzee mwenye chama MTEI jaribuni. NAPE NA MAKONDA wanakisema kile watanzania wengi wanakitaka huwezi mchekea fisadi LOWASSA

Hapa topic ni Nape na Kingunge. Hayo yako ya Makonda, Mtei na Lowassa ukitaka yaanzishie topic yake.
 
Ina maana uongozi wa ccm na bunge ni dhaifu kiasi kwamba walishindwa kumfukuza huyo fisadi ndani ya chama?au huo ufisadi ameufanya leo?

wakati wake wakukatwa umefika watu wamemkata ili ufisadi eake akaufanyie huko anakoenda kwa mbowe mpiga dili
 
Matatizo ya wana-ccm yatatuliwe na wana-ccm wenyewe. Alichofanya Kingunge ni u-toto, kijifanya haelewi taratibu cha chama ambapo kwa miaka yake yote katika chama aliishi hivyo. Alichofanya ni kupeleka malalamiko kwa wana-ukawa na wengine ambao hawatamsaidia kwa lolote. Hongera sana nape, jibu lako ni sahihi, afanye atakacho. Yeye si hatima ya ccm. Najua wana-ukawa wa kingunge mtazodoa na hili.

Taratibu zipi hizo ambazo Kingunge hazijui au unadhani Kingunge ni mgeni wa CCM?kama taratibu hazikuzingatiwa kumpata Mtu muhimu kwenye chama na Nchi unadhani ndio zitafuatwa kumsikiliza Mzee Kingunge?
 
Hapa topic ni Nape na Kingunge. Hayo yako ya Makonda, Mtei na Lowassa ukitaka yaanzishie topic yake.

nape anasimamia kile anachoamini.hakuna kumwogopa fisadi lowasa.naalishawaambia toka siku nyingi.mchukuweni nyinyi cdm huyo mamvi
 
Wasingeweza kumpitisha Lowassa halafu kipindi kizima cha kampeni iwe kazi ya kumsafisha. CHADEMA mchukueni Lowassa, muisaidie CCM kumsafisha. akisafishika mmeliwa, watamrejesha kundini.
 
Huo ni mtazamo wako mkuu
 
Nape si saizi ya mzee kingunge, bora awaache akina mzee makamba na lusinde wamjibu. tutasikia mengi sana
 
wakati wake wakukatwa umefika watu wamemkata ili ufisadi eake akaufanyie huko anakoenda kwa mbowe mpiga dili

Anzeni kuaga na kukusanya mahirizi yenu toka magogoni,maana baada ya october mnatakiwa kutupisha
 
waambie ndugu zenu ccm maana cdm siku hizi mnakumbatia wezi wanaofukuzwa ccm.
 
Taratibu zipi hizo ambazo Kingunge hazijui au unadhani Kingunge ni mgeni wa CCM?kama taratibu hazikuzingatiwa kumpata Mtu muhimu kwenye chama na Nchi unadhani ndio zitafuatwa kumsikiliza Mzee Kingunge?

Umesahau ni mwenyewe alisema kuwa kikao kimoja sio mwisho wa maamuzi, unaweza kukata rufaa kikao cha juu. Je alitumia nafasi hiyo? Kama hakutumia anamtishia nani sasa? Tangu MTU wake akatwe anaona aibu hata kuonana na viongozi wa chama ambao amewalea yeye. Mwalimu Jk aliwakemea viongozi kwenye vikao ikibidi aliwaita kwake.
 
Kweli, nacho soma humu ni ` MAWAZO MUHEMUKO'. Hahahaha
 
Back
Top Bottom