Nape JF sio sawa na Facebook

sasa km nape hajachaguliwa na watz nazunguka nini nchi nzima nakugawa tshirt bila kukaribishwa? mimi naamini kwakuwa ni kiongozi wa CCM na CCM ndo chama kinachotawala, basi amechaguliwa na watz maana watz ndo wamechagua CCM chama cha wavua magamba.
 
Mkuu nadhani wanaona wasubiri mpaka moto uje uingie ndani ya nyumba wajaribu kuuzima kama wataweza!
 
Nilitegemea Malechela atasema hoja ya kisomi ili tumuelewe kumbe nayeye anaingia kwenye Magamba tu teh teh teh
 
Jamaa anamadude ya ajabu ee?? teh teh teh ndio maana hawezi kuingia hapa!
 
Huu ndiyo ubaya wa chama cha magamba, uongozi wanapeana tu, bila mtu kuwa na sifa. Mwaka huu JMK atakoma na kugawa vyeo hata kwa wendawazimu kama akina NApe na Makamba

moto ukiingia ndani hakuna mtu wa kuuzima!
 
Kaka Willy, kumbuka kuwa kiongozi yeyote ni kioo cha jamii na ni role model hata kama ni kiongozi wa Kamati ya maandalizi ya harusi! Kiongozi awe wa chama chochote au popote maana yake ana watu/jamii anayoisimamia na kuiongoza yaani "watu" na si paka; hivyo kiongozi mbaya ni mfano mbaya kwa jamii na hafai! nape ni kiongozi wa chama kilichopo madarakani hivyo influence yake ni kubwa pia, matamko yanayoweza kuikwaza jamii na kuibua migongano na misuguano isiyo ya lazima hayatakiwi. Acha watu wampe ushauri, akiona unafaa aufanyie kazi, la haufai apuuze - thats all!
 
Unataka kumuona akifanya public politics wakati anatakiwa kutoa maelezo ya ushiriki wake
katika CCJ kwa maandishi kwenda kwa Mwenyekiti wake.

Bahati yake ni kwamba, Mwenyekiti hatayasoma labda awape wakina malisa
wamsomee na kumshauri, hapo dogo ndio atakuwa kwishne formally.
 
sasa km nape hajachaguliwa na watz nazunguka nini nchi nzima nakugawa tshirt bila kukaribishwa? mimi naamini kwakuwa ni kiongozi wa CCM na CCM ndo chama kinachotawala, basi amechaguliwa na watz maana watz ndo wamechagua CCM chama cha wavua magamba.

Anawazungukia wanachama wa chama chake na wasio wanachama ila sio kwamba kuwa kiongozi uliyeteuliwa na NEC ya chama chao then watanzania mil 40 wote wamekuchagua
 
Mkuu nadhani wanaona wasubiri mpaka moto uje uingie ndani ya nyumba wajaribu kuuzima kama wataweza!

Unapokiona kitoto cha nyoka kinazunguka kwenye nyumba yako na ukakiacha kwa kuw ani kitoto cha nyoka kuna siku kinavyozidi kula nafaka ndani ya nyumba yako kitakuwa chatu na hutoweza tena kumtoa ndani ya nyumba na atakumeza
 
The truth is open no one can hide! who don't know about Nape now a days? he is doing mambo ya ajabu kabisa!
 
Kitamwanzia Nape
 
The truth is open no one can hide! who don't know about Nape now a days? he is doing mambo ya ajabu kabisa!

Tunarudi pale kwenye dhana ya kuwa kiongozi na kioo kwa jamii kwa kila afanyacho. Ndo maana tuna viongozi ambao kila kukicha wanabatizwa majina mapya maana yale ya kuwa kiongozi safi yamepotea na hayana mshiko tena wamekuwa wala rushwa, mafisadi, wapiga debe yale ya wanamapinduzi, wazalendo yamekuwa msamiati uliopitwa na wakati
 
Heshima mbele mkuu WJM,
Awali ya yote nikupongeze kwa kujitokeza na kutoa comment yako.....

Mkuu huwa nakuheshimu sana kutokana na post zako lakini kwa hili umetoa utetezi haujitoshelezi kabisa sana samahani kwa kusema hivi.
1-Umeshindwa kutofautisha kuwa CCM ni chama dola
2-Viongozi wa CCM ni kama dira ya nchi yetu ndio maana mawaziri wote ni wa CCM na inchi yetu inatekeleza ilani ya CCM

Nije sehemu nilizobold ambazo kwa upande wangu nimeona umetoa utetezi usiojitosheleza kabisa kuliko kipindi chote nilichokufamu
1-Kwa sababu Nape ni kiongozi wa CCM basi akosolewe na wanaCCM tu kwa sababu wao ndio waliomteua huu ni uongo na upotoshaji wa hali ya juu,kiongozi yoyote haijailishi yuko CDM,CUF,UDP,TLP,NCCR,sector yoyote ile lazima akosolewe kwa lolote alifanyalo kwan hawa ndio viongozi wa Taifa letu
2-Unataka kutuaminisha kua kiongozi mzuri ni yule anayechukiwa na wengi, mbona baba wa Taifa alipendwa na wengi na alikua kiongozi mzuri.Naona sababu ya kukaa Marekani unataka utupe ideology za kimarekani.Nani asiyejua kua wamarekani ni wababe wanataka kuitawala duini,nani asiyejua Bushi kuivamia Iraq ni kulipiza visasi kwa kupigwa baba yake,nani asiyejua kua kuvamia Libya kunakofanya na wamarekani wanataka mafuta usitudanganye kwa hilo.
3-Unataka kutuambia kiongozi akiharibu tumsubiri wakati wa uchaguzi ndio tuzungumze madhambi yake,Je unafurahi uongozi huu wakiimla wa kuua watu huko nyamongo,Arusha,Mbarali wote hawa tuwasubiri wakati wa uchaguzi.Vipi na hao ambao si wanasiasa wakiharibu tuwasubiri wapi?
4-Nape ni kiongozi lazima ajadiliwe hapa jamvini........we dare to speak openly
 
Kiongozi umekosea hapo! Nape si kwa Tanzania bali ni Kiongozi wa Magamba Party
 
Yupo anafanya siasa mbadala,anacheza ngoma ya CDM.Anatangaza sera za CDM mapacha 3 ameacha kuwashambulia maana alikuwa peke yake.Mnafki JK alisema anayoyasema eti ndio waliyokubaliana,baada ya kupata mkwara toka kwa EL akalazmika kum2ma mkama akanushe kiana
 
Huyu ndio Nape bana.
Personality ya Dogo imeshuka kwa kiasi kikubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…