Ni vizuri ungejibu swali uliloulizwa , mimi nitakusaidia , sijui kuhusu mwigulu lakini January na Nape walisaidia wizi wa kura uliomweka madarakani Magufuli 2015 wakishirikiana na Kinana pamoja na Tume ya Uchaguzi , ofisi ya wizi ilikuwa masaki
View attachment 2611496
Hata wewe hili unalijua ila unaona aibu kuliweka wazi maana linadhalilisha .
Kilichotokea ni kwamba Magufuli alijaribu kuwatenga wote waliomsaidia kushinda ili kuwa huru , alijua kwamba hawa wanajua kwamba hakushinda , sasa akaona akiwaacha watatumia ule wizi wa kura walioufanya ili kumnanga , akaona awadukue kila walichofanya ili awatimue , lengo likiwa kuwadanganya wananchi kwamba aliwatimua kwa vile walimsengenya , kumbe alipanga kuwaondoa ili kujihifadhi na wizi wa kura walioufanya ili wasimsumbue kwenye uongozi wake , afanye anachotaka bila kusimangwa kwamba alisaidiwa .
Wema wao wa kuiba kura uliwaponza .