Nape, January na Mwigulu kwanini Magufuli aliwakataa?

Aliweza kuona fikra zao na mawazo yao, kwamba ni wapiga dili wakubwa wa Taifa hili.
Huku wakikibadilisha chama tawala CCM na kuwa chama familia na sio chama cha wananchi.

Kuna kikundi cha watu wachache kinataka koo zao, watoto wao na vitukuu vyao...........vitafune mali za hii nchi miaka na miaka.
 
Bora hizo familia zitafune tu kuliko kuwapa Nchi wasiojulikana😅😅
 
Hapo wanacheka namna wanavyompiga sa100 kamba!
Mwigulu anajidaigi ye ndo mchumi mbobezi kuliko watu woote kusini mwa afrika!
Huyo mgosi naye ni bonge la mnafki kujifanya anaongea kwa kunata kama mtu aliyeishi ulaya miaka buku.
Nape ni hewa ingine inayotembelea nyota ya marehemu faza ake...ila kimsingi hamna kitu kichwani na elimu yake ya kimagumashi kutoka India.
 
Hao woote uliotaja unawazidi nini?

Roho za chuki hazitawafikisha popote.
 
Ni kwa sababu walikuwa wanajuwa Magufuli kapatikana vipi kuwa Rais wa Tanzania. Hawa walikuwa wanajuwa ni kura kiasi gani Edward Lowasssa wa Chadema aliibiwa kupewa yeye.

Na kwa vile hawa ndiyo walimuweka kwenye madaraka alikuwa ANAJUWA kuwa WANAJUWA, hivyo akataka kuwafuta. Principle ya MAFIOSO ambayo Magufuli aliivunja ni kusaliti mfumo uliokuweka madarakani.

Magufuli alijisahau, akajifanya yeye alikuwa ni candidate bora kuliko wengine 42 wa CCM waliochukua fomu mwaka 2015. Magufuli alikuwa anajidanganya kudhania alimzidi kura Edward Lowassa. Siyo kweli. Bali architects wa uRais wake walikuwa ni JK, BMW, Kinana, Nape na January
Aliamini hao watu akiwaacha watamsumbua kwa kuwa alijua nguvu yao.
 
Back
Top Bottom