Muha huyo! Usiniquote vibaya ndugu yakoKwa hiyo Mimi naandikaga makamasi😅😅😅?
Nilikuelewa vizuri 🤣Muha huyo! Usiniquote vibaya ndugu yako
Ushaenda Chato?Sawa zwazwa
Ndio maana ss tunashangaa watu wanamsifia mama Samia,hv kiongozi mwenye maono,akili na mtazamo anaweza kweli kuwa na watu wajinga kama hawa kwenye baraza lake kweli.hv unawezaje kutetea makampuni vs wananchi ww waziri mzima,unatetea tozo za kijinga kabisa,unapinga mradi mkubwa wa umeme kama ule na unapewa wizara ,Tanzania tuna kazi kubwa.Ukiacha ushabiki pembeni, ukatuliza akili vizuri utagundua kuwa Mwigulu Nchemba, Januari Makamba na Nape Nnauye hawafai kuwa hata mabalozi wa nyumba kumi.
Ni watu wenye maringo na husda sana wanaoamini wao wana akili kubwa kuliko mtanzania yeyote na wanajiona wana HAKI ya kuwa viongozi zaidi ya walipo kwa sasa ( mawaziri).
Nape anatetea makampuni ya Simu badala ya wananchi, Mwigulu anatetea tozo na ukihoji utaambiwa hamia Burundi.
Mimi nipo nje ya nchi nikija holiday nitaenda lazimaUshaenda Chato?
Au zamu yako bado
Kamuulize Saanane.Thibitisha ukatili wake,
Jinga.
Hao si wenzangu, hicho kichwa chako usikitumie kama kabati la meno.Ongea sana wenzako wana lba asali chuki zako hazikusaidii chochote.
Mbona una kisirani mkuu kwani hii Nchi ni yako peke yako.Hao si wenzangu, hicho kichwa chako usikitumie kama kabati la meno.
Tumia akili.
HaUkiacha ushabiki pembeni, ukatuliza akili vizuri utagundua kuwa Mwigulu Nchemba, Januari Makamba na Nape Nnauye hawafai kuwa hata mabalozi wa nyumba kumi.
Ni watu wenye maringo na husda sana wanaoamini wao wana akili kubwa kuliko mtanzania yeyote na wanajiona wana HAKI ya kuwa viongozi zaidi ya walipo kwa sasa ( mawaziri).
Nape anatetea makampuni ya Simu badala ya wananchi, Mwigulu anatetea tozo na ukihoji utaambiwa hamia Burundi.
Huyu aliyewaengua ni katili pia?Hao siyo makatili na bwana yule alitaka watu makatili kama yeye.
Hatufahamu sababu mpaka sasa.Huyu aliyewaengua ni katili pia?