YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,374
SawaNyumbani mkuu,ila wapi sitakutajia
SawaNyumbani mkuu,ila wapi sitakutajia
Bora kwa maslahi yako binafsi.Pamoja na uadilifu wao kuwa wa mashaka bado ni watu bora sana ukilinganisha na wale wasiojulikana waliofanya nchi ikaugua.
Fursa labda za wezi wa umma ndio zipo wazi,binafsi nafanya kazi kama contractor kwa construction industry figisu,rushwa kuanzia DED,procurement officers,wahasibu,engineers kila mtu anataka hongo nina jengo nimeshika la 32 milion mpaka pesa zilirudi hadhina kisa hawataki kusaini payment certificate,kipindi cha jpm hatukuwa na huu upumbavu na madhara yake ni inflations,madeni,delay in projects,ndio maana matukio ya ajabu yanatokea yanayochangiwa na ugumu wa maisha.Sijakuelewa, vipi wana"kupisha".
Serikali nzuri hutengeneza fursa, mama Samia ametengeneza na anaendelea kutengeneza fursa nyingi sana kwa muda mchache aliopo madarakani.
Hao uliowataja walikuzuwia wapi kutumia fursa? Au huna macho ya kuziona fursa zinazoibuka kila kukicha?
Pole sana.
Kama hupendi kufanya kazi huwezi kuziona fursa, wenye kuziona wanazitumia vilivyo.Fursa labda za wezi wa umma ndio zipo wazi,binafsi nafanya kazi kama contractor kwa construction industry figisu,rushwa kuanzia DED,procurement officers,wahasibu,engineers kila mtu anataka hongo nina jengo nimeshika la 32 milion mpaka pesa zilirudi hadhina kisa hawataki kusaini payment certificate,kipindi cha jpm hatukuwa na huu upumbavu na madhara yake ni inflations,madeni,delay in projects,ndio maana matukio ya ajabu yanatokea yanayochangiwa na ugumu wa maisha.
Unapouliza hilo swali pia uliza kwanini Samia amewakubali,?Hiyo miamba sijui inacheka nini Ila awamu ya Tano walikataliwa kwa lipi na awamu ya sita wamekubalika kwa lipi kwa Taifa letu Tanzania?View attachment 2611257
Huyo mkanyaga viuno vya wamama waliomleta duniani kichwani ni mithiri ya puto la singasingaHapo wanacheka namna wanavyompiga sa100 kamba!
Mwigulu anajidaigi ye ndo mchumi mbobezi kuliko watu woote kusini mwa afrika!
Huyo mgosi naye ni bonge la mnafki kujifanya anaongea kwa kunata kama mtu aliyeishi ulaya miaka buku.
Nape ni hewa ingine inayotembelea nyota ya marehemu faza ake...ila kimsingi hamna kitu kichwani na elimu yake ya kimagumashi kutoka India.
Mwigulu ndio asijue? We jamaa mshamba
Mshamba wewe na mumeoMwigulu ndio asijue? We jamaa mshamba kweli.
Hao ni bora kuliko hao viaziAkamkata Nape Na Makamba akamkubali Makonda, Sabaya na Musiba??[emoji28][emoji28][emoji28]
Takbiiiir!.Sijakuelewa, vipi wana"kupisha".
Serikali nzuri hutengeneza fursa, mama Samia ametengeneza na anaendelea kutengeneza fursa nyingi sana kwa muda mchache aliopo madarakani.
Hao uliowataja walikuzuwia wapi kutumia fursa? Au huna macho ya kuziona fursa zinazoibuka kila kukicha?
Pole sana.
Jamaa alikuwa na gubu.Hiyo miamba sijui inacheka nini Ila awamu ya Tano walikataliwa kwa lipi na awamu ya sita wamekubalika kwa lipi kwa Taifa letu Tanzania?View attachment 2611257
Ushahidi wa nini kwenye ukweli?Unaweza kutuwekea Ka ushahidi tafadhali?
Hahahaha umenifanya nicheke sanaTakbiiiir!.
Ungekuwa na akili usingedai ka-ushahidi, ujinga nao ni kilemaUnaweza kutuwekea Ka ushahidi tafadhali?
Wanaiona aibu Sasa hiviWalipinga miradi yote ya kimkakati inayopendezesha nchi kwa sasa
Kwa hiyo mwana Chato alikuwa Shoga? Maana wafiraji na wafirwaji wote ni mashogaUtakuwa ulifirwa na mwana chato wewe ,si kwa chuki hizi
Yap, tunasonga mbele. Demokrasia imepanuka, uhuru wa maoni umerejea, dhuluma hakuna na hakuna mtu anauliwa kwa kutekwa na kikundi cha WASIOJULIKANA.Kaondoka kawaachia nchi yenu
Vp sasa mmeendelea kwa lipi bila yy
Maisha yamekuwa rahisi??
Tz imekuwa ulaya au??
Noma na Nusu na Robo 😁malaya kaona castle lite za baridiii