Kaondoka kawaachia nchi yenuNi kwa sababu walikuwa wanajuwa Magufuli kapatikana vipi kuwa Rais wa Tanzania. Hawa walikuwa wanajuwa ni kura kiasi gani Edward Lowasssa wa Chadema aliibiwa kupewa yeye.
Na kwa vile hawa ndiyo walimuweka kwenye madaraka alikuwa ANAJUWA kuwa WANAJUWA, hivyo akataka kuwafuta. Principle ya MAFIOSO ambayo Magufuli aliivunja ni kusaliti mfumo uliokuweka madarakani.
Magufuli alijisahau, akajifanya yeye alikuwa ni candidate bora kuliko wengine 42 wa CCM waliochukua fomu mwaka 2015. Magufuli alikuwa anajidanganya kudhania alimzidi kura Edward Lowassa. Siyo kweli. Bali architects wa uRais wake walikuwa ni JK, BMW, Kinana, Nape na January
Vp sasa mmeendelea kwa lipi bila yy
Maisha yamekuwa rahisi??
Tz imekuwa ulaya au??