Nape, January na Mwigulu kwanini Magufuli aliwakataa?

Nape, January na Mwigulu kwanini Magufuli aliwakataa?

Hiyo miamba sijui inacheka nini Ila awamu ya Tano walikataliwa kwa lipi na awamu ya sita wamekubalika kwa lipi kwa Taifa letu Tanzania?View attachment 2611257
Wote wapigaji tu. Januari kamshawishi mama eti shs bil 11 kurekebisha tanesco. Na maharage wake mgosi mwenzie watazila zote kwa miradi ya ku force na ubadhirifu. Huyo nape anahujumu ttcl eti ipandishe bei sawa na kampuni binafsi badala ya kampuni binafsi kushusha bei eti level ground ni ttcl kupandisha bei. Hayo ndio mashindano gani kibiashara. Competition ni ili wananchi wauziwe huduma bei nzuri na ya chini na ndio sababu kuwepo shirika la umma kutoa huduma. Haya huyo ng'wigulu madilu ndio usiseme. Badala ya kusimamia TRA walete mapato yeye ni kukopa tu nje eti mama kasema bila kukopa hatuwezi kufanya miradi. Ila kila akikopa nje na mabasi ya familia yanaongezeka.
Mungu tunusuru.
 
Faizafox ye kinachomfanya huu utawala kumkuna zaidi ni sababu za udini tuu hamna kingine.
Binafsi JPM sikumpenda ila huu utawala wa Sa100 ni urojo balaa...na dhaifu sana kama ilivyokuwa kwa JK labda ndio maana kuna watu wanaamini rimoti ipo msoga!
Yaani mafisadi yanaombwa yatupishe...khaaa!!!.
Na wewe kuwa fisadi kama unadhani ni rahisi
 
Ni kwa sababu walikuwa wanajuwa Magufuli kapatikana vipi kuwa Rais wa Tanzania. Hawa walikuwa wanajuwa ni kura kiasi gani Edward Lowasssa wa Chadema aliibiwa kupewa yeye.

Na kwa vile hawa ndiyo walimuweka kwenye madaraka alikuwa ANAJUWA kuwa WANAJUWA, hivyo akataka kuwafuta. Principle ya MAFIOSO ambayo Magufuli aliivunja ni kusaliti mfumo uliokuweka madarakani.

Magufuli alijisahau, akajifanya yeye alikuwa ni candidate bora kuliko wengine 42 wa CCM waliochukua fomu mwaka 2015. Magufuli alikuwa anajidanganya kudhania alimzidi kura Edward Lowassa. Siyo kweli. Bali architects wa uRais wake walikuwa ni JK, BMW, Kinana, Nape na January
Kwani katika Historia ya CCM ni lini walishinda Urais kihalali? Mwalimu Nyerere alianza kugombea yeye na kivuli na kwenye vyama vingi wengi waliokuwa viongozi wa upinzani walikuwa ni TISS.
Kwaiyo aliyemuweka madarakani siyo hao wapuuzi bali ni TISS,Jeshi la Polisi na NEC.Hao Watoto wadogo sana kwenye decisions making machinery!
 
Kaondoka kawaachia nchi yenu
Vp sasa mmeendelea kwa lipi bila yy
Maisha yamekuwa rahisi??
Tz imekuwa ulaya au??
Kila kukicha wanazindua miradi aliyoiacha JPM[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwanini umetaja hao tu?

Magufuli hakuwa Kiongozi bora! Ila alikuwa mtawala bora
Mwendazake alikuwa dikteta. Alikuwa fisadi. Alikuwa mwizi. Alikuwa mwongo. Alikuwa katili na muuaji.

Leo hii tunavuna matunda ya "legacy" yake mfano hili Bunge bovu na dhaifu tangu uhuru.

"Mafiga yake matatu" yametuletea ufisadi, wizi na UBADHIRIFU mkubwa katika kila sekta badala ya alichodai "wapinzani wanatucheleweshea maendeleo..."

"Hapa kazi tu" na "maamuzi na ushauri wa kishujaa" vimeendelea kuligharimu Taifa kwa hasara, kesi, madeni na riba hasimu kwa uchumi wetu. Yule akikuwa doa na unajisi kwa nchi yetu.

Tatizo la ajira leo, alilikuza yeye; kwa sera zake mbovu na Kijamaa - alilifukuza/ kukimbiza wawekezaji wa nje na ndani (wa ndani aliwaita wahujumu uchumi bila ukweli, sababu wala ushahidi wowote) - kwani Mahakama "yake" ya Mafisadi ilihukumu kesi ngapi? Ilifunga wangapi?
Maigizo yake tu ili apige 'plea bargains'.

Tutaendelea kuanika maovu yote ya "shujaa' ili "legacy " iwe sawa na kamili.
 
Ni kwa sababu walikuwa wanajuwa Magufuli kapatikana vipi kuwa Rais wa Tanzania. Hawa walikuwa wanajuwa ni kura kiasi gani Edward Lowasssa wa Chadema aliibiwa kupewa yeye.

Na kwa vile hawa ndiyo walimuweka kwenye madaraka alikuwa ANAJUWA kuwa WANAJUWA, hivyo akataka kuwafuta. Principle ya MAFIOSO ambayo Magufuli aliivunja ni kusaliti mfumo uliokuweka madarakani.

Magufuli alijisahau, akajifanya yeye alikuwa ni candidate bora kuliko wengine 42 wa CCM waliochukua fomu mwaka 2015. Magufuli alikuwa anajidanganya kudhania alimzidi kura Edward Lowassa. Siyo kweli. Bali architects wa uRais wake walikuwa ni JK, BMW, Kinana, Nape na January
Kwa hiyo hiyo ndio sababu ya kuwatoa na sio utendaji ilaa hii inch kuja kuendelea hadi haya majinga yaelimike kwanza
 
Back
Top Bottom