Nape, January na Mwigulu kwanini Magufuli aliwakataa?

Nape, January na Mwigulu kwanini Magufuli aliwakataa?

Adui yako muweke karibu , Mwigulu umeshawekwa mtu kati be careful Siasa za fitna ya mapanga huzijui vizuri be careful be careful be careful
Wkt nasoma s/msingi kuna jamaa alikua Mbabe sn ila mpole ...ilaukitaka ulevzr ,usionewe na mtu yyt shuleni basi kua upande wake. ..hakuna anaekugusa...hii ipo mpk makazini,km haupo kwenye hio network hutajua chochote...waliosoma Cuba wamenielewa
 
Kikwete is one notorious masterminder of grand corruption in Tanzania and the chief gangster of all hooligans in CCM.
 
Aiseeh[emoji23][emoji23]

Kwamba January, Nape na Mwiguli(aliyebandika picha kwenye mawe Tz nzima), ndio waliomuweka JPM kuwa Rais?

Mara mojamoja kwenye mada zinazokuzidi uwezo ujifunze kukaa kimya, vinginevyo utakuwa unauanika ujinga wako kama hivi kila siku.
Ongea sana wenzako wana lba asali chuki zako hazikusaidii chochote.
 
Hiyo miamba sijui inacheka nini Ila awamu ya Tano walikataliwa kwa lipi na awamu ya sita wamekubalika kwa lipi kwa Taifa letu Tanzania?View attachment 2611257
Idadi ya aliowatuea ilikuwa inatosha wewe mbona una fikra mbovu kwanini hujiulizi wewe hukuwepo ila unawataja watu wengine wewe unafikiri huwezi hiyo nafasi na kujishusha kiasi hichi au wewe kuongelea wenzio unaona fahari usiwe mpumbafu kama mommy yako! Nyau wewe!
 
Ni kwa sababu walikuwa wanajuwa Magufuli kapatikana vipi kuwa Rais wa Tanzania. Hawa walikuwa wanajuwa ni kura kiasi gani Edward Lowasssa wa Chadema aliibiwa kupewa yeye.

Na kwa vile hawa ndiyo walimuweka kwenye madaraka alikuwa ANAJUWA kuwa WANAJUWA, hivyo akataka kuwafuta. Principle ya MAFIOSO ambayo Magufuli aliivunja ni kusaliti mfumo uliokuweka madarakani.

Magufuli alijisahau, akajifanya yeye alikuwa ni candidate bora kuliko wengine 42 wa CCM waliochukua fomu mwaka 2015. Magufuli alikuwa anajidanganya kudhania alimzidi kura Edward Lowassa. Siyo kweli. Bali architects wa uRais wake walikuwa ni JK, BMW, Kinana, Nape na January
Maneno mazito haya, walinda legacy wanayapitia kuleeeee!
 
Idadi ya aliowatuea ilikuwa inatosha wewe mbona una fikra mbovu kwanini hujiulizi wewe hukuwepo ila unawataja watu wengine wewe unafikiri huwezi hiyo nafasi na kujishusha kiasi hichi au wewe kuongelea wenzio unaona fahari usiwe mpumbafu kama mommy yako! Nyau wewe!
Wewe mkunsu kwanini Unatumia log ya benki kwani ni Mali yako?
 
Ukiacha ushabiki pembeni, ukatuliza akili vizuri utagundua kuwa Mwigulu Nchemba, Januari Makamba na Nape Nnauye hawafai kuwa hata mabalozi wa nyumba kumi.

Ni watu wenye maringo na husda sana wanaoamini wao wana akili kubwa kuliko mtanzania yeyote na wanajiona wana HAKI ya kuwa viongozi zaidi ya walipo kwa sasa ( mawaziri).

Nape anatetea makampuni ya Simu badala ya wananchi, Mwigulu anatetea tozo na ukihoji utaambiwa hamia Burundi.
Well said
 
Kwani katika Historia ya CCM ni lini walishinda Urais kihalali? Mwalimu Nyerere alianza kugombea yeye na kivuli na kwenye vyama vingi wengi waliokuwa viongozi wa upinzani walikuwa ni TISS.
Kwaiyo aliyemuweka madarakani siyo hao wapuuzi bali ni TISS,Jeshi la Polisi na NEC.Hao Watoto wadogo sana kwenye decisions making machinery!
Kwani TISS unadhani ni Wamarekani au Wahindi? Au unadhani wakisema NEC wanamaanisha nini? Mimi nimekudadavulia tu waliocheza mchezo kisha TISS na hiyo NEC yao ikapewa cha kutangaza
 
Hivi wewe una akili kweli maana kila siku unaandika makamasi tu! Au ndugu yake na Joannah aka muha
Fuatilia posts zangu halafu angalia "likes" na "replies" ndiyo utajuwa nina akili au sina.

The fact kwamba unasikia kitu kwa mara ya kwanza toka kwangu jitambue kuwa wewe ni MBURURA, soma tu kama wenzio
 
Hiyo miamba sijui inacheka nini Ila awamu ya Tano walikataliwa kwa lipi na awamu ya sita wamekubalika kwa lipi kwa Taifa letu Tanzania?View attachment 2611257
Walikataliwa kwa sababu mzee wa Chato hakutaka seniors katika chama na serikali. Alipenda kama akina bashiru wasiokijua chama ili awaburuze vema kwa sababu hawajui alikotoka.
Mzee alikuwa mchanga katika figisu za ccm na akaona wageni wasio na mizizi watamfaa kuliko wakongwe ambao baba zao ni makada waliokunywa maji ya kijani kwa kubobea elimu za kile chuo cha kivukoni.
 
Fuatilia posts zangu halafu angalia "likes" na "replies" ndiyo utajuwa nina akili au sina.

The fact kwamba unasikia kitu kwa mara ya kwanza toka kwangu jitambue kuwa wewe ni MBURURA, soma tu kama wenzio
Low IQ na utoto mwingi
 
Back
Top Bottom