Nape, January na Mwigulu kwanini Magufuli aliwakataa?

Nape, January na Mwigulu kwanini Magufuli aliwakataa?

Fursa labda za wezi wa umma ndio zipo wazi,binafsi nafanya kazi kama contractor kwa construction industry figisu,rushwa kuanzia DED,procurement officers,wahasibu,engineers kila mtu anataka hongo nina jengo nimeshika la 32 milion mpaka pesa zilirudi hadhina kisa hawataki kusaini payment certificate,kipindi cha jpm hatukuwa na huu upumbavu na madhara yake ni inflations,madeni,delay in projects,ndio maana matukio ya ajabu yanatokea yanayochangiwa na ugumu wa maisha.
Masikini wewe acha zako
 
Mwendazake alikuwa dikteta. Alikuwa fisadi. Alikuwa mwizi. Alikuwa mwongo. Alikuwa katili na muuaji.

Leo hii tunavuna matunda ya "legacy" yake mfano hili Bunge bovu na dhaifu tangu uhuru.

"Mafiga yake matatu" yametuletea ufisadi, wizi na UBADHIRIFU mkubwa katika kila sekta badala ya alichodai "wapinzani wanatucheleweshea maendeleo..."

"Hapa kazi tu" na "maamuzi na ushauri wa kishujaa" vimeendelea kuligharimu Taifa kwa hasara, kesi, madeni na riba hasimu kwa uchumi wetu. Yule akikuwa doa na unajisi kwa nchi yetu.

Tatizo la ajira leo, alilikuza yeye; kwa sera zake mbovu na Kijamaa - alilifukuza/ kukimbiza wawekezaji wa nje na ndani (wa ndani aliwaita wahujumu uchumi bila ukweli, sababu wala ushahidi wowote) - kwani Mahakama "yake" ya Mafisadi ilihukumu kesi ngapi? Ilifunga wangapi?
Maigizo yake tu ili apige 'plea bargains'.

Tutaendelea kuanika maovu yote ya "shujaa' ili "legacy " iwe sawa na kamili.
Hakuwa na jema hata moja huyo mwendazake?
 
Kaondoka kawaachia nchi yenu
Vp sasa mmeendelea kwa lipi bila yy
Maisha yamekuwa rahisi??
Tz imekuwa ulaya au??
No, tumekuwa na amani tele.
We hujui tu ni kwa jinsi gani tumerudishiwa furaha yetu na muumba.
 
Hao ni bora kuliko hao viazi
Yaani sabaya ni bora kuliko hao??? Mna nn nyie watu ? Unajua mshahara wq DC kweli wewe? Unajua mali anazomiliki sabaya lakini?
Siyo kila aaliyekataliwa na chizi ni mbaya mengine yalikuwa mauga yake tu.
Haya sasa yupo wapi? Hahahaha
 
1667240975782-png.2403339
 
Wana amani mkiiwa mnaiba mkinyimwa kuiba mnaanza kusema Kuna watu wanatekwa.
Lini tuliacha kuibiwa kama taifa? Yule musiba pesa za kujenga yale ma apartments, kununua mashamba na maviwanja kapata wapi ????alikuwa anafanya kazi gani kama siyo matumizi mabaya ya pesa za umma kwa ukasuku
 
Yaani sabaya ni bora kuliko hao??? Mna nn nyie watu ? Unajua mshahara wq DC kweli wewe? Unajua mali anazomiliki sabaya lakini?
Siyo kila aaliyekataliwa na chizi ni mbaya mengine yalikuwa mauga yake tu.
Haya sasa yupo wapi? Hahahaha
Acha utahira dogo,!

Kwa hiyo hao viazi wako mali wanazomiliki zinaendana na mishahara yao?

Yani wewe mfuasi wa Lisu leo hii umegeuka mtetezi wa hao wezi?

Ndio maana mbowe anawageuza kama chapati mavi nyie
 
Mm sijawa mfuasi wa mtu mm ni mfuasi wa haki. Nyie mliokuwa wafuasi wa shetani ndiyo mnaweweseka mkikesha kuomboleza! Niambie ni Nani hapo lumumba ambaye siyo mwizi?
Mnakaa mkilaumiana wakati nyie wote ni walewale?
Makonda, Sabaya na musiba wana unafuu gani ukilinganisha na makamba?
Soma I am the state, mwananchi wapo pg 2 sasa!
 
Lini mwenye njaa akawa na furaha wewe ***** fresh
Kama ni njaa nchi ilikuwa kali kipindi cha Nyerere na haijawahi kuisha.
Lkn wakati wa lile shetani lenu la Chato na amani pia ilitoweka
 
Acha utahira dogo,!

Kwa hiyo hao viazi wako mali wanazomiliki zinaendana na mishahara yao?

Yani wewe mfuasi wa Lisu leo hii umegeuka mtetezi wa hao wezi?

Ndio maana mbowe anawageuza kama chapati mavi nyie
Sio lazima utukane.
Hoja ni kwamba Sabaya anaweza kuwa na afadhali kuliko akina Nape!
 
Ni kwa sababu walikuwa wanajuwa Magufuli kapatikana vipi kuwa Rais wa Tanzania. Hawa walikuwa wanajuwa ni kura kiasi gani Edward Lowasssa wa Chadema aliibiwa kupewa yeye.

Na kwa vile hawa ndiyo walimuweka kwenye madaraka alikuwa ANAJUWA kuwa WANAJUWA, hivyo akataka kuwafuta. Principle ya MAFIOSO ambayo Magufuli aliivunja ni kusaliti mfumo uliokuweka madarakani.

Magufuli alijisahau, akajifanya yeye alikuwa ni candidate bora kuliko wengine 42 wa CCM waliochukua fomu mwaka 2015. Magufuli alikuwa anajidanganya kudhania alimzidi kura Edward Lowassa. Siyo kweli. Bali architects wa uRais wake walikuwa ni JK, BMW, Kinana, Nape na January
Hivi wewe una akili kweli maana kila siku unaandika makamasi tu! Au ndugu yake na Joannah aka muha
 
No, tumekuwa na amani tele.
We hujui tu ni kwa jinsi gani tumerudishiwa furaha yetu na muumba.
Lini mwenye njaa akawa na furaha wewe *****
Kama ni njaa nchi ilikuwa kali kipindi cha Nyerere na haijawahi kuisha.
Lkn wakati wa lile shetani lenu la Chato na amani pia ilitoweka
Wewe zumbukuku malaya ni tahira pro max niishie hapo
 
Back
Top Bottom