Nape, January na Mwigulu kwanini Magufuli aliwakataa?

Sir luta

Senior Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
175
Reaction score
245
Hiyo miamba sijui inacheka nini Ila awamu ya Tano walikataliwa kwa lipi na awamu ya sita wamekubalika kwa lipi kwa Taifa letu Tanzania?
FB_IMG_1683265327415.jpg
 
Ukiacha ushabiki pembeni, ukatuliza akili vizuri utagundua kuwa Mwigulu Nchemba, Januari Makamba na Nape Nnauye hawafai kuwa hata mabalozi wa nyumba kumi.

Ni watu wenye maringo na husda sana wanaoamini wao wana akili kubwa kuliko mtanzania yeyote na wanajiona wana HAKI ya kuwa viongozi zaidi ya walipo kwa sasa ( mawaziri).

Nape anatetea makampuni ya Simu badala ya wananchi, Mwigulu anatetea tozo na ukihoji utaambiwa hamia Burundi.
 
Ni mtu wa visasi na kujiona yeye mwamba hakuna zaidi yake.
 
Adui yako muweke karibu , Mwigulu umeshawekwa mtu kati be careful Siasa za fitna ya mapanga huzijui vizuri be careful be careful be careful
 
Hiyo miamba sijui inacheka nini Ila awamu ya Tano walikataliwa kwa lipi na awamu ya sita wamekubalika kwa lipi kwa Taifa letu Tanzania?View attachment 2611257
Ni kwa sababu walikuwa wanajuwa Magufuli kapatikana vipi kuwa Rais wa Tanzania. Hawa walikuwa wanajuwa ni kura kiasi gani Edward Lowasssa wa Chadema aliibiwa kupewa yeye.

Na kwa vile hawa ndiyo walimuweka kwenye madaraka alikuwa ANAJUWA kuwa WANAJUWA, hivyo akataka kuwafuta. Principle ya MAFIOSO ambayo Magufuli aliivunja ni kusaliti mfumo uliokuweka madarakani.

Magufuli alijisahau, akajifanya yeye alikuwa ni candidate bora kuliko wengine 42 wa CCM waliochukua fomu mwaka 2015. Magufuli alikuwa anajidanganya kudhania alimzidi kura Edward Lowassa. Siyo kweli. Bali architects wa uRais wake walikuwa ni JK, BMW, Kinana, Nape na January
 
Niliwaambia CAG ni upepo tu utapita mkabisha, haya sasa Makamba nipe 5mills tuliyo bet.
 
Ni kwa sababu walikuwa wanajuwa Magufuli kapatikana vipi kuwa Rais wa Tanzania. Hawa walikuwa wanajuwa ni kura kiasi gani Edward Lowasssa wa Chadema aliibiwa kupewa yeye.

Na kwa vile hawa ndiyo walimuweka kwenye madaraka alikuwa ANAJUWA kuwa WANAJUWA, hivyo akataka kuwafuta. Principle ya MAFIOSO ambayo Magufuli aliivunja ni kusaliti mfumo uliokuweka madarakani.

Magufuli alijisahau, akajifanya yeye alikuwa ni candidate bora kuliko wengine 42 wa CCM waliochukua fomu mwaka 2015. Magufuli alikuwa anajidanganya kudhania alimzidi kura Edward Lowassa. Siyo kweli. Bali architects wa uRais wake walikuwa ni JK, BMW, Kinana, Nape na January
Unaweza kutuwekea Ka ushahidi tafadhali?
 
Utakuwa ulifirwa na mwana chato wewe ,si kwa chuki hizi
 
Back
Top Bottom