Nape: Dhambi ya ubaguzi inaimaliza CHADEMA!

Nape: Dhambi ya ubaguzi inaimaliza CHADEMA!

Katibu wa NEC-CCM Nape NNauye ambaye vile vile ni Mkuu wa Itikadi na Uenezi, ametoboa siri ya kifo cha CHADEMA kuwa kitatokana na ubaguzi kati ya wananachama wake.

Ingalau magazeti mawili yamemnukuu akikomelea msumari katika tofauti zinazojitokeza hivi sasa ndani ya CHADEMA.Gazeti la Majira (21/1/2013) lenyewe limedai kwamba :

"Nape afichua siri za kifo cha CHADEMA, na kudai-hakuna dawa ya kutumia lazima kife-ameendelea ku
Page 4 ya gazeti hili linaendelea

"Alisema(NAPE) ubaguzi ulioota mizizi kwa muda mrefundio unakimalizachama hichoambao umelelewa na waasisi pamoja na viongozi wa kitaifa hivyo kina haki ya kufa kutokana na dhambi hiyo"

Aliendelea...

"Hamuwezi kuwa na chama ambacho kinaendekeza ubaguzi..ili kiongozi wake adumu na kuheshimika lazima atoke ukanda fulani au ukoo fulani vinginevyo anasukiwa mizengwe na kutimiliwa. Walianza na marehemu Wangwe.... hivi sasa wameanza kumuandama Zitto Kabwe(Naibu Katibu Mkuu CHADEMA) na wanaoitwa vijana wake, nasikia wiki ijayo wamejipanga kumfukuza Shibuda(Bunge wa Maswa)"

Nnauye akamalizia kwa msumari mzito

"CHADEMA ni chama kidogo kinabaguana kiasi hicho, wakipewa dhamana ya kutawala nchi hali itakuwa mbaya zaidi"

My take

Wana CHADEMA huo ni msumari unaoweza kuwa mkuki moyoni.
Jisahihisheni kabla hamjafa kweli.
(NB wale wenye matusi chukueni likizo)

ama kweli Nape umezidi kudhihilisha upunguani ulionao,hivi CDM na CCM ni kipi kinachoongoza kugandamiza democrasia kwa wanachama wake na usultan wa kurithishana vyeo,maana mpaka sasa jina la rais anayetakiwa liko mezani kwa Kikwete,hii ni kwa mujibu wa tamko la uvccm,mkoani pwani.pili uchaguzi wa mwenyekiti wenu taifa kura kupigwa kimikoa na lazima katibu wa mkoa aone umepiga nini,ndiyo au hapana,je?hii ni democrasia ya wapi.
 
Cdm badala ya kutumia michango ya wanachama kuokoa chama mnalipa wabwia unga kwa ajili ya kuzomea
Kumbe kweli umeipata hiyo???CDM hakuna fedha za ufisadi eti kulipa watu wazomeee CCM ni kwamba watu wamewachoka, jaribu sasa uende Mtwara, KIBARAKA WENU wa NCCR aliokolewa na Polisi kamuulize!!!!

ndoto za alinacha!janja yenu tushaijua ccm!mmechemka!!endeleeni kusubiri cdm ife,teh teh
 
Ndugu yangu kifo cha CHADEMA hakitakuwa na athari kwa uchumi wa taifa letu la Tanzania,hizo ni porojo, nadhani boss wako angelikua na akili angali tueleza ana mpango gani wa kuinua uchumi wa nchi yetu!!! Ni lini wezi walioficha fedha zetu Uswiss na kwingineko watazirudisha!!! Ili kuweza kuboost uchumi wa nchi yetu unaodorola!!! Hizo sera za sijui CHADEMA itakufa sijui ubaguzi hazina maana, kwa sababu CDM ikifa kwake ni sherehe, hayo matundu anayojaribu kuzibua anajidanganya!!! Watanzania wanataka kujua hatua zipi serikali ya CCM inachukua kuhusu wezi kuanzia EPA, MEREMETA, RICHMOND, DOWANS hao watu wanaopeta mitaani wengine eti wanataka kugombea Urais!!!!

Kweli sikio la kufa halisikii dawa.

Kuwaambia acheni ubaguzi wa kikanda imekuwa issue!
Na kwa wale waliopania kujiunga chadema wakae wakijua chama hicho ni mali ya ukoo unaotoka sehemu fulani.

Ukijidai kujua tu unapandikizwa zengwe la kufa mtu.
 
ama kweli Nape umezidi kudhihilisha upunguani ulionao,hivi CDM na CCM ni kipi kinachoongoza kugandamiza democrasia kwa wanachama wake na usultan wa kurithishana vyeo,maana mpaka sasa jina la rais anayetakiwa liko mezani kwa Kikwete,hii ni kwa mujibu wa tamko la uvccm,mkoani pwani.pili uchaguzi wa mwenyekiti wenu taifa kura kupigwa kimikoa na lazima katibu wa mkoa aone umepiga nini,ndiyo au hapana,je?hii ni democrasia ya wapi.
Kwa hiyo hilo unalosema ndiyo linahalalisha ubaguzi na wizi wa ruzuku?
 
My take
Wana CHADEMA huo ni msumari unaoweza kuwa mkuki moyoni.
Jisahihisheni kabla hamjafa kweli.
(NB wale wenye matusi chukueni likizo)

Kama Chadema ikifa hiyo ndiyo itakuwa nafuu kwa ccm kuwa na uhakika wa kuendelea kuitawala nchi hii. Lakini kwa kuangalia nguvu nyingi wanazotumia viongozi na mashabiki wa ccm kuishambulia Chadema inaashiria kitu kimoja tu kwamba Chadema inazidi kuimarika kiasi cha kuitisha ccm, kwahiyo kwa akili yao ndogo wanadhani wakitumia muda mwingi kuipiga propaganda ndio wananchi wataacha kuiunga mkono.

Ninachofurahi ni kwamba wananchi wa sasa ni waelewa sana kiasi kwamba hizi propaganda za ccm kadri zinavyozidi ndipo wanapata mshawasha wa kujiunga na Chadema. Yani Chadema tunapata free ride katika vyombo vya habari kila siku, si magazeti, si tv si mitandao ya kijamii. Kanyaga twende Kamanda Mbowe na Dr. Slaa hapo mlipoishika ccm ndo penyewe.
 
Kweli sikio la kufa halisikii dawa.

Kuwaambia acheni ubaguzi wa kikanda imekuwa issue!
Na kwa wale waliopania kujiunga chadema wakae wakijua chama hicho ni mali ya ukoo unaotoka sehemu fulani.

Ukijidai kujua tu unapandikizwa zengwe la kufa mtu.
Pole sana kwa kupoteza vijana wenu kina Shonza, hata hivyo kama wengine waliobaki wakileta longolongo tutawabumbulusha wakae wakijua!!!Hapo hakuna cha kikanda wala dini CDM juuuuu!!!!

ahaaaa Nape Mikosi aachi Mipasho, siku hizi anashindana na Eisha Mashauzi
 
Kama Chadema ikifa hiyo ndiyo itakuwa nafuu kwa ccm kuwa na uhakika wa kuendelea kuitawala nchi hii. Lakini kwa kuangalia nguvu nyingi wanazotumia viongozi na mashabiki wa ccm kuishambulia Chadema inaashiria kitu kimoja tu kwamba Chadema inazidi kuimarika kiasi cha kuitisha ccm, kwahiyo kwa akili yao ndogo wanadhani wakitumia muda mwingi kuipiga propaganda ndio wananchi wataacha kuiunga mkono.

Ninachofurahi ni kwamba wananchi wa sasa ni waelewa sana kiasi kwamba hizi propaganda za ccm kadri zinavyozidi ndipo wanapata mshawasha wa kujiunga na Chadema. Yani Chadema tunapata free ride katika vyombo vya habari kila siku, si magazeti, si tv si mitandao ya kijamii. Kanyaga twende Kamanda Mbowe na Dr. Slaa hapo mlipoishika ccm ndo penyewe.
Nakwambia ndugu yangu hawa wamebakiza siku si nyingi watakuwa hawaendi mikoani kuhutubia uongo wao, vijana wana sera ya kuwazomea,itafika wakati watapigwa mawe we subiri uone!!!Ushahidi umeshaanza kujitokeza!!

Na uzuri wa adhabu ya dhambi hii ni kuwatafuna hadi kufa.burian chadema.
 
Katibu wa NEC-CCM Nape NNauye ambaye vile vile ni Mkuu wa Itikadi na Uenezi, ametoboa siri ya kifo cha CHADEMA kuwa kitatokana na ubaguzi kati ya wananachama wake.

Ingalau magazeti mawili yamemnukuu akikomelea msumari katika tofauti zinazojitokeza hivi sasa ndani ya CHADEMA.Gazeti la Majira (21/1/2013) lenyewe limedai kwamba :

"Nape afichua siri za kifo cha CHADEMA, na kudai-hakuna dawa ya kutumia lazima kife-ameendelea kudai ni laana ya Nyerere, wasitafute mchawi"

Page 4 ya gazeti hili linaendelea

"Alisema(NAPE) ubaguzi ulioota mizizi kwa muda mrefundio unakimalizachama hichoambao umelelewa na waasisi pamoja na viongozi wa kitaifa hivyo kina haki ya kufa kutokana na dhambi hiyo"

Aliendelea...

"Hamuwezi kuwa na chama ambacho kinaendekeza ubaguzi..ili kiongozi wake adumu na kuheshimika lazima atoke ukanda fulani au ukoo fulani vinginevyo anasukiwa mizengwe na kutimiliwa. Walianza na marehemu Wangwe.... hivi sasa wameanza kumuandama Zitto Kabwe(Naibu Katibu Mkuu CHADEMA) na wanaoitwa vijana wake, nasikia wiki ijayo wamejipanga kumfukuza Shibuda(Bunge wa Maswa)"

Nnauye akamalizia kwa msumari mzito

"CHADEMA ni chama kidogo kinabaguana kiasi hicho, wakipewa dhamana ya kutawala nchi hali itakuwa mbaya zaidi"

My take

Wana CHADEMA huo ni msumari unaoweza kuwa mkuki moyoni.
Jisahihisheni kabla hamjafa kweli.
(NB wale wenye matusi chukueni likizo)

"Ukiona mtu amefikia hatua anajidanganya hata yeye mwenyewe,huyo ni mtu wa kumsikitikia sana" - J.J.Mnyika
 
ZITTO ameisha wajibu. Mradi wa gesi duniani kote ni 1.2mill/mile,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Tanzania chini ya ccm ni 2.2mill/km

Mkuu wangu Chitambikwa miongoni mwa watu ambao wamekuwa wakijitahidi humu JF kutoa Comment zenye mvuto tena zilizosheheni hoja,lakini katika hili mkuu wangu naona umeteleza kabsaaa!!!!!!,yawezekan kwa ababu ya jazba na nini lakini Pole sana.
 
CHADEMA ikifa sio ndiyo furaha ya CCM! Am I missing something?

Hicho mkuu ndo na mimi kinanishangaza sana. Ili CCM ipate mafanikio ni lazima maadui zake kisiasa washindwe na hao ni pamoja na Chadema. Sasa kama ameona hicho anachosema kinawafanya Chadema wafe (ubaguzi), ana sababu gani ya kuwaambia? Kwa nini asinyamaze ili kife na iwe heri kwa chama chake CCM? Nilichogundua hapa ni kwamba huyu mtu ni mkuu wa kitengo cha propaganda wa chama chake kwa hiyo anachokifanya ni kazi yake hiyo ya propaganda!!
 
Kwanza ikifa CDM mimi nitakuwa sina chama cha kukishambulia humu JF.

Mkuu wakati nataka kureply pale ulipodai unataka CDM kisife ili kipate kutoa changamoto kwa CCM nikakutana na jibu lako juu kuwa hutaki kife kwa sababu utakuwa huna chama cha kukishambulia humu JF. Natumai hili jibu kwa Aweda should be taken as sense humour taking into consideration that you belong to the caliber that analyse issues with objective and unprejudiced mind. Lakini palepale mtu mwenye hizo virtues kwanini unampa kichwa na jeuri mtu ambaye ujengaji wake wa hoja haukisi level ya elimu aliyokuwa nayo? Kuhalalisha kufa kwa CDM kwa sababu ya kundi masalia na forged cum fabricated expulsion allegations za Shibuda na Zitto ni kushindwa mtu kuitendea taaluma yake haki na siasa kwa ujumla.

Kama kweli CDM itakufa kwa sababu Zitto na Shibuda watafukuzwa basi CDM hakipashwi kuwepo maana mnataka kutuaminisha kuwa toka Tanga mpaka Sumbawanga na Mutukula mpaka Mtwara ni watajwa wawili na kundi lao na masalia ndio CDM. Kwamba wanabaguliwa kwa sababu za kidini na ukanda na hivyo CDM kitakufa. Sijui labda Zitto ajiunge ili apate kufanya supplement kwa hiki kilichoandikwa. Halafu ili ukweli udhihiri kwanini ndugu Nape asiende awahoji au aongee nao waheshimiwa hawa ili waonyeshe kweli wanabaguliwa kwa sababu ya dini,kabila au sehemu wanakotoka? Wakisema hivyo basi atujuze through public communication channels at disposal ambazo zitaturuhusu kuwahoji na sisi pamoja na yeye. Na hapo tunakuwa na balanced story.

Lingine labda nimkumushe Nape kuwa ili utoe tuhuma nzito kama za ukabila, udini na ukanda lazima uwe umefanya tafiti za kutosha ili kukuwezesha kutoa conclusion ya namna hiyo. Lazima atuambie population ya utafiti wake, study areas na samples na sisi tukapime ili tuone kweli zinawakilisha wananchi wote wa Tanzania na hapo tuhuma zionekane zina ukweli ndani yake. Lakini pili tuhuma anazozitoa aangalie zisiwe zinapingana na tambo zetu kimataifa kwenye international fora. Tunajitambulisha kuwa kisiwa cha amani, hatuna ukabila, udini wala ukanda au tofauti zozote. Sasa kama CDM kina hayo yote je wanachama wa CDM sio sehemu ya Tanzania? Ni kweli wana CDM sio integral component ya peace and tranqulity constodians? Naomba anipe majibu haya kwa ufasaha bila jaziba na mimi na wengine tutasema mengine.

Jingine wanasema first put your house in order before turning to your neighbour's. Sijui kama ndani ya nyumba ya Nape kama hakuna moto unaowaka maana mengi yamesemwa kiasi watu wanatishiana pistols, mwenyekiti wake alisema wengine hawaachiani birauri mezani wakiogopa sumu na mengine mengi. Sasa kuna grand corruption kama za EPA, Meremeta, Buzwagi, Richmond/Dowans, Rada ya kuongpzea ndege, ndege ya rais, mikataba ya madini na ukaguzi wake na mengine mengi. Hivi nyumba yenye haya yote mwenye nayo anaweza kwenda kujaribu kusafisha nyumba ya jirani yake/ Kama affirmative basi inahitaji ujasiri wa hali ya juu
 
Katibu wa NEC-CCM Nape NNauye ambaye vile vile ni Mkuu wa Itikadi na Uenezi, ametoboa siri ya kifo cha CHADEMA kuwa kitatokana na ubaguzi kati ya wananachama wake.

Ingalau magazeti mawili yamemnukuu akikomelea msumari katika tofauti zinazojitokeza hivi sasa ndani ya CHADEMA.Gazeti la Majira (21/1/2013) lenyewe limedai kwamba :

"Nape afichua siri za kifo cha CHADEMA, na kudai-hakuna dawa ya kutumia lazima kife-ameendelea kudai ni laana ya Nyerere, wasitafute mchawi"

Page 4 ya gazeti hili linaendelea

"Alisema(NAPE) ubaguzi ulioota mizizi kwa muda mrefundio unakimalizachama hichoambao umelelewa na waasisi pamoja na viongozi wa kitaifa hivyo kina haki ya kufa kutokana na dhambi hiyo"

Aliendelea...

"Hamuwezi kuwa na chama ambacho kinaendekeza ubaguzi..ili kiongozi wake adumu na kuheshimika lazima atoke ukanda fulani au ukoo fulani vinginevyo anasukiwa mizengwe na kutimiliwa. Walianza na marehemu Wangwe.... hivi sasa wameanza kumuandama Zitto Kabwe(Naibu Katibu Mkuu CHADEMA) na wanaoitwa vijana wake, nasikia wiki ijayo wamejipanga kumfukuza Shibuda(Bunge wa Maswa)"

Nnauye akamalizia kwa msumari mzito

"CHADEMA ni chama kidogo kinabaguana kiasi hicho, wakipewa dhamana ya kutawala nchi hali itakuwa mbaya zaidi"

My take

Wana CHADEMA huo ni msumari unaoweza kuwa mkuki moyoni.
Jisahihisheni kabla hamjafa kweli.
(NB wale wenye matusi chukueni likizo)

Pambaf!

Magamba acheni fikra mfu na potovu za kutaka kujenga mazingira ya hofu kwa wana-CHADEMA. Hizi ni propaganda mfu za miaka ya 47 za kuleta hoja mfu kuwa kuna dhambi ya Ubaguzi ndani ya CDM wakti si kweli!!Tunajua huu ni mkakakti wa CCM na serikali yake kutaka kuimaliza CDM. Tunajua kuna mipango imeandaliwa kwa kuwatumia UWT-Usalama wa Taifa na Jeshi la Polisi-CCM! Tumesikia mwishoni mwa wiki Katibu Mkuu-CDM Dr.Slaa akisema ana habari za kutoka ndani ya UWT kuwa kuna Bilions za Fedha ya walipa Kodi zimetengwa kuimaliza CDM!!!

Alichosema Nepi Naye kuwa dhambi ya Ubaguzi ndani ya CDM ni uongo wa mchana kweupe.Kama hayo aliyoyasema Nepi ni ya kweli basi hata CCM ni Wabaguzi na ndiyo watakufa kwanza kabla ya CDM. Mwalimu Nyerere ndiye alianzisha CCM kama Mwenyekiti na Mkuu wa nchi. Tuangalie safu aliyokuwa nayo kwenye uongozi: Waziri Mkuu alikuwa Joseph Warioba- anatoka Mkoa wa Mara,Mkuu wa JWTZ alikuwa Msuguri baadaye Mwita Kiaro wote kutoka Mkoa wa Mara, kulikuwa na Katibu mkuu Ofisi ya Rais Bwana Timothy Apiyo toka Mkoa wa Mara,alikuwepo Waziri Steven Wassira na yupo mpaka leo kutoka Mkoa wa Mara na wengine wengi! Je,huu ni Ubaguzi wa Kikanda kwa madai ya Nepi Naye!!!

Naamini Mwalimu alikuwa kiweka watu kulingana na uwezo wao kiutendaji na mpaka leo CCM ipo tangu enzi za TANU. Mfano mwingine rahisi kuhusu Ubaguzi, nenda pale BOT au TRA utakuta Wachagga na Wapare wamejaa kwenye ofisi hizo! Je, tuseme basi kuwa BOT na TRA zinaendeshwa kikanda kwa Ubaguzi??? Mbona hazijafa pamoja na Ufisadi ulnaoendelea huko????

Mimi naona CCM ndiyo wanaoenda kufa maana msemo wa MFA MAJI HAACHI KUTAPATAPA kwa sasa unajidhihirisha wazi kwa CCM. Haiwezekani hata kidogo kila siku kila kiongozi wa CCM akiamuka hana jambo jingine la kuzungumzia kuhusu maendeleo ya Watanzania isipokuwa kifo cha CDM. Huu ni upuuzi na ujinga. Kwa watu wenye akili wanaelewa nini kinachotengenezwa na CCM. Mbinu zilezile zilizotumiwa kuua CUF,NCCR-Mageuzi,TLP,UDP na sasa CDM ndizo zinazotumika.

Lakini napenda kuwatahadharisha Nepi,Mchembe,Wassira na timu yao kuwa kabla CDM haijafa CCM itakuwa tayari imeshaoza na kubakia mifupa!!!Kama ni LAANA YA MWALIMU NYERERE KUHUSU UBAGUZI BASI CCM WAMESHAKUFA TAYARI BADO MAZISHI TU! MAANA UBAGUZI UNAOFANYWA NA CCM KUBAGUA VYAMA VYA UPINZANI UNATISHA NA UNASIKITISHA NA UNATOSHA KUIMALIZA CCM!!MAKABURU WA SOUTH AFRIKA WALIKUWA WAKIWABAGUA WAAFRIKA WENZETU KINA MANDELA NA VYAMA VYAO VYA ANC ILI WASICHUKUE NCHI LAKINI MWISHO WA SIKU LEO ANC INATAWALA S.AFRICA.!!!

IT WILL BE THE SAME FOR CHADEMA IN TANZANIA. CCM BAGUENI SANA,PIGENI SANA RISASI ZA MOTO NA MABOMU WAFUASI WA UPINZANI HASA CHADEMA,TUMIENI SANA HELA YA WALIPA KODI KUHUJUMU UPINZANI LAKINI MWISHO WA SIKU MTAWEKWA PEMBENI TU WHAT MAY!!!HIVI BADO MNAFIKIRI TANZANIA YA SASA NI ILE YA ENZI ZA MWALIMU MIAKA YA 19 KWEUSI???YOU MUST BE CHEATING THYSELF! MAANDAMANO YA KUPINGA UJENZI WA BOMBA LA GESI ASILIA FROM MTWARA TO DAR IS JUST A TIP OF AN ICEBERG. WATANZANIA WAMEAMKA SASA.JUENI TU KWAMBA UPINZANI SI UADUI!!!

Tatizo lenyu CCM mnafikiri kwamba UPINZANI ni uadui na serikali which is not! Kwa nchi zenye true Democracy upinzani ni changamoto kwa serikali iliyoko madarakani, ni kioo cha serikali iliyoko madarakani kujitazama na kujisahihisha pale inapoboronga. Lakini hapa Tanzania things are just opposite. CCM na serikali yake mko tayari kuua vyama vya upinzani ili tu muendelee kubaki madarakani!!Mko tayari kumwaga damu ya viongozi na wafuasi wa upinzani kwa kutumia mamluki,mashushu na UWT!. Mie siyo mpiga ramli wala matabiri lakini kwa mazingira tu(circumstancial evidence) nia uhakika Wangwe hakuuawa na CDM baali aliuawa na mbinu chafu za CCM nyuma za pazia ili kutaka kukipaka CDM matope hatimaye kichukiwe na Watanzania.

Namaliza kwa kusema hivi; this time Watanzania hatudanganyiki. Hakuna Mtanzania anayekubali kuitwa Mdanganyika(Tanganyika). Tunajua mnawatumia watu kama Zitto Kabwe, John Madale Shibuda na mapandikizi mengine hasa ndani ya BAVICHA ili kufanikisha uovu wenu. Kama yie CCM mna sera safi,uongozi bora na hakuna Ufisadi kwanini mlazimishe kufa kwa chama????Uchaguzi ni mwaka 2015, why don't you appeal to wananchi through the Ballot BOX???Mna hofu ya nini kama Watanzania wana imani na serikali yenu si watawapigia kura???

Lakini cha ajabu badala ya kusubiri uamzi wa Ballot Box hapo 2015 sasa mmeanza kutumia live BULLET!!! Hii inadhihirisha kuwa maji yako shingoni so that you are just fighting for your survival! Time will tell. Poleni sana!
 
Kwani nape ni nani ktk nchi hii mimi namfananisha na mtu ambaye hajui lakini kwa bahati mbaya hajitambui kama hajui.Udini na ukanda unaosemwa mbona haupo hizi propaganda utaacha lini wewe nnauye uliyepewa cheo hicho kwa fadhila ya baba ako?.
 
cdm mmekwisha nawaambia . na mrema aje na majibu jins mlivyotumia mil 500 za m4c au ndio mlikopesha baba junior

Mkuu kesi ya wizi wa SIMU inaendelea vipi? vipi usha pata wakili wa kuisimamia kesi yako, pole sana mkuu ndo maisha
 
Back
Top Bottom