Nape: Dhambi ya ubaguzi inaimaliza CHADEMA!

Nape: Dhambi ya ubaguzi inaimaliza CHADEMA!

QUOTE=masopakyindi;5504710]Umebugi meen!
Nimeweka source kwenye habari pamoja na page number kwa ajili ya mnaosoma vichwa tu bila kusoma habari yenyewe.[/QUOTE]
Hivi, nyie Mitakataka ya CCM, Chadema ikifa nyie mnaumia kitu gani? Tangu lini CDM wamekuja kwenu kuwaomba ushauri ili muwasaidie waisife kama si Unafiki na Uzandiki uliopindukia! Kila siku mnaomba CDM ife ili muweze kuendelea kuitafuna nchi bila kupigiwa kelele na vyama vyenu mlivyoviweka mfukoni. Acheni Ujinga hapa. Nape nitakuamini mara tu utakapokuwa halisia na kuacha kupaka mkorogo.
 
Maandamano na kelele za Mtwara zinaituhumu CCm kuwa kwa kipindi chote ilichokaa madarakani imebagua sana ukanda wa Kusini. Kila kitu chema kimeenda ukanda wa Kaskazini. Hata gesi sasa inasafirishwa itoke kule CCM ilipobagua kwenda kule CCm inapopathamini. CCM inaelekea shimoni kwa dhambi ya ubaguzi wa kikanda na kidini!!
 
Hizi elfu 20 mnazopewa vijana wa magamba kwa kazi moja ya kuleta upuuzi humu kila kukicha zitawafikisha pabaya,mmeacha ndugu zenu wanateseka kijijini kwa sababu ya hii serikali ya chama mnachoshabikia humu,mnategemea kufanya kazi gani baada ya 2015? Hamtakua na familia? Au mnategemea maisha yenu yataishia kupanga foleni Lumumba?
 
Cdm badala ya kutumia michango ya wanachama kuokoa chama mnalipa wabwia unga kwa ajili ya kuzomea
 
Huyo NEPI Kichwa maji kweli. kila kukicha anaijengea CDM umaharufu bila yy kujua. 7bu hajui kuwa hajui.
 
Umebugi meen!
Nimeweka source kwenye habari pamoja na page number kwa ajili ya mnaosoma vichwa tu bila kusoma habari yenyewe.
Hivi unadhani Majira la sasa liko huru kama lilivyokuwa enzi zile? Jibu lake ni big NO! propaganda zinazoandikwa kwenye magazeti ya majira, jamboleo na Habarileo, inazidi hata gazeti lenyewe la chama la Uhuru!! Hivi sasa CCM hawawezi tena kuuza sera za maisha bora kwa kila mtanzania, kwa jinsi watanzania wanavyopigika kimaisha, wanaweza hata kuwapiga mawe, wakisikia hizo FIKSI!! kwa hiyo kete iliyobaki peke yake kwa wana magamba ni kueneza propaganda, ndiyo maana timu nzima ya sekretariati ya CCM inazunguka nchi nzima, badala ya kutangaza sera za CCM, wao wakati wote, ni kueneza propaganda kuhusu CDM, mara chama cha ukabila, mara cha ukanda, mara cha wakristo. Lakini wasichokielewa CCM ni kuwa watanzania wa leo sio tena wale wa mwaka 47, wataeneza propaganda zote wanazoziratibu, watapandlkiza mamluki ndani ya CDM na kuwagawia pesa ili waisambaratishe CDM, lakini kwa uweza wa Mungu CDM tumaini pekee la wanyonge, lililobaki TZ, kitazidi kuimarika, na badala yake CCM, chama cha mafisadi, ndiyo tunakaribia sana kukifukia kwenye udongo!!
 
siyo siri chdm kinakufa. dhambi ya ubaguzi ni mbaya sn na itakitafuna kishenzi. hicho chama ni cha kikanda na kidini.
 
ajiulize vzur huyu bwn ne.pi,ni kwa nini wananchi wajipange barabarani ni kuwazomea yeye na magamb.a wenziwe??
tutaizika sisiem kabla ya 2015 .

Who is Nape Nnauye in this country? hana lolote huyo wachumia matumbo tu
 
Tunashukuru kwa ushauri mzuri wa Nape Na mleta mada kwamba tujirekebisha kabla chama chetu hakijafa. Lakini mbona inawauma ninyi ccm kuliko sisi Chadema?
Kwanza ikifa CDM mimi nitakuwa sina chama cha kukishambulia humu JF.
 
Nan kasema Chadema n chama cha kikanda uwo n uongo uliopitiliza ww uon tu hata kwa macho yan mwenyekt n Mbowe kutoka arusha unamjua makam wake anatoka wap ww? kama ujui anatoka Mpanda. Katibu n Dr slaa naibu zitto kutoka kigoma.Haya Bavicha n Heche ktoka Tarime bdo kuna ukanda tu hapo.??Kuna Mnyika habar na uenez kutoka dar bdo kuna Wenje mambo ya Nje....Duhh kuna akina pro Safar
 
Hivi unadhani Majira la sasa liko huru kama lilivyokuwa enzi zile? Jibu lake ni big NO! propaganda zinazoandikwa kwenye magazeti ya majira, jamboleo na Habarileo, inazidi hata gazeti lenyewe la chama la Uhuru!! Hivi sasa CCM hawawezi tena kuuza sera za maisha bora kwa kila mtanzania, kwa jinsi watanzania wanavyopigika kimaisha, wanaweza hata kuwapiga mawe, wakisikia hizo FIKSI!! kwa hiyo kete iliyobaki peke yake kwa wana magamba ni kueneza propaganda, ndiyo maana timu nzima ya sekretariati ya CCM inazunguka nchi nzima, badala ya kutangaza sera za CCM, wao wakati wote, ni kueneza propaganda kuhusu CDM, mara chama cha ukabila, mara cha ukanda, mara cha wakristo. Lakini wasichokielewa CCM ni kuwa watanzania wa leo sio tena wale wa mwaka 47, wataeneza propaganda zote wanazoziratibu, watapandlkiza mamluki ndani ya CDM na kuwagawia pesa ili waisambaratishe CDM, lakini kwa uweza wa Mungu CDM tumaini pekee la wanyonge, lililobaki TZ, kitazidi kuimarika, na badala yake CCM, chama cha mafisadi, ndiyo tunakaribia sana kukifukia kwenye udongo!!
JIBU TUHUMA acha longo longo!

Unalishambulia gazeti la Majira kwani wamebuni hizo habari?
Jibu ujumbe, achana na mjumbe!
 
siyo siri chdm kinakufa. dhambi ya ubaguzi ni mbaya sn na itakitafuna kishenzi. hicho chama ni cha kikanda na kidini.
Mkuu waswahili husema sikio la kufa halisikii dawa!

Hata siye "maadui" zao tumewaonya kwa kuwatakia mema.
 
Kufa mtakufa nyie CDM hakifi kwa janjajanja zenu zisizo na kichwa wala miguu.
 
Hizi elfu 20 mnazopewa vijana wa magamba kwa kazi moja ya kuleta upuuzi humu kila kukicha zitawafikisha pabaya,mmeacha ndugu zenu wanateseka kijijini kwa sababu ya hii serikali ya chama mnachoshabikia humu,mnategemea kufanya kazi gani baada ya 2015? Hamtakua na familia? Au mnategemea maisha yenu yataishia kupanga foleni Lumumba?
Sasa wewe ni dhahiri una matatizo ya kufikiri.
Na ukiambiwa una uharo mgongoni badala ya kujichunguza na kwenda mtoni, wewe mbio kwa mganga!
 
Back
Top Bottom