Nape: Dhambi ya ubaguzi inaimaliza CHADEMA!

Nape: Dhambi ya ubaguzi inaimaliza CHADEMA!

Mkuu Mwita Maranya , a.k.a "Murra", umechanganyikiwa.

Inaelekea toka umeingia DSM hujawahi kurudi kwenu kutambika.
Na ndio maana unashindwa kuona hata maendeleo yanayoonekana dhahiri hata kwenu.

Haijapita hata miaka kumi, na umesahau kuwa kufika Musoma mlikuwa mkipitia Sirari mkitokea Kenya.
Na hii ni kwa vile barabara zilikuwa mbovu kiasi cha kutopitika, meshaambiwa andamaneni tena sana katika barabara zilizojengwa na serikali ya CCM.

Mkuu look around you na utaona jinsi ilani ya CCM inavyotekelezwa.

Maendeleo utayaonaje na wewe ni kinara wa M4C?
Kutwa kuchwa kupanga mipango isiyoendelevu ya maandamano?

Tembelea miji ya Mwanza, Singida hata Arusha na uone jinsi unavyoweza kufika kwenu haraka kwenye ngoma za mababu huko Musoma.
Na hii si barabara tu, hata nauli ya 32,000 ya Fastjet inakushinda mkuu?
Na huduma hiyo ingekujaje kama si sera nzuri za maandalizi kuvutia wawekezaji?

Kama wewe na chama chako mkiamua kufumbia macho maendeleo ya wazi nchini, hatuna budi kuwahurumia tu, maana nyie mawazo yote yako kwenye maandamano.

Ni sehemu chache sana mlizoweza kuhumiza maendeleo, hata zile mlizo shinda katika viti vya ubunge.

,baya zaidi chama chenu kinakosa mvuto kwa kasi.Kelele na shutuma za uongozi mbaya ndani ya chama chenu hazikuasisiwa na CCM.

Ccm haikumtuma Dr Slaa kujichotea mapesa ya ruzuku kwenye hazina ya chama chenu, na sasa mnaanza kuona kuwa ni rahisi kulaumu tu na kutoa shutuma zisizo na mashiko.

Kuendesha chama noma!
Mnajifunza the harsway kuwa chama si cha waliokianzisha bali kinatakiwa kuwa chama cha wanachama.
No wonder watoto wadogo umri wa watoto wenu wanawavua nguo hadharani.
Narudia, hakuna mtu anayependa kuibiwa.

Hili la ubaguzi sitaliongelea sana maana limeshajadiliwa kwa kirefu sana hapa , kama mna masikio na msikie.

Sasa hivi upende usipende, CHADEMA is under a shadow cast of doubt.
Dr Slaa anjinafasi na fungu la chama
Mkewe anajinadi kisiasa mikoani kwa fungu la chama
Chama kinatimua wale wanohoji mwelekeo hasi
M4c yenyewe ilianza kuwa kiwanda cha mauaji
Mwenyekiti Mbowe , kimya utafikiri ana muogopa katibu wake
Mzee Mtei ndo kabisa amedozi, anaamshwa akiambiwa Zitto anataka kugombea uraid!

Mkuu hiyo limelight ya chama chenu ilishafika peak, na sasa inzidi kuporomoka kwa kasi.[/QUOTE

Msopkyindi acha kufikiri kwa kutumia makalio,hizo ngonjera unazoziongea ni kuonyesha ni jinsi gani ulivyojuha,hata kwa watoto wadogo walioanza shule leo hauwezi kuwadanganya wakakuelewa watakuona wewe ni juha tu,
Kujenga barabara sio kitu cha kujisifia ni haki ya mwananchi yeyote wa Tanzania,kumpatia maji safi,huduma bora ya afya ni haki ya mwananchi na si kitu cha kusema kwamba tumefanya ni akili mbovu,mimi kama raia wa Tanzania hauwezi kuniambia haki zangu kama Mtanzania halafu nishangilie kama ulivyo wewe mwisho utasema ni ccm ndio wanafanya unaishi,au wewe ni sawa na mzazi anaenunua mboga kama nyma halafu anaenda kutamba barabarani kwamba nimenunua mboga kwangu wakati ni haki yako kununua mboga kwako,Tanzania tunayo maliasili nyingi lakini inawafaidisha mafisadi wachache na wapiga debe wasiona kitu kama wewe,maisha yanapanda kila siku,vitu vinapanda bei kila leo,deni la nchi linaongezeka kila kukicha halafu mnapiga kelele na

Historia itawahukumu nyie wachumia tumbo msokuwa na huruma kwa wanyonge eti mnajisifia kutengenezwa barabara ni akili hiyo au mna mtindio wa ubongo nyie? Hakuna mTANZANIA hata mmoja mtakaemdanganya kwa huo uongo wenu sasa hivi kila Mtanzania anajua ukweli kazi kwenu wachumia tumbo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu whether ni utani au mambo mgumu, yote ni relative.

Utani waweza kueleza na kufikisha ujumbe kwa njia iliyo rahisi na isiyoudhi kwa jamii( Hapa tunazungumzia kujadili mambo mepesi na mambo ya msingi na kama nafasi ya kujadili mambo ya msingi inaweza kuchukuliwa na mambo mepesi na kujadiliwa kwa hadhi ileile ya mambo ya msingi.Hatuongelei namna ya kufikisha ujumbe kwa hadhira iliyokusudiwa; "and so you are jumping the bail on what we are arguing about. No focus on your part. Inawezekana umefanya makusudi au ni "oversight"

Lakini utani vile vile inaweza kuonyesha ufinyu wa mantiki ya argument iliyotolewa ndani ya mada.

Na kwa vyovyote vile wananchi wote nchini si wasomi(Kujadili mambo mepesi pale kwenye nafasi ya mambo ya msingi kunahitaji usomi? Mbona mwananchi wa kawaida anaelewa tu.),lakini ni waelewa sana wa mantiki katika utani unaoleta ujumbe. Hatuongelei namna ya kufikisha ujumbe,soma vizuri nilichoandika. You are all over the place, focus,focus and focus!

Na kwa taarifa yako ukifikiri utani ni upuuuzi (Sijawahi kufikiri ya kuwa utani ni upuuzi. Hujasoma nilichoandika? Do not put words in mouth please! basi nakutaarifu kuwa linaweza kuwa somo zima katika somo la psychology na logic.

Kwa mtu makini sana atatambua point kubwa na ujumbe unaoletwa na utani huo( We are not in the communication skills class. Tunaongele mambo mepesi na mambo ya msingi. Je mambo mepesi yachukuwe nafasi ya mambo ya msingi na kujadiliwa kwa masafa ya mamabo ya msingi? .

Mambo ya Msingi na Mambo Mepesi. Je mambo mepesi yanaweza kuchukuwa nafasi ya Mambo ya msingi na kujadiliwa kwa masafa ya mambo ya msingi. Can someone read between the lines please!
 
Nape: taja na dhambi inayo itafuna ccm yako mpaka mnaitana magamba penda usipende 2015 sio yenu na mtaf

ungwa magamba.
 
Msopkyindi acha kufikiri kwa kutumia makalio,hizo ngonjera unazoziongea ni kuonyesha ni jinsi gani ulivyojuha,hata kwa watoto wadogo walioanza shule leo hauwezi kuwadanganya wakakuelewa watakuona wewe ni juha tu, Kujenga barabara sio kitu cha kujisifia ni haki ya mwananchi yeyote wa Tanzania,kumpatia maji safi,huduma bora ya afya ni haki ya mwananchi na si kitu cha kusema kwamba tumefanya ni akili mbovu,mimi kama raia wa Tanzania hauwezi kuniambia haki zangu kama Mtanzania halafu nishangilie kama ulivyo wewe mwisho utasema ni ccm ndio wanafanya unaishi,au wewe ni sawa na mzazi anaenunua mboga kama nyma halafu anaenda kutamba barabarani kwamba nimenunua mboga kwangu wakati ni haki yako kununua mboga kwako,Tanzania tunayo maliasili nyingi lakini inawafaidisha mafisadi wachache na wapiga debe wasiona kitu kama wewe,maisha yanapanda kila siku,vitu vinapanda bei kila leo,deni la nchi linaongezeka kila kukicha halafu mnapiga kelele na Historia itawahukumu nyie wachumia tumbo msokuwa na huruma kwa wanyonge eti mnajisifia kutengenezwa barabara ni akili hiyo au mna mtindio wa ubongo nyie? Hakuna mTANZANIA hata mmoja mtakaemdanganya kwa huo uongo wenu sasa hivi kila Mtanzania anajua ukweli kazi kwenu wachumia tumbo
This post is incoherent.Kwa heshima yangu na mjadala wennyewe , na kwa haki yangu ya msingi kikatiba nakataa kuijibu maana iko below ethical and intellectual standards.Mkuu uliyeposti una uhuru wa kuamini katika utumbo ulioufikiria.!
 
Mambo ya Msingi na Mambo Mepesi. Je mambo mepesi yanaweza kuchukuwa nafasi ya Mambo ya msingi na kujadiliwa kwa masafa ya mambo ya msingi. Can someone read between the lines please!
You amaze me!

Hata baada ya kukufungua macho bado uko katika kufikirika !

Sasa it has ben established that simpilcity is the hallmark of a genius!
Sasa kwa faida yako na faida ya wachangiaji hebu dadavua mepesi ni yepi na magumu ni yepi, na mchango wako mgumu ni upi na ule mwepesi ni upi!

Pengine utatoka katika pango lako la mambo unayoyaona magumu au yanahitaji mchango dhabiti toka kwako na wachangiaji wengine.

Na naendelea ku-assert , kila kitu ni relative.
 
Katibu wa NEC-CCM Nape NNauye ambaye vile vile ni Mkuu wa Itikadi na Uenezi, ametoboa siri ya kifo cha CHADEMA kuwa kitatokana na ubaguzi kati ya wananachama wake.

Ingalau magazeti mawili yamemnukuu akikomelea msumari katika tofauti zinazojitokeza hivi sasa ndani ya CHADEMA.Gazeti la Majira (21/1/2013) lenyewe limedai kwamba :

"Nape afichua siri za kifo cha CHADEMA, na kudai-hakuna dawa ya kutumia lazima kife-ameendelea kudai ni laana ya Nyerere, wasitafute mchawi"

Page 4 ya gazeti hili linaendelea

"Alisema(NAPE) ubaguzi ulioota mizizi kwa muda mrefundio unakimalizachama hichoambao umelelewa na waasisi pamoja na viongozi wa kitaifa hivyo kina haki ya kufa kutokana na dhambi hiyo"

Aliendelea...

"Hamuwezi kuwa na chama ambacho kinaendekeza ubaguzi..ili kiongozi wake adumu na kuheshimika lazima atoke ukanda fulani au ukoo fulani vinginevyo anasukiwa mizengwe na kutimiliwa. Walianza na marehemu Wangwe.... hivi sasa wameanza kumuandama Zitto Kabwe(Naibu Katibu Mkuu CHADEMA) na wanaoitwa vijana wake, nasikia wiki ijayo wamejipanga kumfukuza Shibuda(Bunge wa Maswa)"

Nnauye akamalizia kwa msumari mzito

"CHADEMA ni chama kidogo kinabaguana kiasi hicho, wakipewa dhamana ya kutawala nchi hali itakuwa mbaya zaidi"


My take

Wana CHADEMA huo ni msumari unaoweza kuwa mkuki moyoni.
Jisahihisheni kabla hamjafa kweli.
(NB wale wenye matusi chukueni likizo)

Kwa hiyo kila Nape anaposema na wewe unakichukua kama kilivyo.
Halafu CDM kina relate vp na Nyerere hadi wapate laana yake na sio CCM.
Hiv Matukio haramu ya udin...reffer Zanzibar na Mwanza, ukanda reffer Mtwara ni nan ameya asisi kama sio CCM.
Hv ikipita siku hamjaitaja CDM makalio yana wa washa washa eeh
Moods mtaniwia radh kwa kweli
 
mwambie huyo Nape kwanza aorodheshe dhambi zinlizoifikisha CCM kuwa hapo ilipo makundi ya wachawi, majambazi wehu, magaidi nk halafu, akimaliza kuzitubu na kukiunganisha chama cha majangili aje akosoe CHADEMA.

Kama ni enzi zile pia neno vibaraka wa ukoloni mambo leo lingewafaa.......Kinachomsumbua huyo Nape! sijui ni mzaha na maisha ya watu.Hili sio suala la siasa si utani wa jadi tusicheze na uhai! Kama ni kutafuwa kwa dhambi CCm ingekua imesahaulika!
 
You amaze me!

Hata baada ya kukufungua macho bado uko katika kufikirika !

Sasa it has ben established that simpilcity is the hallmark of a genius!
Sasa kwa faida yako na faida ya wachangiaji hebu dadavua mepesi ni yepi na magumu ni yepi, na mchango wako mgumu ni upi na ule mwepesi ni upi!

Pengine utatoka katika pango lako la mambo unayoyaona magumu au yanahitaji mchango dhabiti toka kwako na wachangiaji wengine.

Na naendelea ku-assert , kila kitu ni relative.

Ukistaajabu ya Musa utaona Firauni. Sikio la kufa halisikii dawa and I rest my case
 
Midomo ni yao wanakumbuka baadhi ya maneno ya Nyerere yanayowagusa hawayasemi. Mengi yanawahusu.
 
HILO NI BOMBA LA KUTOLEA MOSHI MCHAFUWA GARI , ccm ikishakutana na kukoroga uchafu wao, ndio kazi ya Napa kutoa hiyo hewa chafu
 
NAPE anaongea ukweli, kwa mambo chadema wanayo yafanya wasitegemee kama watasonga mbele coz wameshajiaribia siku nyingi. Nd they are to late
 
NAPE anaongea ukweli, kwa mambo chadema wanayo yafanya wasitegemee kama watasonga mbele coz wameshajiaribia siku nyingi. Nd they are to late

Hayo mnayoongea ni mbolea ya kukuza na kustawisha Chadema, muendelee hivyo hivyo. Wenye akili wanalifahamu hilo na siku hizi hata vijijini wanafahamu ukweli, sijui mtamdanganya nani. Kama siyo propaganda kwanini msiviandame vyama vingine vinavyoelekea kufa na vinahitaji haya mawazo yenu yasiyoifaa Chadema? Ninyi ni wauaji wa vyama vya siasa nchini, nani hajui hilo?
 
Back
Top Bottom