Nape: Dhambi ya ubaguzi inaimaliza CHADEMA!

Nape: Dhambi ya ubaguzi inaimaliza CHADEMA!

Hivi, nyie Mitakataka ya CCM, Chadema ikifa nyie mnaumia kitu gani? Tangu lini CDM wamekuja kwenu kuwaomba ushauri ili muwasaidie waisife kama si Unafiki na Uzandiki uliopindukia! Kila siku mnaomba CDM ife ili muweze kuendelea kuitafuna nchi bila kupigiwa kelele na vyama vyenu mlivyoviweka mfukoni. Acheni Ujinga hapa. Nape nitakuamini mara tu utakapokuwa halisia na kuacha kupaka mkorogo.
Mkuu miye nataka CDM isife ili niendelee kuwachambua hapa mtandaoni.
Life without CDM will be boring!!!
 
Anaomboleza kipigo cha juliana shoza,mtera mwampamba n.k imewaumiza sana deal imebuma kabla haijakamilika watu wamemwagwa mavi!!!!!!!!!!!!
 
Kwanza ikifa CDM mimi nitakuwa sina chama cha kukishambulia humu JF.

Hapo kwenye blue vipi ??
Utakuw huna ajira kwa Nape Nnauye ??!!
Ajira ya 'ukweli' ni kujiajiri tu, sio kukishambulia Chadema kwenye 'Jamii Forums' !!
 
Hapo kwenye blue vipi ??
Utakuw huna ajira kwa Nape Nnauye ??!!
Ajira ya 'ukweli' ni kujiajiri tu, sio kukishambulia Chadema kwenye 'Jamii Forums' !!
Si nyi wenyewe mmesema hela kwa Nape zipo kedekede pale Lumumba, nani hataki hela ya bure!
 
Katibu wa NEC-CCM Nape NNauye ambaye vile vile ni Mkuu wa Itikadi na Uenezi, ametoboa siri ya kifo cha CHADEMA kuwa kitatokana na ubaguzi kati ya wananachama wake.

Ingalau magazeti mawili yamemnukuu akikomelea msumari katika tofauti zinazojitokeza hivi sasa ndani ya CHADEMA.Gazeti la Majira (21/1/2013) lenyewe limedai kwamba :

"Nape afichua siri za kifo cha CHADEMA, na kudai-hakuna dawa ya kutumia lazima kife-ameendelea kudai ni laana ya Nyerere, wasitafute mchawi"

Page 4 ya gazeti hili linaendelea

"Alisema(NAPE) ubaguzi ulioota mizizi kwa muda mrefundio unakimalizachama hichoambao umelelewa na waasisi pamoja na viongozi wa kitaifa hivyo kina haki ya kufa kutokana na dhambi hiyo"

Aliendelea...

"Hamuwezi kuwa na chama ambacho kinaendekeza ubaguzi..ili kiongozi wake adumu na kuheshimika lazima atoke ukanda fulani au ukoo fulani vinginevyo anasukiwa mizengwe na kutimiliwa. Walianza na marehemu Wangwe.... hivi sasa wameanza kumuandama Zitto Kabwe(Naibu Katibu Mkuu CHADEMA) na wanaoitwa vijana wake, nasikia wiki ijayo wamejipanga kumfukuza Shibuda(Bunge wa Maswa)"

Nnauye akamalizia kwa msumari mzito

"CHADEMA ni chama kidogo kinabaguana kiasi hicho, wakipewa dhamana ya kutawala nchi hali itakuwa mbaya zaidi"

My take

Wana CHADEMA huo ni msumari unaoweza kuwa mkuki moyoni.
Jisahihisheni kabla hamjafa kweli.
(NB wale wenye matusi chukueni likizo)

Nilikuwa najaribu kuangalia huu mfululizo wa hoja, kwamba NI LAZIMA KIFE, KINA HAKI YA KUFA, NA HAKUNA DAWA, halafu wajisahihishe ili wasife ( LABDA HII NDIO DAWA ?). Sehemu nyingine tena mtoa mada amesema wanakihitaji chama hicho kama watchdog, Mh ! hii flow ya points ni kama inajipinga vile ! alikusudia kusema nini ?
 
siyo siri chdm kinakufa. dhambi ya ubaguzi ni mbaya sn na itakitafuna kishenzi. hicho chama ni cha kikanda na kidini.

Dogo angalia sana uchachoandika hapo kwenye blue.
Maana hata ajira yako hapa JF itakufa kabla ya Chadema.
Yaani unamfundisha kazi msajili wa vyama vya siasa !!
Yaani wewe 'unaona' zaidi ya msajili ??
 
nape andhihirisha kwamba yeye ni mwasisi wa sera za ubaguzi , ukiona mtu anawabagua watu ujue anakula nyama za watu, nape muda mwingi anaimba wimbo wa ukanda na ukabila. je nyanda za juu zipo kaskazini, ziwa je? na kigoma je? wimbo mfu huo. wimbo wa udini mulioimba hamtapona ona sasa taifa linagawanyika kwa sababu ya c,c,m kuwagawa wana nchi. dhambi hii itaanza na wewe, mkama nakumalizia na wenzako wote. 2015 c.c.m hampono kwa hili si ndio sera yenu kubagua watu. hao watu wa kaskazini si watanzania au hamjui kwamba munawachochea chuki hata walio sisiemi toka kaskazini? mtasaritiwa mpaka mtashangaa. wasalimie chama chako cha sc.cj ukiwa c.c.m
 
Ndo mnapukutika hivo , wakati gari kubwa linachnja mbuga.
Chama chenu kitajiua chenyewe.

Aisee unamatatizo! we unaona kama tz kwa miaka 52..tuna raha gani? we unasababu ipi yakuipenda na kuitetea ccm. j. i n ga
 
Katibu wa NEC-CCM Nape NNauye ambaye vile vile ni Mkuu wa Itikadi na Uenezi, ametoboa siri ya kifo cha CHADEMA kuwa kitatokana na ubaguzi kati ya wananachama wake.

Ingalau magazeti mawili yamemnukuu akikomelea msumari katika tofauti zinazojitokeza hivi sasa ndani ya CHADEMA.Gazeti la Majira (21/1/2013) lenyewe limedai kwamba :

"Nape afichua siri za kifo cha CHADEMA, na kudai-hakuna dawa ya kutumia lazima kife-ameendelea kudai ni laana ya Nyerere, wasitafute mchawi"

Page 4 ya gazeti hili linaendelea

"Alisema(NAPE) ubaguzi ulioota mizizi kwa muda mrefundio unakimalizachama hichoambao umelelewa na waasisi pamoja na viongozi wa kitaifa hivyo kina haki ya kufa kutokana na dhambi hiyo"

Aliendelea...

"Hamuwezi kuwa na chama ambacho kinaendekeza ubaguzi..ili kiongozi wake adumu na kuheshimika lazima atoke ukanda fulani au ukoo fulani vinginevyo anasukiwa mizengwe na kutimiliwa. Walianza na marehemu Wangwe.... hivi sasa wameanza kumuandama Zitto Kabwe(Naibu Katibu Mkuu CHADEMA) na wanaoitwa vijana wake, nasikia wiki ijayo wamejipanga kumfukuza Shibuda(Bunge wa Maswa)"

Nnauye akamalizia kwa msumari mzito

"CHADEMA ni chama kidogo kinabaguana kiasi hicho, wakipewa dhamana ya kutawala nchi hali itakuwa mbaya zaidi"

My take

Wana CHADEMA huo ni msumari unaoweza kuwa mkuki moyoni.
Jisahihisheni kabla hamjafa kweli.
(NB wale wenye matusi chukueni likizo)
Ndugu yangu kifo cha CHADEMA hakitakuwa na athari kwa uchumi wa taifa letu la Tanzania,hizo ni porojo, nadhani boss wako angelikua na akili angali tueleza ana mpango gani wa kuinua uchumi wa nchi yetu!!! Ni lini wezi walioficha fedha zetu Uswiss na kwingineko watazirudisha!!! Ili kuweza kuboost uchumi wa nchi yetu unaodorola!!! Hizo sera za sijui CHADEMA itakufa sijui ubaguzi hazina maana, kwa sababu CDM ikifa kwake ni sherehe, hayo matundu anayojaribu kuzibua anajidanganya!!! Watanzania wanataka kujua hatua zipi serikali ya CCM inachukua kuhusu wezi kuanzia EPA, MEREMETA, RICHMOND, DOWANS hao watu wanaopeta mitaani wengine eti wanataka kugombea Urais!!!!

Nilikuwa najaribu kuangalia huu mfululizo wa hoja, kwamba NI LAZIMA KIFE, KINA HAKI YA KUFA, NA HAKUNA DAWA, halafu wajisahihishe ili wasife ( LABDA HII NDIO DAWA ?). Sehemu nyingine tena mtoa mada amesema wanakihitaji chama hicho kama watchdog, Mh ! hii flow ya points ni kama inajipinga vile ! alikusudia kusema nini ?
Usishangae sana masika kuwa na mbu wengi, ndio kawaida yake!
CDM kikiacha sera za ubaguzi kinaweza kujikongoja hadi 2015, kisipoacha sera hizo achilia mbali kufa , KITAUWAWA na wanachama wake wenyewe.

Sisi, mimi kama CCM natambua mchango wa sera za vyama vingi.
Kwa kuendekeza ubaguzi CHADEMA ina kosa relevance ya kuwa chama makini kisiasa.
 
NO!
Definately NO!

Sasa ikifa CDM, CCM itapata wapi sparring partner wa uhakika.
Na sisi waswahili wa vichochoroni tunakihitaji chama hicho KUISAHIHISHA CCM ITAWALE VIZURI.
Lumumba hawataweza kukulipa maana utakuwa huna kazi!!!

Back
Top Bottom