Maana yake ni madavanend 'fyata' lina mana gani vile?
Maana yake ni madavanend 'fyata' lina mana gani vile?
angekuwa amepewa katazo hili mtu kama Zitto, badala ya kutii kama alivofanya Lowassa yeye papo hapo angeanzisha mchakato wa kuanzisha chama chake kipya....
Inaonekana Tundu Lissu na mama yake ni ukoo mmoja au wametoka sehemu moja.
Hakuna Mwendawazimu yeyote duniani ambaye anakiri kuwa yeye ni chizi, huwa wanawaambia wengine kuwa ndio akili zao sio sawa, kama ufanyavyo wewe.Hili limekujaje? Wahi Milembe hospital, magonjwa ya akili siyo rahisi wewe mwenyewe mgonjwa kutambua kuwa unaumwa bali wanaokusikiliza na kukutazama ndiyo wanaojua kuwa unaumwa. Wewe ni mgonjwa.
We mwanamama, kwa akili yako unaona kuna umoja hapo? au unaota?
acha uongo kasemea wapi weka sosi
huku sio CHADEMA, watu wanapewa maagizo na wanatii, maisha yanaendelea..!!
Kweli una hoja za maana.Hivi na wewe ni katika WAZUBAIFU..,nani kakwambia CHADEMA kuna Ukombozi...acha ujinga, ----- nini, mi napoteza muda wangu kukuuliza nafikiri una hoja ya maana, eti Ukombozi..,ukombozi mavi ya kuku..
habari za kusikia changanya na zakwako ni za kipuuziNasikia Dr.Slaa anashinda kwa Gwajima anaombewa aje kuwa rais.
Nampongeza Mzee Lowassa kwa kuamua kusitisha zoezi la kupokea watu wanaodaiwa kwenda nyumbani kwake Dodoma kumshawishi kugombea urais.
Uamuzi wa kuzuia watu wasiendelee kwenda ni mgumu kwani una gharama lakini ni utii mzuri kwa agizo la Chama nililolitoa jana.
Umoja ni ushindi!
By; Nape Nnauye
Katibu Wa Itikadi na Uenezi (CCM)
HIKI NDIO CHAMA CHA MAPINDUZI NIKIJUACHO.
Vyovyote unavyoweza kusema lakini tunarudi pale pale katika hili Nape ni Jasiri na Lowassa ni mwoga tena sana. Yaani Lowassa amekubali kumjibu mtu anayepayuka na hapo hapo akatii amri 'mbovu' yaNape Hana cha kupoteza uongozi wake unategemea hisani za walio madarakani
Mwache lowasa a retreat kwa muda
Kuretreat sio kushindwa
Sina hakika kama EL ameamua kutia kauli ya Nape, huenda akawa kaamua kubadili strategy, hivyo tusishangae kuona makundi ya watu wakijitokeza na kuandamana wakitaka EL awaruhu waende kwake.