Buldoza
JF-Expert Member
- May 2, 2013
- 2,307
- 987
Nampongeza Mzee Lowassa kwa kuamua kusitisha zoezi la kupokea watu wanaodaiwa kwenda nyumbani kwake Dodoma kumshawishi kugombea urais.
Uamuzi wa kuzuia watu wasiendelee kwenda ni mgumu kwani una gharama lakini ni utii mzuri kwa agizo la Chama nililolitoa jana.
Umoja ni ushindi!
By; Nape Nnauye
Katibu Wa Itikadi na Uenezi (CCM)
HIKI NDIO CHAMA CHA MAPINDUZI NIKIJUACHO.
Umeshaona kwamba mafuriko hayazuiliwi na kanga!!!! Lazima uanze kujipendekeza sasa. Kashindwa bwana wako itakuwa wewe? Mwambie na mwenzio Makonda anunue kabisa K-Y inaweza kumsaidia kupunguza maumivu, Mlume ndio anakuja huyo!!!