Nape Ampongeza Lowassa kwa kutii Agizo la Chama

Nape Ampongeza Lowassa kwa kutii Agizo la Chama

sio tu kwamba anacheza ngoma asiyoijua bali amechanganyikiwa na ameshikwa na kihoro baada ya kushindwa kuzuia mafuriko kwa mikono. amini nakuwambia Lowasa akiingia whitehouse mwezi wa oktoba, Nape atafute nchi ya kuhamia.

Mimi nilidhani anayeingia Ikulu ni Dkt. Slaa!

Kumbe bado CCM itaenda Ikulu.

Sikufahamu kama hata vijana wa BAVICHA wamempa kisogo Dkt. Slaa.
 
Hapo aliye nyweya ninani?lowassa amewataka watu wasiende kwake tena,Kama Nape alivyowataka walionza kamapeni mapema kuacha mara moja,Na lowassa ametii sasa aligwaya ninani?kama sio lowassa.
 
EL ni nvua inayonyesha ikitokea upande wa milimani, ama hakika inakuja na mafuriko makubwa haizuiliki tena wanaotaka kuizuia wamechelewa ninawashauri wanaotaka kuizuia waingie vibandani mwao wajifungie huko na kukaa kimya otherwise watasombwa.
 
Mimi nilidhani anayeingia Ikulu ni Dkt. Slaa!

Kumbe bado CCM itaenda Ikulu.

Sikufahamu kama hata vijana wa BAVICHA wamempa kisogo Dkt. Slaa.

Usingekuja ningeshangaa sana ila hata Mimi nikupongeze najua umemtega ili kumuongezea kosa la kuanza kampeni kabla ya muda safi sana nae nazan hajajua kasitisha. Maana ingekua wale watu wanakuja kwa surprise wangeendelea kwenda.
 
Back
Top Bottom