Nape Ampongeza Lowassa kwa kutii Agizo la Chama

Nape Ampongeza Lowassa kwa kutii Agizo la Chama

kesho sisi wazalendo wote wa manyara tulikuwa tunataka kuandamana kwenda kwa Lowasa kumwomba asigombee uraisi kwa sababu ikulu hakuna wodi wagonjwa hatutapokelewa tena
Nasikia Dr.Slaa anashinda kwa Gwajima anaombewa aje kuwa rais.
 
We kama nani uombe clip ya video au picha..?
Vijana wa Bavicha acheni kunywa gongo inawaharibu akili sana..,mkishapiga viroba mnajiona mmekuwa Kova.

Du umelamba pilipili kichaa? yaani ninyi kila mtu bavicha? Kwani hao bavicha wamekufanya kitu mbaya sana au?
 
Acha kumtukana Laigwanani..,unafikiri ni BABU SLAA anayepigia kampeni GONGO ihalalishwe..

wapo waliohalalisha unga, a.k.a. sembe bila hata kampeni...na wapo nyumba nyeupe karibu na bahari ya Hindi jijini Dar es Salaam
 
Mentality ya David Cameroon hii..,yaani vijana wa CDM mnajua matumizi ya K-Y kuliko mnavyojua kutumia smartphone...kudadadeki.

Vita ya Lowassa haiwahusu CDM, huo ni mtifuano wa CCM vs CCM, uwanja ni wenu, wengine watazamaji tu! Yaani mnavyochenjiana wenyewe kwa wenyewe kila akitajwa ENL inakuwa vituko show!
 
Vita ya Lowassa haiwahusu CDM, huo ni mtifuano wa CCM vs CCM, uwanja ni wenu, wengine watazamaji tu! Yaani mnavyochenjiana wenyewe kwa wenyewe kila akitajwa ENL inakuwa vituko show!
Huwezi kuwazungumza Chadema kwenye kesi za CCM, chadema ni watoto wadogo sana hawawezi kutia mkono kwenye sahani ya CCM..hawana ujanja huo.
 
Teh teh MaCCM yanaruka na kukanyagana

attachment.php
 
Huwezi kuwazungumza Chadema kwenye kesi za CCM, chadema ni watoto wadogo sana hawawezi kutia mkono kwenye sahani ya CCM..hawana ujanja huo.
Mbona wameshatia sana mkono na kuwanyang'anya CCM matonge mengi tu? Au mwenzetu unaongelea CCM ya nchi gani?
 
Nasikia Dr.Slaa anashinda kwa Gwajima anaombewa aje kuwa rais.

Mkuu Ritz katika jambo ninauhakikanalo ni kuwa kamwe Dr Slaa hatokuwa rais wa Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
Inaonekana Tundu Lissu na mama yake ni ukoo mmoja au wametoka sehemu moja.
 
"KULALA BILA YA NGUO NI KINGA YA KISUKARI" naskiliza Efm hapa, SEBO anapitia gazeti la TABIBU
 
Ila watanzania ni watu wa ajabu, inabidi tuwekwe katika maajabu ya dunia na mambo yetu
 
Nampongeza Mzee Lowassa kwa kuamua kusitisha zoezi la kupokea watu wanaodaiwa kwenda nyumbani kwake Dodoma kumshawishi kugombea urais.

Uamuzi wa kuzuia watu wasiendelee kwenda ni mgumu kwani una gharama lakini ni utii mzuri kwa agizo la Chama nililolitoa jana.

Umoja ni ushindi!

By; Nape Nnauye

Katibu Wa Itikadi na Uenezi (CCM)

HIKI NDIO CHAMA CHA MAPINDUZI NIKIJUACHO.

angekuwa amepewa katazo hili mtu kama Zitto, badala ya kutii kama alivofanya Lowassa yeye papo hapo angeanzisha mchakato wa kuanzisha chama chake kipya....
 
Back
Top Bottom