Nape Ampongeza Lowassa kwa kutii Agizo la Chama

Nape Ampongeza Lowassa kwa kutii Agizo la Chama

Hahaahaha nimeona taarifa ITV na nimesikia kilichosemwa. Nape amejipalia mkaa, time will tell ila wauwane tu wenyewe
Umesikia Nape anasema UMOJA ni USHINDI kuna kuuana hapo..? Hawa jamaa wanajuana.
 
Nampongeza Mzee Lowassa kwa kuamua kusitisha zoezi la kupokea watu wanaodaiwa kwenda nyumbani kwake Dodoma kumshawishi kugombea urais.

Uamuzi wa kuzuia watu wasiendelee kwenda ni mgumu kwani una gharama lakini ni utii mzuri kwa agizo la Chama nililolitoa jana.

Umoja ni ushindi!

By; Nape Nnauye

Katibu Wa Itikadi na Uenezi (CCM)

HIKI NDIO CHAMA CHA MAPINDUZI NIKIJUACHO.

Hahahaaa uwiiiiii paka anapomtishia simba nyau .
 
Sina hakika kama EL ameamua kutia kauli ya Nape, huenda akawa kaamua kubadili strategy, hivyo tusishangae kuona makundi ya watu wakijitokeza na kuandamana wakitaka EL awaruhu waende kwake.

Haa ha ha tena hii itakuwa nzuri zaidi kuliko ya kwanza.

Alafu anaongea na kamanda wa polisi awazuie nje ya geti, polisi wanazidiwa nguvu, Lowassa anatoka anawaomba msamaha kuwa jamani naombea subirini, muwe watulivu mpaka chama kitakaporuhusu, kisha watu wanaondoka wakilalamika "kwanin wanatuzuia kumfuata kipenzi chetu"??"ni yeye pekee anayeweza kulikomboa taifa letu".

Kisha igizo linapokelewa na wqandishi wa habara inakuwa big news kwa siku kadhaa.Watampenda tu
 
Nampongeza Mzee Lowassa kwa kuamua kusitisha zoezi la kupokea watu wanaodaiwa kwenda nyumbani kwake Dodoma kumshawishi kugombea urais.

Uamuzi wa kuzuia watu wasiendelee kwenda ni mgumu kwani una gharama lakini ni utii mzuri kwa agizo la Chama nililolitoa jana.

Umoja ni ushindi!

By; Nape Nnauye

Katibu Wa Itikadi na Uenezi (CCM)

HIKI NDIO CHAMA CHA MAPINDUZI NIKIJUACHO.

CCM isipo handle vizuri suala la ugombeaji Urais tunaweza kujikuta kuna chama kingine kilicholeta uhuru katika nchi za kiafrika kikifutika kama KANU, UNIP, UPC, nk.

Hivi Nape anatoa maagizo au anatakiwa atoe taarifa za maamuzi ya Chama kwa wananchi/wanachama?
 
Kwa sasa kutoka CCM madarakani kunamhitaji Lowassa, sijui kama wapinzani wanaiona hii opportunity.

CCM wakumuweka Lowassa ni opportunity kwa upinzani kwa sababu ya uadui wa wengi ndani ya CCM dhidi yake na CCM wakimtema Lowassa ni opportunity ya upinzani kukaa na Lowassa kwa pamoja kuitoa CCM.

Lowassa ni mtego kwa CCM, ambao either way, wapinzani wakijipanga kama walivyojipanga Kenya kuibomoa KANU,vivyovivyo Lowassa ndiye pekee anayeweza kuibomoa CCM vipande vipande.
 
Duh basi subirini chance nyingine.,ndo hivyo tena Mzee ameshasitisha hiyo habari..kama vipi mtumieni emails.
tupe email yake anarudi monduli zoezi lake la dodoma limeshaisha.
 
11034038_10155225138830247_7704783983465419710_n.jpg
 
huku sio CHADEMA, watu wanapewa maagizo na wanatii, maisha yanaendelea..!!

Ina maana unataka kusema Lowassa na uzee wake wote ule alikuwa bado tu hajaelewa kuwa chama kimekataza hayo anayoyafanya? Kama ni hivyo atakuwa anazeeka vibaya.
 
Nampongeza Mzee Lowassa kwa kuamua kusitisha zoezi la kupokea watu wanaodaiwa kwenda nyumbani kwake Dodoma kumshawishi kugombea urais.

Uamuzi wa kuzuia watu wasiendelee kwenda ni mgumu kwani una gharama lakini ni utii mzuri kwa agizo la Chama nililolitoa jana.

Umoja ni ushindi!

By; Nape Nnauye

Katibu Wa Itikadi na Uenezi (CCM)

HIKI NDIO CHAMA CHA MAPINDUZI NIKIJUACHO.

Naona umekuja kumuomba Laigwan Msamaha JF.
Leo watu wametoka Mbeya na Boda boda kuja kumsihi
 
Pathetic, stinking pwani mchangani!!! Hivi wewe unajua hata thamani yako? Unafurahia UFISADI, RUSHWA, UJANGILI, UKWAPUAJI WA RASILIMALI ZETU, SEMBE, MAISHA MAGUMU, WAGONJWA KULALA MZUNGU WA NNE, WATOTO KUSOMA CHINI YA MITI, UMEME WA VISADO, MAJI MACHAFU MITAANI, UKOSEFU WA ELIMU BORA, HUDUMA ZA AFYA, MAISHA MAGUMU? Yaani wewe Juliana Shonza unafurahia kutoka Nuruni na kuingia Gizani?.... Idiot ...
Thread inahusu Nape na Lowassa..,juliana anaingiaje sasa..hivi huyu bint kawafanya nini..?
 
Lowasa kaanza kutii maagizo ya chama, Mbona hajatii Lile agizo la kujivua gamba?
Au Lile lilikuwa utani.
 
...au aweke picha au video clip
We kama nani uombe clip ya video au picha..?
Vijana wa Bavicha acheni kunywa gongo inawaharibu akili sana..,mkishapiga viroba mnajiona mmekuwa Kova.
 
Back
Top Bottom