Nape ajibu makombora ya Marando

mshahara wa milioni 12 wa katibu unafananishwa na trillioni wanazoiba kufikisha asilimia 47 ya kura........... KHE KHEKHEHEHEHEEEEEEEEEEEEEEE
 
pole kwa kutumwa utachafua hakuta chafuka ndio kwanza kunag'aa. Ivi had leo kunamtanzania mwenye akili kama kuku ya kuto jua umuhimu wake ktk jamii. Kwa nn uanze kutumikishwa kwa jambo ambalo kwako halina manufaa. Elimika ndugu yangu kwa nn hutaki kuondoka ktk ndimbwi la ukolon had leo.
Unajua umuhimu wa vyama ving na kazi yake? lakini naamini cku CDM ikishika dola na ikafanya mambo ambayo lazima kila mwananchi anahaki ya kupewa basi utakuja Elimika kwa wakati huo. Kwako leo ww ni mtoto anae tembaa ambae hajui hata thaman ya mwili wake. Pole nduguyangu kwa kutumikia ki2 ambacho ww mwenyewe hujui kama unakitumikia

Amka kumekucha
 
Uhuru watembelee Njombe tarehe 16 & 17 May 2011 ili washuhudie wenyewe ni jinsi gania Mbowe na Dr Slaa wanavyokivuruga chama - CCM that is. Habebwi mtu na fuso!

Angalizo; Nadhani hii kambi wanayopiga huko Singida hawa wakina Nape ni mahsusi kutengeza 'fitna na mizengwe' ili Tundu Lissu asirudi 2016. ( I know what I am talking about) kwa hiyo walio karibu na huyu ndugu wampe dossier hii.
 
Hivi kuna watu wananunua na kusoma huu upuuzi?Hizo takwimu walizozitumia na kusema ni ufisadi uliozidi EPA zikwapi?Mbona sioni ufisadi wowote?Kama kungekuwepo na wanachama wa chadema wanaolalamika,then that might make a difference.Lakini huyu mtu aliyeuza ng'ombe zake zote na kuichangia chadema hana akili nzuri.Pengine alitegemea kuwa sasa badala ya ng'ombe 17,labda atapa ng'ombe 100 in return.Haikulipa na sasa anatapatapa.Ni mfanyabiashara aliyefanya makosa ya kiuwekezaji kwa kudhani cdm ni kampuni.ccm kunamfaa.
Habari haina hili wala lile.Heading tu za kiudaku na kutaka kuwafurahisha mafisadi maybe.
 


Aisee!....... kwanza nitafute hii kitu duh!

Nimeona watu wanataka wapasuke kwa ajili ya siasa, siasa is funny! ukiwa mkosoaji kubali kukosolewa hata kama ni uongo......

we need to have special hospital where those are are unrest in politics should be going there for therapy!!!!
 
jamani nyie magamba hatutaki huo uchafu wenu mnaouleta huku, UHURU ni nin kwani, hiv kuna watu ambao bado wanasoma hili gazeti. heb njooni na hoja za msingi acheni ubabaishaji nyie waandishi wa Magamba. CDM ni mbele daima haturudi nyuma, mtaendelea kula vumbi tu na kuandika outdated news.
 
Kwenda ku copy na kuja kupaste gazeti la uhuru hapa JF ni dharau kwa wanajamvi wengi sana.
 
Kumbe gazeti la UHURU....... Najuta kufungua hii Post.
 
kapteni JOHN KOMBA alijimilikisha mali za ccm kupitia TOT kesi yake imeishia wapi?
 
Kwa wale wasiojua viongozi na waandishi pale uhuru wengi wa ni memkwa wanafanya kazi kwa mazoea sio sili ukifka pale waweza dhani ni ofisi ya mganga wa kienyeji na wale utakaowaona pale nje unaweza kudhani ni wangojwa wanaosubili zamu yakumuona sangoma!

Inatia simanzi kuwa hao ndio waandishi wanaokitetea chama cha mafisadi ilihali wao wananjaa mbaya na wanatia huruma!

Mungu waokoe viumbe wako toka makucha ya mkoloni mweusi
 
CDM, endeleeni kutaka kusikia mpendayo kuyasikia na yale msiyopenda kuyasikia endeleeni kuyapuuza. Kama ni kweli Mh. Mbowe kawauzieni hizo fuso 3 used kwa jumla ya sh 480m, ata zingekuwa 5 bado ni ufisadi wa mchana kweupe! Kanusheni haraka kama si kweli.....

CCM, endeleeni kuyapokea yote mtakayo kuyasikia na msiyoyataka kuyasikia.Jivueni GAMBA haraka na ata ikibidi mjinyonyoe NGOZI.
 

- Baba sisi Wa-Tanzania sio mabwege tena, can you imagine Obama akiwauzia Democrats malori mabovu, two wrongs don't make it right upupu ni pamoja na kudai Mangula ni fisadi so ni rertuning your own medicine, umeona ulivyo mchungu sana ingawa ni mtamu kwa wengine?

FMEs!
 
nilikuwa sifahamu kama malaria sugu ni mwandishi wa gazeti la uhuru
 

- Kule US wanasema huwezi kukamata wauza drugs kama na wewe hukujiunga nao kuuza drugs, wacha warushiane pumba wee and soon one ata-realize kwamba he is damaged beyond the political measures, ndio wataanza kuongea hoja na sense,

- What is happening now is good kwa taifa, maana kama Mwenyekiti anawauzia chama chake malori mabovu, akipewa urais atatuuzia nini taifa? Mbona ni common sense kidogo tu!


FMEs!
 
Kama taratibu zilikiukwa na kama wanachadema wanaona ni ufisadi,basi wana haki kuuliza maswali.ccm haiwezi kuwa na nia nzuri na chadema na hivyo sidhani kama watawasikiliza wanapropaganda hao wa ccm.Kama uamuzi wa kukiuzia chama malori hayo ni wa kifisadi.Then wekeni facts hapa.Wezi wa EPA facts zao ziliwekwa hapa.We want facts not porojo.
 
Wakuu heshima mbele:-

- Ni takribani mwezi mmoja tu sasa toka Nape ashike nafasi ya mzungumzaji wa CCM, na kuanza kucheza ngoma ya siku nyingi sana ya DR.Slaa, ya mashambulizi bila ushahidi lakini CCM walipouliza akawaambia waende kwenye sheria atautoa huko, ghafla Wa-Tanzania tunajionea maajabu ya Musa, je ina maana Zitto na Marehemu Wangwe walikuwa wananyamazishwa wasiseme ukweli unaojitokeza sasa mchana kweupee?

- I mean Mwenyekiti kukiuzia chama cha siasa anachokiongoza, malori machakavu it is a serious political charge, can you imagine Obama leo awauzie Democrast malori machakavu, au DR. Kikwete awauzie CCM malori yake machakavu, hivi hili taifa tumelogwa na nani hasa?


FMEs! - Ni Wazee Wa Sauti Ya Umeme!
 

Heri angeliyauza kwa milioni 25 hadi 30 kila moja. Kilichonishitua zaidi eti vipaza sauti ni milioni 222, du hebu naomba mnijuze maana naona bei ya kufa mtu.
 



Tatizo hawa mavuvuzela wanashindwa kutofautisha kati ya fuso na haya special lorries zinazotumika kama 'mobile stage'. Lakini wala sishangai maana wao wenyewe (mavuvuzela) wamekazania kuvaa mabati yalipakwa mng'aro wakidhani ni gold!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…