Sidhani kama unaushahidi kuwa anatofautiana na katibu wake.
Nape ni mkweli kwa hoja ya Slaa. Hata mie nisiyeipenda CCM nakubaliana naye. Vipi mtu aliyepinga kwa nguvu zote malipo ya wabunge akiyaita ni ufisadi, then yeye alipwe leo? Huu ni UNAFIKI. Hakuna mantiki hapa. Ufisadi si kwa CCM au Serikali tu hata kwa vyama vingine vya siasa. Kumbuka pesa anayolipwa Slaa ni kodi ya Mtanzania. Ni ruzuku inayolipwa na serikali ambazo no kodi zetu.
Siamini kama uovu ukifanywa na ccm ndo uovu, ila ukifanywa na wapinzani ni sawa tu.