Ni bora vyombo vya kabatini kuliko vyombo vya habari, sehemu pekee unapoweza kupata taarifa kama hizi ni JF pekeeNdugu wanajamvi, nimefuatilia suala la serikali kukodi taasis ya Tony Blair, ni kweli serikali italipia jumal ya Billion 100 kama gharam ya kugharamia huduma ya kupata ushauri jinsi ya kupambana na UVICO pamoja na kuhakikisha anatusemea vizuri ngazi za kimatatifa.Je wewe unaona hizo gharama ni haki? value for money. Nashangaa vyombo vya habari nchini viko kimya havifanya utafit.
Ndugu wanajamvi, nimefuatilia suala la serikali kukodi taasis ya Tony Blair, ni kweli serikali italipia jumal ya Billion 100 kama gharam ya kugharamia huduma ya kupata ushauri jinsi ya kupambana na UVICO pamoja na kuhakikisha anatusemea vizuri ngazi za kimatatifa.Je wewe unaona hizo gharama ni haki? value for money. Nashangaa vyombo vya habari nchini viko kimya havifanya utafit.
Wacha kumfananisha Rais SSH anayetawala professionally kwa consultation na yule mshamba alikuwa analipuka tu vile alivyoamka.
Kumbuka alivyoharibu biashara ya korosho kwa kujifanya mjuaji.
Tusiandikie mate. Orodhesha mabaya ya Tony Blair kwenye Nchi alizotoa ushauriPopote alipoenda Blair duniani, tokea astaafu, na kufanya deal na serikali za nchi husika, hakuna jema au zuri aliloacha.
Mkuu, mama kaingizwa chaka. Amin nakwambia.
Na huu uzi kuna siku utafukuliwa kama rejea(reference).
Alipotushauri tununue Rada kwa Bei kubwa kisa kulinda ajira 200 za watu wake mpaka waziri wake akajiuzulu, au ulikuwa hujazaliwaTusiandikie mate. Orodhesha mabaya ya Tony Blair kwenye Nchi alizotoa ushauri
Nilikuwa tayari nime graduate MBA wakati Tony Blair ni PM. Weka source hapa inayosema yeye ndiye alishauriAlipotushauri tununue Rada kwa Bei kubwa kisa kulinda ajira 200 za watu wake mpaka waziri wake akajiuzulu, au ulikuwa hujazaliwa
Kama ulikuwa umegraduate na hii habari huijui Nina wasiwasi na elimu yako, huyo mama aliyekuwa waziri alikuja Hadi hapa, ndiyo ishu ya chenge ya mabilioni aliyoficha iliibuka.Nilikuwa tayari nime graduate MBA wakati Tony Blair ni PM. Weka source hapa inayosema yeye ndiye alishauri
Don't underated my knowledge, nitakuacha uchi. Najuwa hiyo transaction kuliko wewe kwa majinaKama ulikuwa umegraduate na hii habari huijui Nina wasiwasi na elimu yako, huyo mama aliyekuwa waziri alikuja Hadi hapa, ndiyo ishu ya chenge ya mabilioni aliyoficha iliibuka.
Unaweza kuniambia kwanini Linda alijiuzulu uwaziri, hivi unajua alipinga Tanzania kuuziwa Rada ndogo kwa Bei kubwa. Unajua utetezi wa Blair ulikuwa Nini? Alisema analinda ajira za watu 200 nchini mwake, Kama hakujali maslahi ya watanzania milioni 50 kwa ajili ya watu wake 200 Leo Ana huruma gani kwa watanzania. Ndio maana nasema elimu yako fakeDon't underated my knowledge, nitakuacha uchi. Najuwa hiyo transaction kuliko wewe kwa majina
Baroness Linda Chalker nakumbuka vizuri alivyoibua ile scandal na mpaka hela zilivyorudishwa enzi za JK kwa ajili ya kutengeza vitabu vya elimu.
Najua kabisa players wakubwa akina Vithlani na Somaiya waliokuwa brokers wa ile transaction.
Najua vilevile kuwa muuzaji wa radar alikuwa BRITISH AEROSPACE.
Nataka uniambie ni wapi Tony Blair alihusika kutushauri tununue. Hilo tu
Nimesema nipe source ya hayo maneno, unaniambia elimu yangu Fake? Njoo na hoja siyo matusiUnaweza kuniambia kwanini Linda alijiuzulu uwaziri, hivi unajua alipinga Tanzania kuuziwa Rada ndogo kwa Bei kubwa. Unajua utetezi wa Blair ulikuwa Nini? Alisema analinda ajira za watu 200 nchini mwake, Kama hakujali maslahi ya watanzania milioni 50 kwa ajili ya watu wake 200 Leo Ana huruma gani kwa watanzania. Ndio maana nasema elimu yako fake
Hakuna sehemu niliyokutukana, ila wewe ndiye uliongelea elimu yako, source unayotaka sijui.ni ipi wakati ili swala lilikuwa wazi.Nimesema nipe source ya hayo maneno, unaniambia elimu yangu Fake? Njoo na hoja siyo matusi