p.s. you're all overreacting on the gay issue, mtoto anaenda feza siyo shule za kata. wanafunzi wa high-end schools wanajitambua more than mnavyodhani na hawana mambo ya ubakaji au kujaribiana.
they keep it to themselves. gay to gay. straight boys hawatongozi straight au gay boys wenzao. wanaishi kwa respect to each other
I real hope so!
Nimepata swali la kumuuliza. R u straight or gay? Just kidding.
Hivi hizo tabia hazifundishiki? Ni asili tu mtu anakuwa shoga?
I real hope so!
Nimepata swali la kumuuliza. R u straight or gay? Just kidding.
Hivi hizo tabia hazifundishiki? Ni asili tu mtu anakuwa shoga?
take my word. shule za juu, friends hawana issue na gays, hawakutongozi au kukuomba **** na mnaweza ishi perfectly fine. he knows he's straight so hawezi kukuomba 'ndizi' na wewe unajua yeye ni straight so huwezi kuanza kumtongoza.I real hope so!Nimepata swali la kumuuliza. R u straight or gay? Just kidding.Hivi hizo tabia hazifundishiki? Ni asili tu mtu anakuwa shoga?
mlongo wangu, mimi nikikatiza na binti yangu utafikiri ni mdogo wangu tunayefuatana, tunaelewana lakini siyo marafiki saana, yeye ni rafiki wa baba zaidi, si unajua tena mdada pekee............. moyo wa dad.well huu ni wakati ambao huwa ni mgumu kwa wazazi wote!
nafkiri ni ile hali ya kushindwa kuamini kuwa watoto wetu wamepiga hatua kiasi fulani
mimi kwangu ni ngumu zaid since nilipata mtoto wangu wa kwanza nikiwa so young (still a studentu know)
so its like kila hatua ambayo anapitia binti yangu mkubwa kwangu mimi ni ishu,nahisi kama tunakimbizana hivi!sijui kama naeleweka
ambacho kinamkuta Kaunga sasa mimi kinanikuta sana tu as kila hatua anayofikia binti yangu kwangu ni mshangazo!
alipivunja ungo nilidata!naanzaje kumfundisha hili na lile
naanzaje kumweleza kuwa sasa ni binti
nilichofanya na kweli namshukuru sana MUNGU kwa hilo
mtoto wangu ni rafiki yangu sana,ni shosti kusema ukweli!so kidogo inasaidia yeye kuniuliza maswali like mama hiki kwa nini kiko hivi,mbona mwili wangu unakuwa hivi,mbona naona hiki hapa na mambo kama hayo so napitia mumo mumo natirrika na basi maisha yanaendelea kwa amani tu!
kumuamini mtoto na yeye kujua kuwa anajua unajua anaweza ni nzuri
ni kweli kabisa rafiki yangu BAK, mimi huwa siwa-underestimate kabisa wanangu, hata yule wa miaka 4 huwa ananiambia vitu ambavyo sijawahi kuvisikia, kazi yangu ni ku-google ili nikanushe au nithibitishe, lol!Nilikwambia miye...hawa watoto wa siku hizi, kama mzazi unaweza kudhani hawajui lolote kumbe wako loaded na so much info mpaka unaweza kushangaa. Sasa hapo ulipoulizwa, "Wewe hujui?" ulijibu nini? au ulijikausha tu!? lol!
wapo wanaozaliwa hivyo.
Ila kwa mazingira yetu ya kitanzania, naamini baadhi wamejikuta mashoga kwa kufundishwa kwa lazima katika umri mdogo.
Kwa hiyo ni bora kumsaidia mtoto asije akajikuta anafundishwa hayo na watu wengine.
nakumbuka kwa mara ya kwanza naenda kuishi na mama yangu nilikuwa darasa la 3, mwanafunzi pekee niliyekuwa namjua (ambaye alikuwa mtoto wa rafiki wa mama) alikuwa anapenda sana wakaka, na ndo ilibidi awe rafiki yangu. kila mtu alikuwa anajua na mimi nitaingia kwenye hiyo tabia. mama yangu pia alipata hizo taarifa, hakunikataza kucheza naye ila mara kwa mara alikuwa haachi kunikumbusha mimi ni nani na natakiwa kufanya nini. kila usiku tunaposali alikuwa akiombea kila mtoto, ombi lake kubwa kwangu lilikuwa ni Mungu kunionyesha njia njema inayompendeza YEYE, kila sikuHapo mwisho umenikumbusha mbali sana..Home mm kampani yangu ilikuwa wavuta bangi na wacheza kamari lakini sijawahi gusa hiyo mambo kabisa..Inategemea na malezi aisee..
Babu pale kwangu tuna waalimu...... yaani kama kitu unataka kukipotezea bora useme unajua halafu bila explanation, ukisema hujui tu shule inaanza........... tena mmoja anafundisha halafu anamwuliza mwenzie "si eti eeeh?"......Ndo maana nimekwambia kuwa kuna vitu ukae tayari kupigwa shule.....
Shukuru Mungu baada ya hilo jibu amekupotezea...angekuwa kama hawa wajukuu zangu, lazima angeanza kukupiga shule mara moja!!
Babu DC!!
umeweza kulea, keep it up....... I am very proud of her, ni mtoto wa mfano kwa marafiki zangu na mtaani, ana tabia nzuri sana. siyo kila boarding ni mbaya
hapo kwenye RED kila siku nawasisitiza wanangu........ hela zetu siyo zao...... wakazane kusoma ili nao waje watengeneze zao. sisis wazazi wao hatuna uwezo wa kuwapa mitaji mikubwa ila tunaweza kuwalipia ada za shuleHivi kwa nini hii thread isiwe sticky.........Mods tafadhali.
Nakumbuka nilipobalehe nilikuwa sipendi kukaa na mama karibu. Kampani yangu vidume wenzangu.
Usimpe vitu vingi sana........Huko anapoenda anatakiwa/atajikuta anatengeneza njia yake mwenyewe.
Wakati mwingine watoto wa kiume hawataki kuonekana na "maadili" saana. Kidogo ununda ni kama njia sahihi
kwa siasa za Boarding school.
Asante my dear, ila kweli pale nimeweza, namshukuru Munguumeweza kulea, keep it up.
Aisee ninacheck tamthilia Star TV kuna mkaka mmoja ameact kama shoga, nikasema "huyo ni kama shoga eeh", my son kaitikia "ndiyo".
Before kulikuwa na tangazo la Dume, nikamuuliza hiyo ni nini? Akanijibu "condom ya kiume.... kwani wewe hujui?".
It seems he know a lot more than l thought, some how l how l feel my job has become somewhat easier. Ni kujazia Mungu anasema nini juu ya nini, ngoja nitafute verse kwenye biblia about ushoga. Kuna mtu anayo kichwani?
rafiki umenifanya nicheke peke yangu chumbani kama mwehu, lol!Oooops!!!
A little girl runs out to the backyard where her father is working,
and asks him, "Daddy, whats Sex?"
"OK," he thinks, "this day was bound to come, and Im not going to let
my little princess learn about sex from the streets."
So, he sits her down, and tells her all about the birds and the bees.
He tells her about conception, sexual intercourse, sperms and eggs. He
tells her about puberty, menstruation, erections, and wet dreams.
Then she asks, "Daddy, what is A Couple?"
And he carries on, "A couple are the two people involved in sex, but
this can also be two males or two females which we call homosexual,"
and he goes on to describe masturbation, oral sex, group sex,
pornography, bondage and rape, pedophilia, etc
The father finally asks, "So why did you want to know about a couple
and Sex?"
"Oh, mummy said lunch would be ready in a couple of secs "
pia mkumbushe asijikweze na kuwaona 'walioshindwa' ni wazembe. hii ni mtego ambayo watoto ambao ni 'mfano' unawapata mara kwa mara. naambiwaga mno nyumbani na wazaziAsante my dear, ila kweli pale nimeweza, namshukuru Mungu