Kabla hatujawa....mwanzoni wa kuanza kujuana(Ushakumbuka?)
Ndio maana siku ile nilo ku pm, nikakwambia nilikuwa nakuogopa kumbe hauko kihivyo mwaya!!
mimi mwanangu hayupo day, na alianza boarding tangu akiwa darasa la 5. anatumia simu yangu kuwasiliana na rafiki zake anapokuwa likizo.Nakuelewa FP,
Kukujibu swali lako la kwanza, simu alikuwa nayo kabla ya likizo na ni kwaajili ya mawasiliano nami na ndugu zake wengine.
Angekuwa binti ningekuwa na reservation hasa akifikia hiyo age ya miaka 13 na kuendelea lakini kwa maisha ya sasa huwezi zuia kikubwa mambo ya utandawazi; cha msingi mtoto anatakiwa kujitambua na kufuata values ulizomjengea.
Vijijini watoto wanapata mimba at 15, wanakuwa na simu?
Uncle zake hawako nyumbani muda mwingi, na pia wanakuwa na mambo yao; naweza ongea naye kwa muda mfupi na very general issues, lakini mostly huwa napenda tuongee muda karibia wote ili anipe story za shule na mambo kama hayo (hiyo ndio njia pekee si tu ya kuwa naye karibu lakini pia kujua what he is thinking and doing.
Umesema wewe mwanao yuko day, it is different; nami nisingekuwa na sababu ya kumpa simu kama ningekuwa naye hapa, na ndio maana amesema mwenyewe hana mtu wa kuongea naye for the time being coz rafiki zake wako shule na mimi niko naye hapa nyumbani.
Trust me, l know how to raise my kid in my own way; kilichonitatiza ndicho nilichokileta, na ninashukuru kwa ushauri.
Nakumbuka tulikuwa tunakwaruzana lakini kukutakana, l will have to go back.
Nashukuru kuwa umenisamehe
Nina maswali nitakuuliza PM, kama hautajali!
duh umechelewa ulipaswa mpeleka mazoezi ya karate age six
ndio maana huwa naamini sana maneno ya mzazi au nyumbani kwa ujumla.
Kuna viunzi mtu unaviruka ujanani kwa kukumbuka neno moja tu la mzazi.
Hongera kwa kujitambua.
Yepi Dark City? Naweza yaona kwa binti au mvulana wa miaka 14 na kuendelea lkn a 10yrs boy kumiliki nokia ya torch ambayo anaitumia weekend akienda home (coz sidhani kama kuna shule inaruhusu simu).
hapa dada mkubwa kaongea!sijasema kumpa mtoto hela nyingi maana yake hatakuwa mzuri darasani.
na najua wewe si mzazi, believe me, watoto huwa ni waelewa sana, ukimpa good reason kwa nini humpi hela nyingi ya kula biskuti kila anapotaka atakuelewa, na hatajisikia vibaya. unataka kuniambia kila mtoto anayesoma Feza anapewa pocket money nono? unataka kumshindanisha mtoto wa Kaunga na watoto wa waarabu? Kaunga anasema anafanya kazi kwa bidii ili kumwandalia mwanae future nzuri, hao waarabu ndo tunapigiziana nao makelele kuwa wao ndo wameshika uchumi wa nchi yetu, hawa watu tunaweza kuwaweka pamoja?
mimi sifanyi vitu fulani kwa watoto wangu siyo sababu sina hela za kuwafanyia hayo, ila sioni sababu ya kufanya hayo. Itakuwa vizuri sana badala ya kumjazia pocket money ambayo huna uhakika kama ata-save au la, ni bora kumwongezea kiasi anachomwekea kwenye account yake, hizo una uhakika atazikuta baadae na zitakuwa msaada kwao wote wawili.
l hate ur language and ur name. lkn hiyo typical Nyamwezi language yako,
My son anaenda kuanza form one, (preform one next month) boarding school he is going to be 12 next year.
As a mother namuambia nini? Nafeel kuna kitu napaswa kumwambia sijui nimwambie nini na jinsi gani.
Sijasoma boarding school O'level so sijui kunakuweje, nasikia ushoga unaanziaga huko. Bullying inanitia wasiwasi ukizingatia umri wake ni relatively Mdogo.
Nisaidieni nini cha kuongea naye.
N.B Namlea mwenyewe as a single mom.
hawa watoto wetu tunawapenda sana, na kweli tunataka wawe na kila kitu ambacho tuna uwezo nacho. siyo mbaya kufanya hivyo, lakini tujiulize tunamsaidia nini mtoto kwa kumfanyia tunayomfanyia?Samahani sana Kaunga,
Nimeshindwa kuja kukujibu mapema.. hata hivyo naamini sijachelewa!
Hawa watoto wanafanya vitu vingi sana kwa kutumia simu kiasi kwamba ni vigumu hata kuelewa au kuamini pale tunapofumaniwa....Sitaki kuongelea mambo mabaya ila kuna wengine wanatumia muda kwenye mwingi kwenye mitandao ya kijamii kama vile fb badala ya kusoma. Pia wengine wanatumia muda wao mwingi kwenye games. Hilo nalo ni hatari kwa sababu wanatumia muda ambao wangekuwa wakijisomea kufanya vitu ambavyo havina tija.
Hivi majuzi, tulikuja kugundua kuwa kajukuu ketu ka 5yrs kanatumia muda mwingi kucheza games kwenye simu. Kakiona simu tu, kanakimbia nayo kwenda mahali pa peke yake na kuanza kucheza...Basi ilitubidi tukae naye na kumweleza kuwa asitumie simu ya mtu bila kuomba na hata ile ya nyumbani. Baada ya hapo alianza kuomba simu na hivi karibuni kamepunguza.
Hayo ni machache ila naamini wengine wanaweza kuwa na mifano ya aina nyingine ambayo inaweza kusabibisha distraction kwa mtoto.
Ila hoja yako kwa FP inaeleweka pia.
Babu DC!!
My Dear Kaunga nini tena kunichukia nduguyo bila kosa lolote. Tatizo la lugha linatokana na umasikini, kukulia TMK kwa Kindande ambako unafundishwa kuuita mkono "MKONO" na sio kishikio. Kwenye red umepotea kabisa.
Ndimi Bazazi!
hawa watoto wetu tunawapenda sana, na kweli tunataka wawe na kila kitu ambacho tuna uwezo nacho. siyo mbaya kufanya hivyo, lakini tujiulize tunamsaidia nini mtoto kwa kumfanyia tunayomfanyia?
My son anaenda kuanza form one, (preform one next month) boarding school he is going to be 12 next year.
As a mother namuambia nini? Nafeel kuna kitu napaswa kumwambia sijui nimwambie nini na jinsi gani.
Sijasoma boarding school O'level so sijui kunakuweje, nasikia ushoga unaanziaga huko. Bullying inanitia wasiwasi ukizingatia umri wake ni relatively Mdogo.
Nisaidieni nini cha kuongea naye.
N.B Namlea mwenyewe as a single mom.
Babu, mimi nilisema haya nikakumbushwa tena kwa sauti kubwa kabisa kuwa mtoto anaenda Feza, siyo shule tu ya uchochoroni. kule wanasoma watoto wa mabilionea kwa hiyo na mtoto wa Kaunga naye anatakiwa kwenda kama milionea. Well, tupo tofauti. mimi siwezi kujiita ni wa level ya chini, lakini kila ninapompeleka mwanangu shule (boarding) huwa namwuliza matron minimum amount ya kumwachia mtoto as a pocket money, najua matron angeniambia minimum ni 2M nisingeshindwa kutoa, lakini akiniambia ni elfu 20 huwa naacha elfu 20.Hilo ni jambo gumu sana dada yangu @FP,
Kuna wakati unamwona mzazi anavyomfanyia mwanae hata huwezi kumwelewa au kuyaamini macho yako....
Kwa mfano, mzazi kumpa pocket money ya malaki mtoto ambaye anaenda shule ya boarding inayotoa kila kitu (tena kwa viwango vya juu sana na pia inaruhusu mtoto kutembelewa na wazazi kila mwezi) hadi unajiuliza hizo pesa zote za nini....??
Hata hivyo, maelezo katoka kwa Kaunga yanaonesha kuwa situations ambazo ni fair na muhimu kwa mazingira yake.
Kitu cha muhimu ni kwa mzazi kujitahidi kumwelewa vizuri mtoto wake ili kile anachomfanyia kiwe miongoni mwa vitu ambavyo mtoto anavimudu kwa umri na uwezo wake wa kiakili.
Babu DC!!
Babu, mimi nilisema haya nikakumbushwa tena kwa sauti kubwa kabisa kuwa mtoto anaenda Feza, siyo shule tu ya uchochoroni. kule wanasoma watoto wa mabilionea kwa hiyo na mtoto wa Kaunga naye anatakiwa kwenda kama milionea. Well, tupo tofauti. mimi siwezi kujiita ni wa level ya chini, lakini kila ninapompeleka mwanangu shule (boarding) huwa namwuliza matron minimum amount ya kumwachia mtoto as a pocket money, najua matron angeniambia minimum ni 2M nisingeshindwa kutoa, lakini akiniambia ni elfu 20 huwa naacha elfu 20.
Huyu mtoto yupo shule..... atakula, atalala, ataingia darasani............. akiumwa atatibiwa ikishindikana nitapigiwa simu, kwa nini nimwachie laki? ataifanyia nini? si bora hiyo laki nimwekee kwa account yake ataikuta siku atakapoihitaji?
Pamoja na mzazi kumwelewa mtoto, kitu muhimu pia ni kukaa na mtoto wako na kumwelewesha. kama wazazi hatupaswi kudictate mambo, sawa, lakini tunapaswa kukaa na watoto na kuwaambia hali halisi. na huwa wanaelewa wala hawana shida