Naona kijana anaanza kuchemka sasa!

Bado tofauti ipo mkuu.

Mdogo wake Karume alitangaza nia(sio ndoto) hio na akaenda TZ akachukua fomu na akashindwa katika mchujo.

Mheshimiwa Zitto ameongelea kuhusu anayoota kuwa raisi siku moja.

wanadamu hatuna jema ni viumbe wazito sana, sioni tatizo hapo, mwenye tatizo na hizo ndoto za Zitto ana chuki binafsi.
 
mtu kutangaza nia ni kuropoka? acheni jamani, tunazidi vipimo. Hivi leo hii mimi mama hapa nikaamua kutangaza nia ya kugombea urais si ndio mtasema natapika maneno na sio kuropoka tena! kwa hiyo mtu kama ana ndoto zake basi anyamaze tu kuwaridhisha watanzania?! duh kazi kweli kweli!

Kwanini mnachanganya kutangaza nia ya kugombea urais na kuwa na ndoto za kuwa Rais? Hivi hili ndio tatizo la Zitto pia nini?
 
Whatever the case. Bado sijaona tatizo. Yeye ameamua kuwa muwazi katika ndoto zake, ambazo ndizo zinazomshawishi kuwania kiti cha urais. Mbona mdogo wake karume alishatangaza kule zanzibar!!! Mbona hilo hamkulivalia njuga???

Mwanamalundi,
Siasa na kama mchezo wa karata, ukiwa muwazi ukaweka karata zako hadharani utegemee...
 
Kwanini mnachanganya kutangaza nia ya kugombea urais na kuwa na ndoto za kuwa Rais? Hivi hili ndio tatizo la Zitto pia nini?

kwenye bold unamaanisha nini, sijaelewa hapo.

Zitto hajatangaza nia ya kugombea urais, bali ana ndoto za kugombea urais. In this regard, I say Zitto has to fulfill his dream, make his dream come true boy, he has potential!
 
Nilichommanisha ni kwamba isije ikawa huyo Zitto naye alipokuwa akisema ana ndoto za kuwa Rais hakuelewa ina maana gani kama ambavyo inaelekea wengi wetu kwenye mjadala huu hatujalielewa.
 
Anawaza uraisi kupitia Chadema huku chama chenyewe kiko hoi ile mbaya,nafikiri hayuko serious au labda anaota ndoto za mchana.

mnyika nae atagombea ubunge, apewe upm ! rais zitto, PM Mnyika tokea jimbo la ubungo ! Naanza kumfanyia kampeni Mnyika !
 
wanadamu hatuna jema ni viumbe wazito sana, sioni tatizo hapo, mwenye tatizo na hizo ndoto za Zitto ana chuki binafsi.

To put in pig picture or context, mheshimiwa Zitto ameonesha kwamba yeye ni "ambitious" jambo ambalo kwa kijana kama yeye ni lazima kuwa nalo.

Ukiangalia kwa makini utaona kwamba ameeleza jambo hilo ndani ya wingu kubwa lenye mchanganyiko wa frustrations na hasira za jamii juu ya yale yanayoendelea nchini mwetu kwa sasa kuhusiana na UFISADI.

Sasa labda ni vipi hadhira inatafuna mawazo hayo ndio tunaona hapa.

Lakini mheshimiwa Zitto anafaa sana kuwa raisi wetu akiwa ni kijana na akaleta mabadiliko Tanzania.

Ila kama kweli ana ambition hio, anahitaji kuanza kusuka timu.
 
Nilichommanisha ni kwamba isije ikawa huyo Zitto naye alipokuwa akisema ana ndoto za kuwa Rais hakuelewa ina maana gani kama ambavyo inaelekea wengi wetu kwenye mjadala huu hatujalielewa.

Kumsemea mtu si jambo jema, je ulikuwa kwenye akili yake hadi umaanishe kuwa hakuelewa alichokuwa anakisema? kutaka kuielewa ndoto yake? this is two far, sheikh yahya kazi yake ndio kuelewa ndoto za watu. Zitto akiwa na ndoto yake anawaambia watu, waelewe wasielewe ila amewaambia watu NDOTO yake ya kuwa RAIS, period!
 
Kama ni hivyo basi, ajitahidi apewe majukumu kadhaa kama ya uwaziri na kadhalika ili atape uzofu wa mambo kama ya kushiriki "cabinets meetings" au hata ukuu wa mkoa.
Tukumbuke hata senator Obama ni kijana ndio, lakini ameishi ndani ya Congress kwa muda na jimbo lake la Illionis ni kubwa na ametumikia kamati mbalimbali za senate za nchi hio ikiwemo kamati ya mahusiano ya kimataifa kwa muda mrefu tu.

Sasa Mheshimiwa Zitto nae afanye kazi na kamati ya madini na nyingine ambazo atachaguliwa ili apate uzoefu wa kazi na halafu tuone na Kigoma maefanya nini ndio tuanze maneno mengi.

Akae kama miaka mitatu hivi! bado sana kwa sasa.

ili CV yake ionekane ina afya kidogo au sio ? je na hao ambao hawatotaka kumuona yeye rais unadhani watampa ?? tukisema zitto kachemka, wafuasi wake wanabisha ! kila atakachotaka kugombea zitto watu watalink na hiyo statement kusema kwamba anafanya jambo fulani ili mradi tu ajenge cv ili awe rais ! jamaa kachemka, na wanaomtetea endeleeni but its too late, na keshaanza kuwa exposed ! (ref: afya yake)
 
mnyika nae atagombea ubunge, apewe upm ! rais zitto, PM Mnyika tokea jimbo la ubungo ! Naanza kumfanyia kampeni Mnyika !

Alishawahi kugombea. Namuunga kijana yeyote who dare to stand in front of people kuconvince achaguliwe kuwa kiongozi kama anaowaconvince wataridhika na uwezo wake wampe, sio kukaa kupondea watu kwa mambo ya maana. Inabidi Watanzania tubadilishe mtizamo, majungu majungu tu yasiyo hata kwenye mambo ya maana.
 
Kumsemea mtu si jambo jema, je ulikuwa kwenye akili yake hadi umaanishe kuwa hakuelewa alichokuwa anakisema? kutaka kuielewa ndoto yake? this is two far, sheikh yahya kazi yake ndio kuelewa ndoto za watu. Zitto akiwa na ndoto yake anawaambia watu, waelewe wasielewe ila amewaambia watu NDOTO yake ya kuwa RAIS, period!

Wewe mama taratibu. Vipi wewe??!!
Sijaonyesha popote kama ninamsemea mtu hapa. Wala sijajiita msemaji wa mtu. Nimeshangaa tuu, na kujiuliza sababu ya watu kushindwa kuelewa jambo dogo kama hili.
 
Alishawahi kugombea. Namuunga kijana yeyote who dare to stand in front of people kuconvince achaguliwe kuwa kiongozi kama anaowaconvince wataridhika na uwezo wake wampe, sio kukaa kupondea watu kwa mambo ya maana. Inabidi Watanzania tubadilishe mtizamo, majungu majungu tu yasiyo hata kwenye mambo ya maana.

labda statement yako inaweza kuwa kweli PALE TU utakaponionyesha majungu niliyoongea !
 
Wewe mama taratibu. Vipi wewe??!!
Sijaonyesha popote kama ninamsemea mtu hapa. Wala sijajiita msemaji wa mtu. Nimeshangaa tuu, na kujiuliza sababu ya watu kushindwa kuelewa jambo dogo kama hili.

kwani mimi nimekuita msemaji mkuu? gimme a quote. Ni vizuri kushangaa kama ninashangaavyo mie hapa.
 
Back
Top Bottom