Hali hii imesababisha ongezeko la ving'asti wengi mjini;Wanawake tumeamua kuchakatika na kila shughuli ukitafta hela hamna kuona aibu, tena tumejiunga na vikundi tunacheza na michezo hatutaki utani maisha yetu wanawake tusipofanya kazi tutakuwa jamvi la wageni.
Waachaaa... Naona mada imekugusa kweli.Wanawake tumeamua kuchakatika na kila shughuli ukitafta hela hamna kuona aibu, tena tumejiunga na vikundi tunacheza na michezo hatutaki utani maisha yetu wanawake tusipofanya kazi tutakuwa jamvi la wageni.
Ni kweli kabisa na ukiongezea na wale masponsa wa kile kipochi chenye asali ya nyuki wadogo....Wanawake tumeamua kuchakarika na kila shughuli ukitafta hela hamna kuona aibu. Tena tumejiunga na vikundi tunacheza na michezo hatutaki utani maisha yetu wanawake tusipofanya kazi tutakuwa jamvi la wageni.
Kama una make mashiko fresh tu mzeeYani na degree yangu nichome mishikaki mkuu?
basi nenda kapige roba za mbao wakuloge.Yani na degree yangu nichome mishikaki mkuu?
Umeiona baada ya kufanya tafiti za kijuu juu, Siku ukifanya tafiti za kichini chini pia utupe na results zetu.Hii ni kitu nimeiona baada ya kufanya utafiti wa kijuu juu. Nimeona mabinti wengi wanachakarika na ujasiriamali.
Ninekutana na wahitimu wa vyuo ambao ni mama ntilie. Wanapiga umachinga mdogomdogo wa nguo za kike, juice, viatu nk. Pia wamekuwa mstari wa mbele kuhudhuria mafunzo ya ujasiriamali kama kutengeneza sabuni nk.
Imekuwa kazi sana kumkuta mhitimu wa kiume akifanya hizi ishu ndogondogo kama kuchoma chips na mishkaki. Nini shida kwa vijana wakiume kuingia kwenye sekta isiyo rasmi baada ya kumaliza chuo?
Rai yangu, Serikali ijitahidi kwa nguvu zote kuweka mazingira ya vijana kuweza kujiajiri.
Wanawake wakiwezeshwa wanaweza! TafakariHii ni kitu nimeiona baada ya kufanya utafiti wa kijuu juu. Nimeona mabinti wengi wanachakarika na ujasiriamali.