Astarakimas. Dah mpaka nimesahau kijapan cha kuunga.Bapa ni Bapa tu ndugu zitakuja zote lakini heshima ya yule jamaa asiye shusha mikono iko palepale
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuu Bapa ina hangover huwa ? Basi tupo tofauti sana ,mimi Bapa hata nikipiga mpaka saa tisa usiku tokea asubuhi ,basi asubuhi yake niko vizuri kama sijagusa kituHalafu uzuri wa hiyo ndude ukipiga asubuhi unaamka fresh kabisa,no hangovers,tofauti na mibapa
Duuu Bapa ina hangover huwa ? Basi tupo tofauti sana ,mimi Bapa hata nikipiga mpaka saa tisa usiku tokea asubuhi ,basi asubuhi yake niko vizuri kama sijagusa kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani hawamjui mshindani wao?Una waambia Hivyo ....utasababisha jamaa wawatu afanyiwe hujuma sasa hivi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia K-vant imepoa kidogo ukilinganisha na konyagi,Hii packaging yao mpya na branding ya K Vant inatamanisha kunywa hata kama wewe sio mlevi.
Yaani chupa zo zina swagga flan hv classy na nadhani hiyo ni moja ya sababu, ukiangalia chupa za Konyagi ziko too local
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanamjua " lakini wakishaanza kuona mpaka maoni ya costumer wao hivi ... kwao ni mbaya zaidi
Vitamin musicHahaa ni mziki pekee unaoweza kukurejesha Utotoni .. ni mziki pekee ndio unaoweza kukupatia hamasa kubwa ambayo haukuwahi kuwa nayo awali"... mziki unaponya
Sent using Jamii Forums mobile app
Konyagi waliamini kuwa brand yao haina mpinzani, kitu ambacho si sahihi. Walitakiwa kwenda na wakati.Hii packaging yao mpya na branding ya K Vant inatamanisha kunywa hata kama wewe sio mlevi.
Yaani chupa zo zina swagga flan hv classy na nadhani hiyo ni moja ya sababu, ukiangalia chupa za Konyagi ziko too local
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama mtu ndiyo anajifunza pombe leo..nadhani atakimbilia K vant...huo muonekana wa package yake upo classic sana.....mwonekana wa konyagi kwa kweli hauna mvuto wowote...konyagi hawajiongezi tangu miaka hiyo ninakuwa chupa ni hiyo hiyo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wee wee weee!!Wewe mkuu starehe yako ni nini? Mbona alcohol iko poa tu hasa ukinywa responsibly
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa we jamaa umenifanya nimecheka sana. Eti Inafaa boxer kichwani. Mzee piga hata nusu glass ya zile ambazo sio ngumu kumeza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wee wee weee!!
Vichwa vya watu havifanani...kuna wengine tukisikia harufu tu ya pombe tunavaa boxer kichwani na kiingereza kingi sana...ndiyo maana kuna wengine hawatumii alcohol...wana..switch kwenye mambo mengine kama starehe mbadala
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa hizo observations.Hakika kuna kupanda na kushuka.
Sikuwahi kuwaza kama leo K-Vant atamkimbiza Konyagi kiasi hiki.
Mmiliki wa K-Vant alikuwa QAM wa Tanzania Distilleries ltd (konyagi). Baada ya jamaa kufanya kazi na konyagi kwa muda mrefu mwishoe akaamua akajichimbiewe mwenyewe huko Arusha na kupiga kazi chini.
Alikuja na kinywaji chake maarufu cha Kiroba, hapa ndipo kampuni yake ilikuwa kwa kasi sana. K-vant kipindi hicho haikuwa ikifanya vzr.....
Ilionekana kama kaiga kila kitu kwa Konyagi .
Walipopiga marufuku Viroba vya nylon Jamaa aliyumba sana na hata kusimamisha uzalishaji.....
Mambo si mambo, karudi kivingine, Package mpya, ladha mpya na label mpya......
Sasa Kila Bar ni K-vant, sioni Bapa mezani kabisaa...
Sijui Nyagi inakwama wapi....
TBL okoeni TDL haraka sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahhaa...mimi hapana....huwa sa nyingine nasaidia tu kubeba masela zangu waliokata moto kwa pombe kama nipo nao[emoji23][emoji23]Hahahaa we jamaa umenifanya nimecheka sana. Eti Inafaa boxer kichwani. Mzee piga hata nusu glass ya zile ambazo sio ngumu kumeza
Sent using Jamii Forums mobile app