Naijua food industry vzr sana...Yaani ni balaa Afya walikuwa na Chupa yenye muonekano maridadi kabisa ....lakini Hill kajakuvunja huo mwiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mkuu starehe yako ni nini? Mbona alcohol iko poa tu hasa ukinywa responsiblyKuonja Alcohol .... hahaa Hapana Aise ... sio hobby yangu ... ukiwa hai kuna vitu vingine unapaswa kuvitazama tu ... sio lazima ufanye kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua hang over inasababishwa na nini kwenye Pombe?Huku mtaani kuna kitu inaitwa Double kick inambamba ni nyoko harufu nzuri na haina hang over
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutazama "Mpira".. ku-socialize(kama hivi) kwenda club sometimes".. Kunywa maji mengi kiasi (litre4 per day) ...kupendeza "Wewe mkuu starehe yako ni nini? Mbona alcohol iko poa tu hasa ukinywa responsibly
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya TunasubiriNaijua food industry vzr sana...
Nilipo ona ile mitambo ya Hill, Package yake nikamwambia jamaa yangu kuna balaa lionakujaaa.
Kuna Mwingine nataka nimsukie Package nzuri kwenye Maji,
Kishindo chake kitaiangusha mpk KLM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu hizi moja wapo nzuri sana na utazipendaKuonja Alcohol .... hahaa Hapana Aise ... sio hobby yangu ... ukiwa hai kuna vitu vingine unapaswa kuvitazama tu ... sio lazima ufanye kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda sana muziki. Zamani nilipokuwa bongo nilikuwa napenda sana kwenda disco. Ila sasa hivi siendi tena. Nasikiliza tu muziki. Nafurahi sana kusikiliza miziki ya enzi zangu kama huo wa boys 2 Men. TBT ndo ugonjwa wangu. Ila pia naonja pombe kidogo sababu ya upweke huku ughaibuni. Maisha ya huku sio kabisa unaweza jikuta hupati usingizi. Bora kuonja kidogo kuondoa upweke na kuchangamsha akili.Kutazama "Mpira".. ku-socialize(kama hivi) kwenda club sometimes".. Kunywa maji mengi kiasi (litre4 per day) ...kupendeza "
Finally napenda sana Music ..
Mziki ukiwa mzuri sana kama huu hapa ...huwa nasisimka mpaka machozi Yananilenga hahaa..ila nashukuru nafsi yangu huwa hairuhusu kutawaliwa na starehe .View attachment 992695
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah Wapi mkuu " nafurahia/jivunia kuwa hivi nilivyo ... naupenda huu Utofauti ... kwa sababu ndio unanifanya mimi nisiwe wewe ....asante kwa offerJaribu hizi moja wapo nzuri sana na utazipendaView attachment 992700View attachment 992701View attachment 992702View attachment 992703View attachment 992704
Sent using Jamii Forums mobile app
Pombe ni kama mwanamke. Anayependa mnene hawezi kutembea na mwembamba.Hakika kuna kupanda na kushuka.
Sikuwahi kuwaza kama leo K-Vant atamkimbiza Konyagi kiasi hiki.
Mmiliki wa K-Vant alikuwa QAM wa Tanzania Distilleries ltd (konyagi). Baada ya jamaa kufanya kazi na konyagi kwa muda mrefu mwishoe akaamua akajichimbiewe mwenyewe huko Arusha na kupiga kazi chini.
Alikuja na kinywaji chake maarufu cha Kiroba, hapa ndipo kampuni yake ilikuwa kwa kasi sana. K-vant kipindi hicho haikuwa ikifanya vzr.....
Ilionekana kama kaiga kila kitu kwa Konyagi .
Walipopiga marufuku Viroba vya nylon Jamaa aliyumba sana na hata kusimamisha uzalishaji.....
Mambo si mambo, karudi kivingine, Package mpya, ladha mpya na label mpya......
Sasa Kila Bar ni K-vant, sioni Bapa mezani kabisaa...
Sijui Nyagi inakwama wapi....
TBL okoeni TDL haraka sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutazama "Mpira".. ku-socialize(kama hivi) kwenda club sometimes".. Kunywa maji mengi kiasi (litre4 per day) ...kupendeza "
Finally napenda sana Music ..
Mziki ukiwa mzuri sana kama huu hapa ...huwa nasisimka mpaka machozi Yananilenga hahaa..ila nashukuru nafsi yangu huwa hairuhusu kutawaliwa na starehe .View attachment 992695
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakufuata Pm tuongee vizuri ..Napenda sana muziki. Zamani nilipokuwa bongo nilikuwa napenda sana kwenda disco. Ila sasa hivi siendi tena. Nasikiliza tu muziki. Nafurahi sana kusikiliza miziki ya enzi zangu kama huo wa boys 2 Men. TBT ndo ugonjwa wangu. Ila pia naonja pombe kidogo sababu ya upweke huku ughaibuni. Maisha ya huku sio kabisa unaweza jikuta hupati usingizi. Bora kuonja kidogo kuondoa upweke na kuchangamsha akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo umenena. Labda tatizo ni rebranding lakini content yao ipo pale pale. Watu wamejaribu sana kuwaiga na kuwashusha bila mafanikio.Dahh mimi sio mlevi ....lakini mpaka hapo kwa huo muonekano wa hiyo chupa ya k.vant ...umedhihirisha Kwamba konyagi ni kampuni inayoongozwa na watu ambao ni wavivu wa kufikiri ....
Kinywaji cha miaka mingi lakini ubunifu wa mwaka ,80
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah naongelea" re-brandingHapo umenena. Labda tatizo ni rebranding lakini content yao ipo pale pale. Watu wamejaribu sana kuwaiga na kuwashusha bila mafanikio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa .. u-me bet mkuu ..na bahati mbaya muhindi kaondoka na pesa Yako ..
Jinsi navyo fahamu mimi sasa Pombe ndio kichochezi kikuu cha ngono ndio maana maeneo yanayo ongoza kwa unywaji ulabu " basi unakuta hata kiwango cha maambukizi ya VVU kipo Juu sana
Sent using Jamii Forums mobile app