Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,933
- 34,913
Kama kawaida ya wabongo. Walevi mko defensive sana.Kwa umri wangu na uzoefu wa maisha wanaume wote wasio kunywa pombe wanapenda sana chini, wanaonekanaga innocents wengine tunaonekana walevi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilimradi wote tuonekana tuna tatizo,
Mlevi na umalaya damu damu, akilewa lazima aondoke na BAR MAID.
Labda huyo mlevi awe amepuruka na Pombe mpaka kaishiwa nguvu kabisa.
dew drop Ni another level
