Naona K-Vant akimfyekelea Mbali Konyagi

Naona K-Vant akimfyekelea Mbali Konyagi

Ni kweli kwa sasa kidogo market share za k-vant zimepanda.

Lakini konyagi ndio baba yao. Konyagi ndii soko la spirit tanzania, zikifuatia chapa kama k-vant na Valuer Brandy, alaf hivi vispirit uchwara kina kitoko, shujaa, rivela,cuca etc

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachombeba konyagi ni Ukongwe,
Lkn huko tuendako miaka miwili shares zitakuwa 50 -50

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio biashara zilivyoo, kupanda na kushuka, ila bado konyagi brand imara, K- vant anaweza dumu sokoni akiwa mbunifu zaidi.
 
Hakika kuna kupanda na kushuka.

Sikuwahi kuwaza kama leo K-Vant atamkimbiza Konyagi kiasi hiki.

Mmiliki wa K-Vant alikuwa QAM wa Tanzania Distilleries ltd (konyagi). Baada ya jamaa kufanya kazi na konyagi kwa muda mrefu mwishoe akaamua akajichimbiewe mwenyewe huko Arusha na kupiga kazi chini.

Alikuja na kinywaji chake maarufu cha Kiroba, hapa ndipo kampuni yake ilikuwa kwa kasi sana. K-vant kipindi hicho haikuwa ikifanya vzr.....

Ilionekana kama kaiga kila kitu kwa Konyagi .
Walipopiga marufuku Viroba vya nylon Jamaa aliyumba sana na hata kusimamisha uzalishaji.....

Mambo si mambo, karudi kivingine, Package mpya, ladha mpya na label mpya......

Sasa Kila Bar ni K-vant, sioni Bapa mezani kabisaa...

Sijui Nyagi inakwama wapi....

TBL okoeni TDL haraka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kweli...nlikuwa nafanya kazi apa TBL ya Mwanza naona TDL imefungwa kabisa na imeacha kufanya kazi.
 
Hakika kuna kupanda na kushuka.

Sikuwahi kuwaza kama leo K-Vant atamkimbiza Konyagi kiasi hiki.

Mmiliki wa K-Vant alikuwa QAM wa Tanzania Distilleries ltd (konyagi). Baada ya jamaa kufanya kazi na konyagi kwa muda mrefu mwishoe akaamua akajichimbiewe mwenyewe huko Arusha na kupiga kazi chini.

Alikuja na kinywaji chake maarufu cha Kiroba, hapa ndipo kampuni yake ilikuwa kwa kasi sana. K-vant kipindi hicho haikuwa ikifanya vzr.....

Ilionekana kama kaiga kila kitu kwa Konyagi .
Walipopiga marufuku Viroba vya nylon Jamaa aliyumba sana na hata kusimamisha uzalishaji.....

Mambo si mambo, karudi kivingine, Package mpya, ladha mpya na label mpya......

Sasa Kila Bar ni K-vant, sioni Bapa mezani kabisaa...

Sijui Nyagi inakwama wapi....

TBL okoeni TDL haraka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni yule Mzaramu hajuwi kuongea Kiingereza na wasomi hawapendi kuzungumza naye
 
Hahaha daah wale jamaa kwenye maji ya jero nahisi 400 Nalipia chupa
Wale jamaa ule ubunifu sio mchezo ..chupa tu muonekano wake Kama ingekuwa Ni manzi Basi Jlo ... Kama unapenda vitu vizuri lazima maji yao ununue tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom