manizzle
JF-Expert Member
- Apr 29, 2015
- 3,421
- 4,323
Nikiwa room alone halafu inapigwa miziki ile yenyewe huwa nacheka na kuimba kwa furaha as if zimefyatuka. Huwa natafakari na kusema incase mtu ananiona hapa si ataniona kama dish limeyumba. Muziki una raha yake bro. It's the only fun I have ambayo nimegundua siwezi kuacha kama ilivyokuwa kwa mademu na mpira. Nikikumbuka enzi zangu huwa nabaki kusikitika kwa nini wakati umeenda lakini pia nafurahi maana nikikutumia ipasavyo. Now I'm not regretting.Nitakufuata Pm tuongee vizuri ..
Speaking of music ... ndio chakula cha akili na roho yangu "...., hiyo ndio starehe kubwa sana'" huwa na dance mpaka mbele ya watoto wangu zamani walikuwa wananishangaa but now day's wamenizoea wakiniona na dance wanakuja kuni-support hahaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app