Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

Wadau wa JF
Salam natumain mu wazima! mimi ni mhitimu wa Masters of Business Administration ( Corporate Management) Mzumbe University kiukweli sioni kama nilijifunza kitu kipya kwenye hiyo Masters maana kuanzia Coursework (Assignments) kuna walimu walikuwa wanajitangaza kuwa ukihitaji kufanyiwa Assignment unatoa hela kidogo anakufanyia, kufika hatua ya Dissertation ndo nikaelekezwa kwa "Prof" (kwa bahati ndo alikuwa supervisor wangu chuon) ana ofisi binafsi Mjini, nikaenda tukakubaliana bei yeye ndo akawa anafanya kila kitu mimi nimekuja kukabidhiwa Dissertation ikiwa imeshasainiwa na supervisor nikaenda ku-submit. Kiukweli roho yangu inanishtaki maana sijaitendea haki taaluma.

Una mpango wa kuokoka? Manake walokole bana kwa keweweseka?
Hivi unatubu au unakiri? Shetani kwa Yesu hapungwi!
 
Yasemwayo yapo pamoja kwamba si wote ila vyuo vingi kwa ujumla wake elimu wanapata kimangumashi yaanivwatu wanatumia mda mwingi eti kutafuta mwalimu mambo yao yaende sawa kwa kweli sijui! Yaani mm wakati tuko master wanafunzi wana google zile definution au swali lenye mwelekeo wa maelezo kwenye mitihani hii aibu so msibishe hili ni janga ktk elimu yetu
 
Kweli wewe zuzu kabisaa, we kilaza tena kichwa mavi maana hata kichwa maji ana afadhali. Mm nimesoma MU 2008 - 2010, kuanzia term papers hadi desertation tulikuwa tunafanya wenyewe. Nakumbuka papers zetu zilikaguliwa sanaa, kuanzia title, contents, points hadi allignments. Kwakweli baadhi yetu baada ya kutoka pale tulikuwa na uwezo wa kusupervise au hata kutoa guidelines kwa wanafunzi wengine wanao fanya papers. Sasa wewe unaudhiirishia ulimwengu ni jinsi gani ulivyo kiazi, proof kama kweli umekomaa kiakili and u can stand on your own. Namashaka kama utakuwa umeajiriwa - kuna kipengele kwenye personal compitence; "ability to work independence" unaweza kweli wewe??!!.., Hauko serius wewe..

I love tanzania education system...
."compitence,work indepence,serius"
What a shame...yet pointing fingers to others....
 
Ushauri wa bure.Nenda chuoni kwa VC jieleze huo upuuzi ulioufanya na uwataje hao lecturers walokusaidia kupata kitu usichostahiki baadae mnatia aibu majukwaani na maofisini pamoja na kuitia aibu nchi kwenye soko la ajira.
 
Ninyi ndio essenc ya cyber crim Act.nimesoma hapo huo upumbav sijauona.na kama unafanyika sio mzumbe.nimesoma mzumbe miaka 5 actively nishahid wa ubora wake kitaaluma.ww upuuzwe kwan hata kama kunavyuo vyaweza kuwa na tabia hyo mbali na mzumbe basi ww ndiwe pumba tupu na unastahili kuwa hvyo.
 
Bora kaka umejisemea ukweli kuwa ulitoa hela,kuna madem humu wamepigwa miti ndo wamepata masters leo wanatamba mjini. Na wako maboy wamefirwa bora ya wewe uliyetoa hela
 
Bora kaka umejisemea ukweli kuwa ulitoa hela,kuna madem humu wamepigwa miti ndo wamepata masters leo wanatamba mjini. Na wako maboy wamefirwa bora ya wewe uliyetoa hela

Unafanya hili ka ajili ya nani?uanapata nini kusema uongo?
 
Yasemwayo yapo pamoja kwamba si wote ila vyuo vingi kwa ujumla wake elimu wanapata kimangumashi yaanivwatu wanatumia mda mwingi eti kutafuta mwalimu mambo yao yaende sawa kwa kweli sijui! Yaani mm wakati tuko master wanafunzi wana google zile definution au swali lenye mwelekeo wa maelezo kwenye mitihani hii aibu so msibishe hili ni janga ktk elimu yetu
Hivi Chuo gani ni kizuri kwa MBA Course?
 
kiukweli roho inanishtaki kwa kupata MASTERS ambayo sikustahiki pale MZUMBE maana kila kitu jamaa nilikuwa nampa pesa yye ndo anafanya hiyo Dissertation.
 
bora umekuwa mkweli ila hapo Mzumbe nako walimu wake ni wa ajabu kiasi fulani mwalimu wa Public Administration kasoma PhD (Rural Development) SUA machapisho yake anazungumzia mambo ya MEMKWA (Elimu) hivi utapimaje umahiri wake kitaaluma?
 
safi sana rafiki hukuelewa kwamba elimu ndio uzima wako na wala si cheti...kwahyo hujajifunza kitu kwasababu ulipenda kufanyiwa ndio maana ukatafuta wa kukufanyia nao wakakufanyia kwahyo lazima uwe kilaza kazini maana hakuna namna
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom