HigherGround
Senior Member
- May 14, 2015
- 107
- 94
mleta maada nadhani una tatizo tofauti na Mzumbe siyo elimu yako tu, kweli kuna walimu wanao compromise elimu katika kila chuo udsm, mzumbe nk (nasema hivi kwa sababu nimesoma hivi vyuo vyote) huko kwingine nadhani sijui, ila tatizo haliwezi kujumuishwa na kuharibu chuo kizima, take my words katika nchi hii Mzumbe kipo katika rank ya juu mno kwa maadili, ufundishaji na weledi wa wakufunzi katika nyanja wanazo fundisha