BLACK MARXIST
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 2,462
- 5,367
We ni muongo kabisa, kwanza Mzumbe ni jina na kuna vyuo vingi vyenye jina la mzumbe. Kuna morogoro, dar, mbeya na mwanza je wewe umesoma wapi? Haiwezekani makosa afanye prof wa chuo hiki alafu useme mzumbe yute iko hivyo. Pia hakuna prof anayejishughulisha na ujinga unaosema labda ni prof wa uganga na si elimu.
Kingine uwe mkweli kama unataka ku apply chuo unataka pata maoni we sema sio kujitungia. Kwa tuliosoma Mzumbe na vyuo vyote Tanzania suala la kusaidiwa lipo na ukiliendekeza utatoka mtupu. Kama term paper unafanya nyumbani kuna uwezekano wa kufanyiwa kwa asilimia 100 kama ukiwa mjinga na hakuna atakayekuuliza maana level ya masters sio ya kukabana kooni. Kila mtu
anajua alichofuata na atakachoondoka nacho. Kwa tuliofuata shule tumetoka fiti na kwa
aliyefuata cheti ataondoka na cheti. Kumbuka pia kuna online education tena Ulaya na
kama unshida ya cheti jiandikishe upate hata PHD na ujitambe unaitwa Dr. Elimu sio kula timing na kujitamba umeipata. Elimu ni kuelimika kichwani mkubwa....pole sana
You real have something, I like you.