Naombeni ushauri

Je umewahi kufanya Kazi za usiku ?

Mfano kuwa Askari , mlinzi n.k

Umepita jeshini ?

If yes hali Kama hiyo alikuwa anapitia mzee Wangu .

Ila dawa iliyomtibu ni Chumvi ya mawe na mkaa .

Yeye alikuwa anaamka sana usiku na akilala anaona kitu au MTU anamkaba anapiga kelele Sana

So nilimpatia Tiba ya Chumvi ya mawe na katika kitanda anaweka mkaa kipande kidogo .

Hali hii imekata .

Hila ilichagizwa na
Kukaa jeshini
Kufanya Kazi za usiku
N.k
 
Nimecheka hapo uliposema unaomba maombi ya Vita๐Ÿ˜‚

Walokole utasikia mpige shetani mtama, rusha makofi yampate shetani huko alipo๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ
Asisahau na sadaka ya kujimaliza

Kesho lazima atoe shuhuda,,

Shalom shalom,,

Shalom,,

Baba mchungaji maombi yako yameniponya hii ni madhabahu inayonena
 
Asante sana
 
Kama wengi walivyo sema hapa unaweza kuwa na shida ya kupata hewa wakati umelala. Hii ndio wakati mwingine watu hupata ndoto za jinamizi kuwastua. Angalia unavyolala na kama chumba kina pata mzunguko wa hewa. Au nenda kwa daktari specialist wa mambo ya usingizi au kulala
 
Hapo kuna mojawapo kati ya haya, aidha unatatizo kwenye mfumo wa upumuaji, au unaandamwa na mizimu bila kujua, kuna jambo mizimu yako haijaridhika inajaribu kukuonya, kuifunga mizimu kwa maombi inahitaji nguvu kubwa sana ya kiroho na usafi nafsi, jaribu kuongea na wazee wa kwenu wa pande zote kwa baba na mama, kama wapo ambao hawajamezwa na uzungu.
 
Sawa ila kwa wazazi wangu na waamin hawana. Makuuu
 
Asante sana
juz yalikuja usiku nikawa nakemea bado magumu nikasoma
Zaburi hayakunisumbua
Na ukikemea ni chap yanatoka

Ni nguvu za giza
Ukisoma neno kuna nguvu inakaa ndani yako (light ๐Ÿ’ก)

Alf watu wachache wanaosumbuliwa na hayo mambo kuna vitu vikubwa wamebeba

Wakiangalia kwenye ulimwengu wa kiroho wanakuona ulichobeba wanaanza kukufuatilia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ