bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,343
- 25,329
Text za wapuuzi usiwe unazijibu kuepukaa stressUmewahi kunila bure?,kwanini unanidharirisha?
Hivi nyie mnadhani kila mwanamke humu ndani ni malaya kama hao mnaokutana nao huko makwenu?
Text za wapuuzi usiwe unazijibu kuepukaa stressUmewahi kunila bure?,kwanini unanidharirisha?
Hivi nyie mnadhani kila mwanamke humu ndani ni malaya kama hao mnaokutana nao huko makwenu?
Masshallah... """Ufumbuzi wako ni kuwa Muislam tu, haupitii kwa mtu yeyote kufanya maombi yako, unafanya direct mawasiliano yako na Muumba wako""Wajinga ndiyo waliwao.
Kama unataka kuliwa nenda ukaliwe halafu uwe mtumwa wake, hizo pesa ndiyo chambo chake anachokitumia.
Ufumbuzi wako ni kuwa Muislam tu, haupitii kwa mtu yeyote kufanya maombi yako, unafanya direct mawasiliano yako na Muumba wako.
Kosa kubwa mnalofanya vijana ni kuwavulia chupi hao mnaoingia nao kwenye mahusiano, usimvulie mtu, tena hata usimuoneshe chupi yako mpaka muowane kwanza. kama anakupenda muowane kama ulivyo siyo kwa tupu yako.
Hata ivyo kila mtu anachaguz zake .. sasa ni ww na jinc unavyo usikiliz moyo wako .. utaamua la kufany utakacho kipenda bhc.Bado najiuliza kama kweli anania njema na mimi kwanini Gran Melia?,kiukweli sitokwenda na kama ni kuteseka ngoja niteseke tu
yani unajiweka kimalaya alafu unataka umpate wa kukuoa awe mtakatifu Petro. Ona hata avatar yako tu inaeleza we ni mwanamke wa aina gani.Nimekuwa nikipitia changamoto mbalimbali katika maisha yangu ya mahusiano,najitahidi sana kumuomba mungu anisaidie nipate mtu sahihi na siyo wa kunichezea.
Wiki mbili zilizopita niliandika hapa niliyopitia kuhusu boyfriend wangu na namshukuru Mungu mliishia kunitukana sana na hamuelewi nachopitia kwa sasa ila yote namuachia Mungu muweza wa yote.
Nimekuja kwenu dada zangu na kaka zangu kuwaomba ushauri pengine nikawa nina makosa au niko sawa.
Baada ya lile sakata la Boyfriend wangu kiukweli nilimsamehe kutoka moyoni ila nilimwambia hatupaswi kuendelea tena na mahusiano.Juzi jumapili nilienda nilienda kanisani kwa Nabii mmoja hapa Arusha mkubwa tu na anafahamika,nilivyofika alipoanza kutabiri niliitwa mbele ya kanisa na kuniambia anayajua mambo yangu yote kuhusu boyfriend wangu na anaona namna gani napata mateso akaniambia kabla ya kuondoka napaswa kuonana nae ofisini kwake,kiukweli nilihisi moyo wangu kutulia kwasababu nilikuwa mikononi mwa Bwana,baadae kabisa mida ya jioni baada ya ibada nilimfuata ofisini kwake kutaka kuonana nae,alikuwa kama amenisahau ila nikamkumbusha akawa amenikumbuka na akaniambia mambo yangu ni mazito na nisipomkabidhi moyo wangu ili aukabidhi kwa kristo sito fanikiwa katika mambo yangu ya kimaisha na kimahusiano,hivyo akanitaka tarehe 4 .6.2023 nionane nae hotel ya Gran Melia usiku ili anisaidie,nilipokuwa naondoka alinipa hela ambazo hadi muda huu nimeshindwa kuzitumia nikiziogopa.
Yaani ndugu zangu sielewi nifanye nini,je kweli atakuwa na nia njema na mimi au anataka kutumia mwanya wa matatizo yangu ili ajinufaishe yeye?
Kwann uteseke,mengine ni kumuachia Mungu tu yatapita.Bado najiuliza kama kweli anania njema na mimi kwanini Gran Melia?,kiukweli sitokwenda na kama ni kuteseka ngoja niteseke tu
😂😂😂😂😂 Eeeh najali basi sasa.....Naona unachangamsha uzi ankoli akee!!✌️✌️
Kabisaaaa.Mtego huo, jichanganye uwe chakula cha mchunga kondoo. Hotelini halafu usiku? Kama anania ya kukusaidia kwanini asiweke appointment hapo kanisani kwake? Think twice.
Na hajui anapokwenda.unasafari ndefu sana
[emoji38][emoji38]Hivi huwa mnafaidika nini kupika hizi chai mchana wote huu na jua lote kali hivi..?
Ahsante kwa ushauri wako endelea kunuombea uenda ipo siku nikawa muislamWajinga ndiyo waliwao.
Kama unataka kuliwa nenda ukaliwe halafu uwe mtumwa wake, hizo pesa ndiyo chambo chake anachokitumia.
Ufumbuzi wako ni kuwa Muislam tu, haupitii kwa mtu yeyote kufanya maombi yako, unafanya direct mawasiliano yako na Muumba wako.
Kosa kubwa mnalofanya vijana ni kuwavulia chupi hao mnaoingia nao kwenye mahusiano, usimvulie mtu, tena hata usimuoneshe chupi yako mpaka muowane kwanza. kama anakupenda muowane kama ulivyo siyo kwa tupu yako.
Fanya haraka sana, Uislam ni mwema sana.Ahsante kwa ushauri wako endelea kunuombea uenda ipo siku nikawa muislam