Naombeni ushauri wenu dada zangu na kaka zangu

Naombeni ushauri wenu dada zangu na kaka zangu

Atawagonga waumini wake walimzoesha huo ujinga mimi si wa hivyo,nilienda kwa ajili ya maombi lakini naona anaelekea kubaya
Na naona unataka kumfuata iyo tar4.6 ili uone anagonga aliowazoea au hata wageni kama wewe!
 
Mambo mengine hayahitaji hata kuomba ushauri una umri chini ya miaka 18 wewe!!!
 
Chunga asije akakufanyia alichofanyiwa Esma Platinums juzi Kati.. mwenzio amekiri hawezi kukaa vizuri.
Ungekua rafiki wa mange angekupa mkasa mzima.
 
We mfanya biashara tu acha kuleta siasa uchwara hpa et akili! We ungekua na akili hlo jambo ulilolieleza ni la kuomba ushauri? Rudi riverside haraka Sana
Kwamba kila anayeomba ushauri hapa ni malaya?

Akili mtu wang
 
Kama sio chai ya rangi sijui.

Mm nina ofisi hapa Gran Melia Hotel siku ya tukio njoo umsikilize akitaka kukugegeda atagegedwa yeye na unabii wake feki.
Wewe njoo tu ila uvae chupi za kutosha lolote laweza kutokea.
 
Nimekuwa nikipitia changamoto mbalimbali katika maisha yangu ya mahusiano,najitahidi sana kumuomba mungu anisaidie nipate mtu sahihi na siyo wa kunichezea.

Wiki mbili zilizopita niliandika hapa niliyopitia kuhusu boyfriend wangu na namshukuru Mungu mliishia kunitukana sana na hamuelewi nachopitia kwa sasa ila yote namuachia Mungu muweza wa yote.

Nimekuja kwenu dada zangu na kaka zangu kuwaomba ushauri pengine nikawa nina makosa au niko sawa.

Baada ya lile sakata la Boyfriend wangu kiukweli nilimsamehe kutoka moyoni ila nilimwambia hatupaswi kuendelea tena na mahusiano.Juzi jumapili nilienda nilienda kanisani kwa Nabii mmoja hapa Arusha mkubwa tu na anafahamika,nilivyofika alipoanza kutabiri niliitwa mbele ya kanisa na kuniambia anayajua mambo yangu yote kuhusu boyfriend wangu na anaona namna gani napata mateso akaniambia kabla ya kuondoka napaswa kuonana nae ofisini kwake,kiukweli nilihisi moyo wangu kutulia kwasababu nilikuwa mikononi mwa Bwana,baadae kabisa mida ya jioni baada ya ibada nilimfuata ofisini kwake kutaka kuonana nae,alikuwa kama amenisahau ila nikamkumbusha akawa amenikumbuka na akaniambia mambo yangu ni mazito na nisipomkabidhi moyo wangu ili aukabidhi kwa kristo sito fanikiwa katika mambo yangu ya kimaisha na kimahusiano,hivyo akanitaka tarehe 4 .6.2023 nionane nae hotel ya Gran Melia usiku ili anisaidie,nilipokuwa naondoka alinipa hela ambazo hadi muda huu nimeshindwa kuzitumia nikiziogopa.

Yaani ndugu zangu sielewi nifanye nini,je kweli atakuwa na nia njema na mimi au anataka kutumia mwanya wa matatizo yangu ili ajinufaishe yeye?
Mchunga kondoo anataka akakukabidhi kwa bwana Lodge ,usiku[emoji1787]
 
Back
Top Bottom