Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 1,030
- 3,856
3.5 take home ni salary ya watanzania wachache sana muda wote ulikua wapi kununua chuma aka kiua nyokaKama 3.5m kama take home, unaushauri gari gani mkuu
3.5 take home ni salary ya watanzania wachache sana muda wote ulikua wapi kununua chuma aka kiua nyokaKama 3.5m kama take home, unaushauri gari gani mkuu
Kuna madalali 100 humu watafute unakuaje na hela hujui gari la kununua?Wananzengo habari zenu.
Mimi ni mtu wa safsri kila ijumaa ja jumapili, na huwa napenda nitumie gari binafsi ili nijipangie mda wa kuondoka na kufika. So nlikuwa na gari ndogo nahisi kuichoka.
Kati ya gari ninayohitaji ni honda crosroad ama rumion nikishindwa hizi basi outlander but hizi 2 za mwanzo ndo chaguo langu.
Nimekuja kwenu kuomba ushauri ni gari ipi ninunue, bajeti yangu ni 18 hadi 20 mil. Natamani ninunue msimu huu wa christmass coz bei huwa zinashuka. Nakaribisha ushauri ila sio masimango ama matusi
Nimetangulia kusema sipendi argument na wapumbav, sio lazima ukoment kila uzKuna madalali 100 humu watafute unakuaje na hela hujui gari la kununua?
Si ukalime mpunga mbarari huko.
Nani mpumbavu we kumanyoko? Unakuaje na hela huku kichwa nimejaa kamasi kima weweNimetangulia kusema sipendi argument na wapumbav, sio lazima ukoment kila uz
Bora iyo honda cross road nimeitumia naijua vzr tu
Guys nimeamua nitulie hapa baada ya christmas nitaagiza nlibakiza kiasi kidogo km 6 mil hivi
Hii mpka ushuru inakalia sh ngap
Guys nimeamua nitulie hapa baada ya christmas nitaagiza nlibakiza kiasi kidogo km 6 mil hivi
25milHii mpka ushuru inakalia sh ngap
Nyingi naziona CIF $5,500 kuendelea.
Guys nimeamua nitulie hapa baada ya christmas nitaagiza nlibakiza kiasi kidogo km 6 mil hivi
Vipi kwa sasa unaionaje?Mrejesho outlander
Mpaka sasa nimcover nayo kama 2600km nlichogunfua
Haina speed, ni nzito sana haichanganyi, ukiendesha na rpm 2000 kuchula inakula mafuta vizuri ikizidi 2000 uwe vizuri mfukoni., la sivyo utalala njiani
In short sijaipendaVipi kwa sasa unaionaje?