Naombeni ushauri ninunue gari ipi

Naombeni ushauri ninunue gari ipi

Ninunue gari ipi kati ya hizi


  • Total voters
    50
Ni ngumu sana, nzito haichanganyi mi napenda speed, yaan bodi lake zito, seat za nyuma za kimaskini sana zipo kama kigoda, yangu ni 5 seat, inapendeza ingekuwa 7 seat maana buti kubwa kupiatiliza karibu nusu ya gari. Ila kwa sisi maskini ni gari nzuri sana kwa sababu ya bei yake ndogo
 
Hukuweka kigezo cha speed pale mwanzo ndio maana wengi tulichagua mitsubish
 
Wananzengo habari zenu.
Mimi ni mtu wa safsri kila ijumaa ja jumapili, na huwa napenda nitumie gari binafsi ili nijipangie mda wa kuondoka na kufika. So nlikuwa na gari ndogo nahisi kuichoka.
Kati ya gari ninayohitaji ni honda crosroad ama rumion nikishindwa hizi basi outlander but hizi 2 za mwanzo ndo chaguo langu.
Nimekuja kwenu kuomba ushauri ni gari ipi ninunue, bajeti yangu ni 18 hadi 20 mil. Natamani ninunue msimu huu wa christmass coz bei huwa zinashuka. Nakaribisha ushauri ila sio masimango ama matusi
Mitsubish Delica D5 2015
 
Back
Top Bottom