Msaada wa chaguzi ipi ya gari ndogo ninunue?

Dulla Tawakal

Member
Sep 10, 2022
84
99
Ndugu zangu nina Kavitz kangu huku Tanga Mjini kanasaidia kwa mizunguko Ya hapa barabara za namba ,,sasa nimevuta nguvu kidogo nilitaka nipate tena gari nyengine ndogo ya kunisaidia hata nikitaka kutoka nje ya Tanga iwe Rahisi.

Nimewaza nikafikiri lakin bado nipo njia panda kwenye pendekezo la gari ipi niwe nayo ..Bajeti Yangu ni hizi hizi gari zetu za mkononi Bei(5M mpaka 10M) naomba nipewe mapendekezo wana JF ..

Japo nilikuwa nina machaguzi mengi kama ..Toyota Ractis,,Toyota sienta,,Toyota Porte,,. Naombeni nisaidie ushauri
 
Wish unyama sana na Ina mwendo hatari ukipata ile new model imekaa vizuri sana
 
Ndugu zangu nina Kavitz Kangu huku Tanga Mjini ..kanasaidia kwa mizunguko Ya hapa barabara za namba ,,sasa nimevuta nguvu kidogo nilitaka nipate tena gari nyengine ndogo ya kunisaidia hata nikitaka kutoka nje ya Tanga iwe Rahisi ..nimewaza nikafikiri lakin bado nipo njia panda kwenye pendekezo la gari ipi niwe nayo ..Bajeti Yangu ni hizi hizi gari zetu za mkononi Bei(5M mpaka 10M) naomba nipewe mapendekezo wana JF ..
Japo nilikuwa nina machaguzi mengi kama ..Toyota Ractis,,Toyota sienta,,Toyota Porte,,. Naombeni nisaidie ushauri
Premio, alex, allion, run x, belta, ist ya cc 1490... au jiongeze ingia kwenye rav 4
 
SAMAHANINI WADAU NIKO NJE YA MADA KIDOGO, NIWAPE HUDUMA HII, WADAU UKIWA NA TIGO UNAWEZA USIZIME DATA KWA HIZI BANDO ZENYE UNAFUU MNOO‼️
15G=15000/=, 35GB=30000/=, 48GB=40000/= 72GB=60000/= NA 120GB=100000/=
Bando hizi utakua unazipata kwa miaka miwili mfululizo kila tarehe moja unaingiziwa, KUJIUNGA HUMTUMII MTU YEYOTE HELA,

nakupa maelekezo buree unalipia moja kwa moja tigo kama unavyojiunga vifurush vingine. Huduma hii ni uhakika nikikupa maelekezo unaweza hata kupiga 100 ukaulizia na ukalinganisha maelekezo yangu na ya customer care.
( Airtel pia naunga Huduma ya SME itakayokupa GB kibao kwa gharama kidogo)
nicheki 0717700921
 
Back
Top Bottom