Wakuu nahitaji kununua gari naombeni ushauri wenu

Navuta bangi

Member
Aug 14, 2020
80
160
Habari zenu wakulungwa samahani, nahitaji kununua gari mojawapo kati ya hizi tano.

Toyota Runx
Raum new model
Toyota wish
Spacio new model
Nissan X trail model 2005

NB: Mimi ni mtanzania mwenye maisha ya kawaida, so naombeni ushauri gari ipi itanifaa zaidi kati ya hizo..na ambayo ni bora ktk masuala mazima ya fuel consumption, speed, upatikanaji wa spea na ugumu.
 
Inategemeana kama ni kwaajili ya Familia Kubwa Toyota Wish, Raumu na Sapcio hapo.
Ila kama una Familia Ndogo, Runix na X Trail njema tu.
Kwa Mafuta, Haziachana saana labda X trail ndiyo Juu Kidogo.
 
Chukua Spacio itakufaa kuvutia bangi pia
 
Habari zenu wakulungwa samahani, nahitaji kununua gari mojawapo kati ya hizi tano.

Toyota Runx
Raum new model
Toyota wish
Spacio new model
Nissan X trail model 2005

NB: Mimi ni mtanzania mwenye maisha ya kawaida, so naombeni ushauri gari ipi itanifaa zaidi kati ya hizo..na ambayo ni bora ktk masuala mazima ya fuel consumption, speed, upatikanaji wa spea na ugumu.
Bajeti yako ipoje?
 
Chukua Toyota Wish ndio kidogo itakufaha ,hizo nyingine ni vidogo sana(RunX,Raum) ,Xtrail usijaribu maana Wese litakausha mfuko wako!!
 
Inategemeana kama ni kwaajili ya Familia Kubwa Toyota Wish, Raumu na Sapcio hapo.
Ila kama una Familia Ndogo, Runix na X Trail njema tu.
Kwa Mafuta, Haziachana saana labda X trail ndiyo Juu Kidogo.
shukrani kiongozi...sina familia kubwa ni mimi, wife na mtoto mmoja..
 
Habari zenu wakulungwa samahani, nahitaji kununua gari mojawapo kati ya hizi tano.

Toyota Runx
Raum new model
Toyota wish
Spacio new model
Nissan X trail model 2005

NB: Mimi ni mtanzania mwenye maisha ya kawaida, so naombeni ushauri gari ipi itanifaa zaidi kati ya hizo..na ambayo ni bora ktk masuala mazima ya fuel consumption, speed, upatikanaji wa spea na ugumu.
Wewe ni mtu aina gani? Kama ni bachelor kamata RunX.
Kama una familia yenye watoto zaidi ya mmoja beba Spacio.

Sababu zote ni jamii ya Corrola hazili mafuta sana hizo gari na ni imara sana. Gharama ya kuzihudumia ni nafuu ukiwa smart katika matumizi.
 
sio bachelor...nina familia mke na mtoto mmoja
 
Back
Top Bottom