- Thread starter
- #81
Umemdekeza sana huyo dada yko ni kumpa makavu kwenda front,no kulea lea ujinga.
asante sana
Umemdekeza sana huyo dada yko ni kumpa makavu kwenda front,no kulea lea ujinga.
ana tatizo la kiakili huyo + wivu wa kichawi, pia anapepo mbaya mean hata baada ya ndoa hali itazidi kuwa tete zaidi,plz baada ya ndoa yako kaa nae mbali sana,pia jaribu kumweleza jamaa yako nina dada yangu ambaye anatatizo la kiakili kidogo! ili ajijenge nalo kisaikolojia,ili litakapo waka asistaajabu!apuuze
Huyo dada yako ana roho mbaya sana,anakuonea wivu kwakuwa hajaolewa,bora msimwambie baada ya harusi wekeni kikao cha familia kumueleza ukweli wa mambo anayoyafanya asije kukuhalibia ndoa.
Nimempenda ghafla dada yako.
Hahahahaah
Anitafute ni mfanyie canselling
mara ya kwanza walijua ni ukweli na ndiyo maana walikuwa wanamsikiliza sikuwa na uhuru hata wa kujitetea, na pia kwa kuwa sijakulia hapa sana ikaonekana kweli mimi nimevamia mwanaume wake, sasa ilivyojirudia mara tatu ndiyo wamestuka kuona ni uongo ina maana kila anayeletwa ni wake, na kwanini wakiwa nae wasitangaze ndoa mpaka kwangu, hivyo sasa akili zimewarudiaPole
Fuata ushauri wa baba zako wadogo
Ingawa nao nawashangaa, kama wanajua tabia ya dada yako, kwa. Nini walimsikiliza????
Pia hiyo dada yako ni wa kumuepuka inaelekea ana roho mbaya na wivu si wa kumshirikisha kwenye mambo yako yote
Sent from my iPhone using JamiiForums
muombee dada yako ana stress za kumis mambo, inatakiwa akutane na mimi nimpe dawa alafu atasahau list yake yote.
Kuna maisha baada ya lunch yenu mweleze mwenzako aelewe ampuuze akileta upuuz
Mchawi
asante ukweli wa mtu uko nafsi mwake
Don try to introduce yo man to her till wen ua married!!! Pole
tutupie walau picha yake tuvute tafakuri,through pic we may judge him a little?morejamani haya asante
wivu ukizidi
huwa hauchagui uelekeo
Mchumba apewe historia fupi ya dada
Dah. Umeshashauriwa. Ila tunao ndugu hata ukinunua gari ama kiwanja, ukipata kazi ama kufungua biashara huthubutu kumuambia. Mie naomba leo nijitolee kuwa dada yako wa hiari. Nikusaidie kumnyoosha huyu dada yako na kumuweka mahali pake. Yaani unampandishia vioo, afu tinted ya maana na unamuachia vumbi. Watu wa hivi huwa wanatia hasira sana aisee.
if you are game, send me a pm.
bestito Kiranga, njoo tafadhali. Huyu first client but in our baddest way!
tutupie walau picha yake tuvute tafakuri,through pic we may judge him a little?more