Naombeni ushauri kuhusu tabia ya dada yangu

Naombeni ushauri kuhusu tabia ya dada yangu

Unataka kurusha njiwa wake. Kwa mwanaume akijua kuwa ulikuwa na mpaka mjapani, jua atakuacha kesho yake. Mshauri anyamaze ila akawaonye wazazi wake wasimwamini dada akisema kaishaiona na kuigusa papuchi yake. Hiyo ndiyo dawa ila akiwataja wote waliomgusa ndo ataisikia Radio One. Bado nusu lita

sawa mkuuu... hiyo nusu lita naisubiria ijae kwa kweli
 
tena ukimuona ni mzuri kweli kwa surana umbo lakini ndiyo hivyo tena, ninamsomea mama yangu post zenu anasema kwa kweli ni bora kumuweka chini

Pole, mweleze in short uyo mmeo mtarajiwa tabia za ddko zngne atazijua taratibu.Af this tym mwambie week moja kabla ya haruc.
 
Duniani usidhani unayoyapitia au kukupata ni makubwa kuna mambo ukiambiwa huwezi kuamini hata kwa kuchinjwa......kama hili duh! pole ila mimi nakushauri fanya na harusi kabisa uje kumshtukizia una wato wato wawil au watatu hivi kwamba una mchumba.
 
Duh huyo dada ana roho ya ajabu.
 
Kwa sasa usimwambie...
Na kwa mchumba wako nadhani ni vizuri ukamwambia kama anakuamini na nimu elewa ila kama si muelewa ni bora usubiri mfunge pingu ndio umfungukie tabia ya dada ako....
Maana usije ukamwambia akataka kuhakikisha ikawa janga juu ya janga.....
ILA
Kwa nini wazazi na ndugu wasikae chini na dada yako na kumueleza tabia zake si nzuri ?? Ina maana home kwenu mnamuogopa au niaje?? Mwekeni chini!! MAana inaonekana mnakimbia tatzo badala ya kulitatua ipo siku bomu litalipuka na itakua mbaya zaidi ya kuzuia usiolewe....
 
Cha msingi na muhimu ni kuwa mpaka sasa hata baba zako wadogo wameshamjua dada yako ni.nyoko wa ndumilakuwili.

Nikujipanga kwa lolote kuhusu suala la ndoa na pia ni lazima atakuja kukuharibia
Funga ndoa halafu unaweka mikakati mizito ya kuoshi mbali na huyo dada yako pia kata mawasiliano naye.
 
Dada nahisi atakua na Jini wa kiume...Jaribu kumuuluiza kama usiku haoti kua kuna mtu anamuingilia akiwa amelala...muulize kiurafiki tu hivi dada huoti usiku unafanya mapenzi?
 
kama nyie ni wakristo pelekeni kwenye maombezi mapema sana, eboh! .hilo ni pepo tena inawezekana ni jini mahaba limeshamkamata halitaki tena mwanaume yoyote awe nae ndo maana hawezi kudumu na mwanaume
 
Duniani usidhani unayoyapitia au kukupata ni makubwa kuna mambo ukiambiwa huwezi kuamini hata kwa kuchinjwa......kama hili duh! pole ila mimi nakushauri fanya na harusi kabisa uje kumshtukizia una wato wato wawil au watatu hivi kwamba una mchumba.

natamani sana kufanya kitu kama hicho ila ni mtu wa machale sana
 
Kwa sasa usimwambie...
Na kwa mchumba wako nadhani ni vizuri ukamwambia kama anakuamini na nimu elewa ila kama si muelewa ni bora usubiri mfunge pingu ndio umfungukie tabia ya dada ako....
Maana usije ukamwambia akataka kuhakikisha ikawa janga juu ya janga.....
ILA
Kwa nini wazazi na ndugu wasikae chini na dada yako na kumueleza tabia zake si nzuri ?? Ina maana home kwenu mnamuogopa au niaje?? Mwekeni chini!! MAana inaonekana mnakimbia tatzo badala ya kulitatua ipo siku bomu litalipuka na itakua mbaya zaidi ya kuzuia usiolewe....[/QUOT

asante sana kwa ushauri, kiukweli nimsichana mwenye tabia za ajabu yeye kukupopoa mawe kwake si jambo la ajabu hivyo naona ndugu wote wanamuogopa na isitoshe mimi sijakaa nae sana nilivyokuwa mdogo nimekuja kukaa nae sasa, mama yetu ni mganda hivyo mimi niliishi sana uganda na mama zangu wakubwa, hivyo hata tabia zetu ni tofauti sana. kuhusu mchumba ni mtu mwelewa sana nina imani nikimueleza atanielewa vizuri, sikujua kwa kuanzia kumwambia
 
Duh huyo dada ana roho ya ajabu.

hatukai na ndugu maana watakavyokuja na akiwakuta itakuwa balaa mbaya zaidi mgeni awe ana lala atafanyiwa vituko harudi tena
 
kama nyie ni wakristo pelekeni kwenye maombezi mapema sana, eboh! .hilo ni pepo tena inawezekana ni jini mahaba limeshamkamata halitaki tena mwanaume yoyote awe nae ndo maana hawezi kudumu na mwanaume

haendi na mara nyingi nimeona bora kuchukua nguo yake ikaombewe ikirudi haivai tena, tumeshajaribu njia nyingi kujua tatizo lake ila wapi, hadi kwa madaktari wa akili baba yangu alienda kuomba nafasi ya kumuona ila akiambiwa anatakiwa hospitalini anahama kabisa home anakaa kwa rafiki zake hata mwezi then anarudi,
 
Cha msingi na muhimu ni kuwa mpaka sasa hata baba zako wadogo wameshamjua dada yako ni.nyoko wa ndumilakuwili.

Nikujipanga kwa lolote kuhusu suala la ndoa na pia ni lazima atakuja kukuharibia
Funga ndoa halafu unaweka mikakati mizito ya kuoshi mbali na huyo dada yako pia kata mawasiliano naye.

aisee kweli kuwa uyaone maana tumezaliwa wawili tuu watu wengine ukiwaelezea na wakimuona hawaamini, ila atafanya kituko kitakatifu hapo hapo ndipo wataamini maneno uliyowaambia, ni tatizo juu ya tatizo
 
haendi na mara nyingi nimeona bora kuchukua nguo yake ikaombewe ikirudi haivai tena, tumeshajaribu njia nyingi kujua tatizo lake ila wapi, hadi kwa madaktari wa akili baba yangu alienda kuomba nafasi ya kumuona ila akiambiwa anatakiwa hospitalini anahama kabisa home anakaa kwa rafiki zake hata mwezi then anarudi,

msikate tamaa kuhusu maombezi. kuna matatizo mengine kama hayo yatatoka kwa kufunga na kuomba kwa imani, wala msimuhukumu aminini sio yeye ni pepo linamuendesha, hakuna binadamu anayependa aishi katika mfumo huo. Mungu awasaidie, jaribu kupeleka picha
 
inaonekana kama vile unamwogopa dadako ndo maana anapata nguvu na ujasir wa kukuharibia, komaaa! pia mweleze huyo mumeo mtarajiwa tabia yake.. af kama vp siku ya harusi mwambie suprizzzzz.. huyo dadako ana stresss za kutokuolewa mapema.
 
Back
Top Bottom