Naombeni ushauri kuhusu tabia ya dada yangu

Naombeni ushauri kuhusu tabia ya dada yangu

Dah. Umeshashauriwa. Ila tunao ndugu hata ukinunua gari ama kiwanja, ukipata kazi ama kufungua biashara huthubutu kumuambia. Mie naomba leo nijitolee kuwa dada yako wa hiari. Nikusaidie kumnyoosha huyu dada yako na kumuweka mahali pake. Yaani unampandishia vioo, afu tinted ya maana na unamuachia vumbi. Watu wa hivi huwa wanatia hasira sana aisee.

if you are game, send me a pm.

bestito Kiranga, njoo tafadhali. Huyu first client but in our baddest way!

Hahahaha,

Look what I got myself into.

Nasikiliza audiobook ya "The Wisdom of Psychopaths: What Saints, Spies, and Serial Killers Can Teach Us About Success" by Kevin Dutton

Some of us could use a dash of psychopathic behavior, that devil may care badass we talked about the other day.

Masomo fulani kutoka hiki kitabu yanaweza kuhusika.

The Wisdom of Psychopaths: What Saints, Spies, and Serial Killers Can Teach Us About Success: Kevin Dutton: 9780374533984: Amazon.com: Books
 
ICHANA ushauri wako mzuri

Huyu Dada asipochangamka atarudi hapa akilia kwa maana it seems even familia haiwez kuongea juu ya tabia ya huyu Dada...
Simama fight for ur rty Huyo mpenzio anaweza kuona wewe ndo tatizo ndo mana ulificha pia kuona familia haijatulia wanaume woote mmetembea nao wewe na Dada ako think twice hii ina impact kubwa sana
 
asante sana, tena ukimuona yeye ni mzuri sana wa sura na umbo kuliko mimi ila ndiyo hivyo tuu

Uzuri wa mwanamke sio urembo, ni tabia

||"You were too young to understand"||
 
kaa na mchumba wako mwambie una dada yako ana tatizo la akili kwa hiyo awe nae makini. mwambie ila ukimuona huwezi kugundua mpaka kimpande. mengine usimsimulie
 
Dada kakuharibia makaratasi ya Japan hivi hivi khaaa!
Dada mbaya sana huyu!Asiambiwe kitu aone tu harusi
 
haya bwana yuko hapo open anafanya degree yake ya pili naweza kuku direct ukamuona utampenda zaidi, ila akikustukia tuu kama unaenda kumchoresha jiandae kwa kupigwa mawe

Najua hawezi kufanya lolote
 
Huyu Dada asipochangamka atarudi hapa akilia kwa maana it seems even familia haiwez kuongea juu ya tabia ya huyu Dada...
Simama fight for ur rty Huyo mpenzio anaweza kuona wewe ndo tatizo ndo mana ulificha pia kuona familia haijatulia wanaume woote mmetembea nao wewe na Dada ako think twice hii ina impact kubwa sana

ushauri wako unazidi kunipa moyo natamani kesho ifike nimepanga kesho kuongea na mchumba wangu nikitoka huko narudi kwenye familia yangu nikimaliza na mgeukia dada, sasa naona hasira ya kufanikisha hili jambo imenijia, nimeshasimama sasa kwa ushauri wako na nimejawa na nguvu kazi nitaiweza
 
Dada kakuharibia makaratasi ya Japan hivi hivi khaaa!
Dada mbaya sana huyu!Asiambiwe kitu aone tu harusi

yaani we acha tuu, mti aina moja ila matunda yake ni tofauti, nahisi nafasi nilizokuwa napata wangepata familia nyingine wangechangamka kwa kushirikiana sana, hata hivyo wa sasa nae siyo mtanzania
 
kaa na mchumba wako mwambie una dada yako ana tatizo la akili kwa hiyo awe nae makini. mwambie ila ukimuona huwezi kugundua mpaka kimpande. mengine usimsimulie

asante ndugu umenichekesha sana, nimecheka mbele yake mwenyewe kaniuliza unacheka nini, hajui kama namjadili yeye
 
Xian hujui maisha ni mafup na magum hasa kwa hapa bongo!!! Badala ya kuumiza kichwa kwa ajil ya maisha yako na ndoa yako tarajiwa we unaumiza kuchwa kwa ajil ya dada??? Kama anazingua siku ya harus sijui ndoa mfungien stoo tena muweke mlinzi wa kimasai nje!!! Mkimaliza ndo mumfungulie... kuna mijitu humu dunian inatia hasira sana!!!!!!
By the way poleni sana...
 
Last edited by a moderator:
asante ndugu umenichekesha sana, nimecheka mbele yake mwenyewe kaniuliza unacheka nini, hajui kama namjadili yeye

teh teh teh ndo hivyo ndugu angalia maslahi yako kwanza tena ukiwa na huyo mpenzi wako ongea kwa upole uonyeshe unaumizwa na tatizo lake na wala hajawahi kukufanyia hapo ataamini kweli ni chizi
 
xian hujui maisha ni mafup na magum hasa kwa hapa bongo!!! Badala ya kuumiza kichwa kwa ajil ya maisha yako na ndoa yako tarajiwa we unaumiza kuchwa kwa ajil ya dada??? Kama anazingua siku ya harus sijui ndoa mfungien stoo tena muweke mlinzi wa kimasai nje!!! Mkimaliza ndo mumfungulie... Kuna mijitu humu dunian inatia hasira sana!!!!!!
By the way poleni sana...

asante sana
 
teh teh teh ndo hivyo ndugu angalia maslahi yako kwanza tena ukiwa na huyo mpenzi wako ongea kwa upole uonyeshe unaumizwa na tatizo lake na wala hajawahi kukufanyia hapo ataamini kweli ni ch

hahahahhaha nitafanya hivyo kesho mapema tuu nahisi kama muda huu nitakuwa nimeshamaliza kazi
 
kaa na mchumba wako mwambie una dada yako ana tatizo la akili kwa hiyo awe nae makini. mwambie ila ukimuona huwezi kugundua mpaka kimpande. mengine usimsimulie

anaweza kusepa mchumba Kuwa kwenu MNA asili ya kichaa!
 
anaweza kusepa mchumba Kuwa kwenu MNA asili ya kichaa!

kama ni mwelewa na ndie ambaye mungu amempangia hawezi kukimbia. hiyo ya uchizi ni bonge la strategy coz siku hiyo akifanya tukio lolote watajua ni uchizi tu umeanza.
 
Back
Top Bottom